Sababu ya THT Kutokung'ara Kweye Tuzo za KTMA Mwaka Huu

'HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA' NA MWENYE MACHO HAAMBIWI ONA,,jana tumeshuhudia namna gani NGUVU YA UMMA inaweza kuleta mabadiliko.
tulishazoea,na ilikua kama kawaida sasa, MIAKA KADHAA ILIYOPITA UGAWAJI WA TUZO ZA KTMA ulikua unazingirwa na UTATA MKUBWA.lakini kubwa kulikoo ni pale vijana wa kutoka kundi la THT walipokua wananyakua TUZO nyingi ambazo hawastahili. we all know that RUGE na genge lake ndo alikua anawapa zile tuzo.Hili liliwezekana kwasababu wao ndo walikua wanahodhi mchakato mzima na waoaa ando walikua wanapendekeza majina na kuwakweka kwenye category mbalimbali,,,

Mwaka huu hali imekua tofauti kidogo kwani wananchi walipewa nafasi ya kupendekeza majina ya wasanii watakoaingia kwenye category mbalimbali.LAKINI PIA TUME YA KUSHUGHULIKIA MIPANGO YOTE YA UGAWAJI WA TUZO HIZI ILIKUA COMMITED KIDOGO TOFAUTI NA MIAKA MINGINE,,,hali hii imemewafanya AKINA RUGE NA MAGENGE YAKE KUSHINDWA KUPENYEZA VIBARAKA WAO WA THT kwenye KTMA.

TEAM ANAKONDA,,,kwa kweli hili ni bao la kisigino,,kubali ukatae hili ni pigo kwa ruge na wenzake. kitendo cha LADY JAYDEE KUCHUKUA TUZO WAKATI MWANA FA HAJAPATA HATA MOJA NI PIGO KUBWA SANA.

NB....nimefurahi sana FID Q KUCHUKUA TUZO JANA.
Source:JF

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kweli kaka mwisho wa ubaya ni aibu me naamin ruge mwisho wake utaku mbaya sana

    ReplyDelete
  2. Inaonekana ulikua unakonda kwel!

    ReplyDelete
  3. Hawa kina ruge hawa wabinafsii bora wamewachinjia mbali.sahivi tuzo zimeenda kihalali kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad