Picha Mbali Mbali za Diva Loveness Akiwa na Washikaji zake Siku ya Birthday Yake

 Tarehe 25 May 2014 ilikua ni Birthday ya Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho ya Cloudsfm Diva iliyofanyika katikati ya Bahari pande za White Sands Hotel na kuhudhuriwa na wageni wachache kwa mualiko maalum, alikuwepo Mtangazaji wa Amplifaya ya Cloudsfm Mtu wa Nguvu Millard Ayo, Mtangazaji wa Cloud E ya clouds Tv, Mwanadada Irene Andrew mtu wa karibu na Diva Loveness Love, Mdogo wake Diva Gloria, Francis Ayo pamoja na Gossip Cop Soudy Brown.






Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani mwenzenu siijui sura maalum ya huyu dada.

    ReplyDelete
  2. Jamani mwenzenu siijiui sura maalum ya huyu dada

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahhaha nimechekajeee daah ana sura nzito kama uji wa mapande ni shiidaah loh

      Delete
  3. Ahaahahhahhah ww mdau umetisha jamn lol

    ReplyDelete
  4. Diva katupa aibu kubwa watanzania , ana pepo la ngono

    ReplyDelete
  5. Mh.kumbe ndo ulivyo !

    ReplyDelete
  6. kawapa aibu ht mapresenter wenzie wa clouds pamoja na baba ake malinzi kamtia aibu pia

    ReplyDelete
  7. Mashauzi meeengi....dizaini kama imekaa kiuchoyo hivi.....sema ndio hivo tuu umaarufu kwa aina ya kazi yake.....ila dah...hana mvuto,sijaona yani,wote ngache tuu..0717337536

    ReplyDelete
  8. SURA KA UKUTA WA JIKO.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad