ISHARA za mwisho wa dunia? Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Zeb amekula kichapo na kuishia mikononi mwa polisi baada ya kunaswa katika nyumba ya kulala wageni (gesti) akiwa na dogo wa kiume aliyedaiwa kuwa ni denti wa sekondari.
Aibu hiyo ya karne ilijiri juzi Jumatatu kwenye gesti hiyo (jina linahifadhiwa) iliyopo maeneo ya Manzese, Dar ambapo jamaa huyo alikutwa chumbani na denti huyo aliyekadiriwa kuwa na umri wa miaka 14.
Kwa mujibu wa chanzo makini kilichoitonya Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, njemba huyo amekuwa na ‘katabia kachafu kakuwafanyia usodoma’ watoto wa kiume.Habari hizo zilidai kuwa ishu hiyo iliwakera wakazi wa eneo hilo waliokuwa wakimfuatilia kwa muda mrefu ndipo wakaamua kumfungia kazi baada ya kudaiwa kuwa na mtoto huyo chumbani usiku kucha.
Kwa mujibu wa meneja wa gesti hiyo (aligoma kuta jina) ambaye alitoa ushirikiano wa kutosha kwa OFM, raia hao walikuwa wakimchunguza njemba huyo kwa muda mrefu kutokana na tabia ya kulala kwenye gesti hiyo na watoto wa kiume.
“Mwanzo tulifikiri anakuja na vijana hao kama marafiki zake wa kawaida lakini tukaingiwa na wasiwasi baada ya kugundua kuwa alikuwa akilala nao kwa kuwabadilisha,” alisema meneja huyo.
Alidai kwamba Jumapili iliyopita, majira ya saa 3:00 usiku, kijana huyo alitinga tena kwenye gesti hiyo lakini alikuwa peke yake na kupewa chumba kama kawaida.
“Wahudumu waliniambia kuwa jamaa amefika tena na amechukua chumba cha juu lakini safari hii alifika peke yake, ilinishangaza sana kusikia kaja peke yake kwani siyo kawaida yake so sikuamini,” alieleza meneja huyo.
Alidai kwamba asubuhi ya Jumatatu, mishale ya saa 4:00, wahudumu walisikia miguno ndani ya chumba alicholala njemba huyo ndipo wakakifunga kwa nje kisha kuita polisi na vijana wa OFM ambao walifika eneo la tukio ndani ya ‘dakika sifuri’.
Meneja huyo alisema kuwa hafahamu njemba huyo alimuingiza kijana huyo muda gani kwani walimuwekea mtego siku nyingi akawa anachezwa na machale.
Hata hivyo, Jiji la Dar huwa halina dogo kwani wakazi wa eneo hilo walijazana kwenye gesti hiyo kutaka kumpiga jamaa huyo lakini polisi walifanikiwa kuwatorosha eneo hilo na kuwampeleka Kituo cha Polisi cha Magomeni, Dar.
Hadi OFM inang’oa nanga kituoni hapo, njemba huyo na kijana aliyekutwa naye walikuwa wakiendelea kuhojiwa
walah n shida
ReplyDeletekama vipi naye aliwe msubirieni akitoka polisi pumbavu huyu anaharibu wadogo zetu!!!
ReplyDeleteYaani hii tabia sijui kwanini wanaiendekeza jamani eeeh msalieni mtume kidogo khaaa watu mmegeuka wanyama hamna hofu na mungu??
ReplyDeleteHuyu aliwe tu jamani ama mnaonaje? ana kosa la kubaka tayari na hukumu yake ni ndefu lakini kama akifanikiwa kutoka kwa namna yoyote pliz atafutwe aliwe vizuri kabisa.
ReplyDeletemakubwa
ReplyDeleteInnalilah wainailaih rajiuna.....
ReplyDeleteHatareeee
ReplyDeleteHao ndio watu wakuchomwa moto mpaka kifo na sio wezi tena wote wawili shenzi type.Mark 12
ReplyDeletetigo ina mvuto mkali bana muacheni ale raha!
ReplyDeleteDah!! Kwl dunia ipo ukingon mungu njoo haraka
ReplyDeleteBongo ni mikundu wote masenge tu
Deletehttp://cashnjob.com/index.php?refer=109808
ReplyDeleteyarab watoto wetu jamani mungu tunusuru na vizazi vyetu .mtume s.a.w ndio tunamtegemea atuokoe siku ya mwisho (kiama) tukimuudhi yeye nani atakaye tutee kwa jambo hilo tunamkosea m/mungu na mtume wake. jamani tuwekeze kwa mungu kwenye raha ya milele ya dunia tunapita tu. acheni hizo tabia m/mungu hapendi na amekataza usipokuwa na hofu na mungu utamuogopa nani ? na tukuweke kwenye fungu gani????
ReplyDeleteNae aliwe
ReplyDelete