Muigizaji wa filamu, Irene Uwoya, amezama kwenye penzi la mwalimu wa kucheza muziki wa THT, Msami. Kwa mujibu wa mahojiano kati ya mpenzi wa Msami aitwaye Rehema na Soudy Brown wa U Heard, Irene ndiye aliyependa (kumtongoza) kuwa na Msami licha ya kufahamu kuwa tayari ana mpenzi mwingine.
Rehema amesema kilichomfanya Msami akubali kuwa ‘Serengeti’ wa Uwoya ni kwakuwa amekuwa akiwezeshwa fedha zinazomweka mjini. Rehema amesema Msami amekuwa kwenye uhusiano na Uwoya ni tamaa za kuwa na maisha mazuri.
“Ni tamaa tu za vijana, si unajua tena ukiwa bado hujatoka. Wanashawishika na tamaa ya hela ili apate kutoka na ajulikane,” amesema Rehema.
Msikilize Hapa chini:
mabwaku
ReplyDeleteJaman! SI bora arud hata kwa Kalla kuliko kujiaibisha!
ReplyDeleteNawadharau malaya wa bongo movie mpaka basi khaa
ReplyDeleteirine kapendeza..yuko kimya siku au na wewe kama vicky kamata?
ReplyDeletemapenzi hayachagui ni wakati wake tesa!
ReplyDeleteJamani Hata huyu rehema anajiabisha. Kwani huyo Msami alilazimishwa? manake sijaelewa anavyosema kuwa atarudi tuu. ndo mana watu hawatulii wanajua mtu atapokewa akirudi. Ukwimwi utatumaliza jamani. eti anasem irene hajatulia anatembea na watu hafu bf wako anatembea nae unasema atarudi akirudi na magonjwa?
ReplyDeletehuyo msichana nae ana njaa tatizo hapa bongo wengi njaa kali sababu huwezi kumsubili mtu mpk aachane na mtu kama sio njaa nini, just move on but kwa hiyo stahili unajiaibisha
ReplyDelete