Picha za Msichana Anayefanana na Mwimbaji Rihanna


Huyu msichana aliwahi kutokea kwenye video ya mmoja kati ya wakali wa Nigeria aitwae Orezi ambae aliimba wimbo unaitwa Rihanna ambapo video ilifanyika Afrika Kusini

Unavyoona…. kafanana na Rihanna kwa asilimia ngapi?
Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bado sanaaaa, hawajuui kufananisha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. chiki binafsi kafanana nae sema shep yake sio kama ya rihana ila sura wamefanana, kwani rihana si binadamu hafai kufanana na mtu, wabongo bwana

      Delete
  2. admin nawe ujiongeze uyo anafanana na happiness magesse kwa mbaaaaaaliiii

    ReplyDelete
  3. Jamani lili hamfiki ata robo uyo mdada.lili drugs zinamzeesha kinakomaa vibaya .kweli hamjiu kufananisha iki kidada kina baby face na kipo hot mbaya.

    ReplyDelete
  4. riri yule mkorogo tu, maana pic zake za mwanzo ni mweusssss

    ReplyDelete
  5. labda ungeweka picha yake ya front view ndo tungemfananisha vzr zaid lakini hapo baaado!!

    ReplyDelete
  6. Wekapicha akiwa uchi mi nitamjua nakukomenti vizuri

    ReplyDelete
  7. Hata robo hajafanana na rihanna

    ReplyDelete
  8. She is very beautiful. You cannot compare her with riri. Riri is not beatiful

    ReplyDelete
  9. au sbb RIr ni star mkubwa uyu dada she is so beatifull uyo Ril ni mbaya amekomaa sana wajamen

    ReplyDelete
  10. admin wewe unafanana na mizengo k pinda

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad