Profesa J na Jose Chameleon Waingia Studio Kufanya Wimbo Mpya

Joseph Haule aka Profesa J na Jose Chameleone ni marafiki wa siku nyingi. Chameleone aliwahi kutumia beat ya wimbo wake ‘Nikusaidieje’ kurekodi wimbo aliomshrikisha mdogo wake Weasel, Bomboclat. Na sasa Jose hao wawili wamekutana kufanya wimbo wa pamoja

Kupitia Instagra, Profesa Jay ameandika: Ndani ya Mwanalizombe Studio usiku sana,Professor Jay Josechameleon @lamarfishcrab @producer villy,Shidaa mpya inakuja!!! STAY TUNED, Dar East African HEAVY WEIGHTS, Stay Tuned,mpaka waombe poooh !!!!”

Chameleone alikuwa nchini kuhudhuria tuzo za Kili ambapo alishinda tuzo ya wimbo bora wa Afrika Mashariki.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HK lazima kiwe kitu nakisubiria

    ReplyDelete
  2. mbona wimbo wa diamond na p.jay sijausikia?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad