Rehema Charamila aka Ray C amekanusha kilichoandikwa na gazeti la Visa kuwa amerudiana na aliyewahi kuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa mara mbili Mwisho Mwampamba. Wawili hao waliwahi kuwa na uhusiano miaka kadhaa iliyopita.
Kupitia Instagram Ray C ameandika: Sijamuona Mwisho na Kama mwaka wa Sita huu!!!udaku Mwingine umezidi kwakweli sipendi……..He is happily married and I respect him!!!!ati I met him last week n we exchanged numbers that’s a big big lie jamani……Am happy and Single….Am loving my life”
Love you Ray C
ReplyDeletehuyo nae..hebu akjajmbe huko na kuzimu kwake
ReplyDeleteKwa ulichomfanyia!! arudi kwako? hata kama utangoja sana
ReplyDeletejitu zima hovyooooooo mkundu wake
ReplyDeleteEh wanawake jamani eeeh midomo michafu tupunguzeeee
ReplyDeleteKuntusi ni ushama sasa kama hajamwona asiseme jamini mbona mnamind business za watu? Pilipili wale wengine uwashwe wewe!!! Achane ushamba!!
ReplyDeletemshamba mama yako
Delete