Ommy Dimpoz Afunguka Juu ya Madai ya Wengi kua Kavaa Viatu vya Kike

Watu wengi waliokutana na picha hiyo wameifananisha suruali hiyo na nguo maarufu kwa akina dada "kipedo" huku wakidai kuwa viatu alivyovaa ni vya kike.
Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz amefunguka ya kwake juu ya madai hayo na kusema....

"Viatu sio vya kike kwasababu, ukisema viatu vya kike it means labda umeende ku-shop kwenye duka la vitu vya kike, na viatu vile mi nimenunua South africa, kipindi tumeenda kumsapoti AY kwenye Channel O. nakumbuka tena siku ambayo nimeenda ku-shop nilikuwa na Dulla Spatan, nilinunua kama pea ishirini thelethini, zilikuwa pea nyingi, unajua nsometimes unaweza kuingia kwenye maduka ukakuta kuna sale nini, kwahiyo nilikuta, galafu na vile vilikuwa ni vyepesi havichukui kilos, kwahiyo nikanunua nunua vile vingi, lakini nime-shop kwenye Mr Price nakumbuka, vilikuwa ni simple......"
"sidhani kama watu wameichukuliaje lakini may be labda fashion ndio imenikosti, lakini naona ni viatu vya kawaida na watu wanavaa, hata ukiangalia ma designers nini hata watu wengi wanavaa, kwahiyo kwa kununua mi nimenunua sehem ya vitu vya kiume na hakikua kimoja kusema labda wamekosea wamekiweka sehem tofauti, ni kwamba viko vingi na design tofauti...." amesema Ommy

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Vya kike acha ubishi!angalia na suruali uliyovaa.mtavaa hata magauni kisa yapo kwenye maduka ya nguo za kiume.poleee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahhahhss...mdau hapo umetishaaa. Kiruuuuuuu

      Delete
  2. ah! kawaida tu mwenyewe c dimpoz

    ReplyDelete
  3. ah aha aha hapo juu kanifuraisha dah yani watakuja vaa magauni kisa ziko kwenye madk ya kiume hay a bana

    ReplyDelete
  4. Viatu vya kike na bedo aliyofaa ya kike pia

    ReplyDelete
  5. Amedai viatu na pedo vya kiume...lakin mbona waschana huvaa viati kama hivyo kabisa na hiyo rangi ya pedo yaan ya kidada kabisa...

    ReplyDelete
  6. VIATU HIVI NI VYA WALE WANAUME WASOKUWA RIZKI, SASA WEWE OMARI NDUGU YANGU UNAPARAMIA TUU KISA VIMEWEKWA SEHEMU YA WANAUME! LOH! MWANAUME HALISI HAWEZI KUVAA HIVO VIATU NA PEDO. KAMA HUJUI FASHEN ULIZA KAKAANGU, USIJEINGIZWA GROUP YA MASHOGA BURE KWA MAVAZI

    ReplyDelete
  7. Huo ni ukuma nina kama hawawezi kujua kwa kuona wawe wanauliza wanaojua

    ReplyDelete
  8. Huo ni ukuma nina kama hawawezi kujua kwa kuona wawe wanauliza wanaojua

    ReplyDelete
  9. ACHA USENGE,IZO FASHION ZENU ZITAWAPELEKA PABAYA

    ReplyDelete
  10. hivyo viatu me mwenyewe ninavyo ni vya kike tena rangi hiyo hiyo

    ReplyDelete
  11. Isijekua si riziki jamaa maana ndio dalili zenyewe

    ReplyDelete
  12. Mwacheni kwani kavaa mikundu yenu acheni usenge mnadisi ujinga tu

    ReplyDelete
  13. WATU WENGINE MIKUNDU KWELI KWANI MMEVAA NYINYI KINACHOWAWASHA MATAKONI NN SASA?MBONA WADADA MNAVAA BOXER ZA KIUME HATUSEMI?MLITAKA ATEMBEE UCHI BILA VIATU AU?MANINA ZENU KAMA SHOGE MKAMTEGESHEE MKUNDU MUONE MTAKAVYOFUMULIWA MARINDA HAYO NYAMBAFU MMEKAA KUJADILI MAISHA YA WATU TU

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hatujadiri maisha ya watu,ni ushauri tuu.ndio maana kunasehemu ya comments kwenye blog.fikra zako mbovu.ni maoni na ushauri tuu.atajifunza.

      Delete
  14. muuongo amechukua vya dada yake hapahapa Kasulu dada amerudi toka kwa basha wake huko DRC

    ReplyDelete
  15. Mwanaume anajisifia Dimpoz!hata utakuta kavaa bikini msenge huyo,hata show kafanya ya kisenge hajui kuperform kabisa Stupid bongo flavas lini mtaelimika?mnatuaibisha tu Tanzanians huko nje mnaonekana kama midoli!

    ReplyDelete
  16. Uangalie rangi siku nyingine, na au wewe ni bi? Unavaa hivyo? Unaconfuse watu gender gani iko wewe?

    ReplyDelete
  17. mmh! hizi fashion zinatupeleka pabaya, coz sometime hata madizina wa kibongo swaga zao hazieleweki na km desiner wako anavaa hivyo ninamashaka nae. kwa kifupi hio pedo na hio simple umechemka coz ni vya kike live. na kwa mbwembwe umenunua south while pale mazense vimemwaga km njugu

    ReplyDelete
  18. hata wanaume wanavaa acheni ku mdis mshakaji

    ReplyDelete
  19. kama mtu fulani kuvaa sketi kwenye kili award.

    ReplyDelete
  20. Anony 4.27 unaanza uchokozi xaxa

    ReplyDelete
  21. anony,4.43 umeonaaa,ni uchozi usiofichika

    ReplyDelete
  22. niachieni mm nipasue malinda wote nyinyi nimesha wafila

    ReplyDelete
  23. Msenge mkubwa

    ReplyDelete
  24. mumpe ushauri c kumtukana, acheni wivu usokua na mantik

    ReplyDelete
  25. Kwa kipi cha kumuonea wivu

    ReplyDelete
  26. hahaaaaa,sio yakoke ni mambo ya fashin ayo jaman hahaa wqtu wana wivu ndo maana wqbongo siku zote tupo nyuma kimaendeleo coz upo static always jaman badilikeni mda tuliopo sio mda wa uprimitive tena mambo yote hadharan,

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad