JAMBO limezua jambo! Zile shilingi milioni 13 alizolipa staa mkubwa wa kike Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ mahakamani ili kumnusuru Kajala Masanja kwenda gerezani, zinaendelea kusababisha fukuto na sasa Kajala amejibu mapigo, akisema hatamlipa Wema fedha hizo.
Wema na Kajala wapo kwenye gogoro zito kwa muda mrefu huku mashabiki wa mastaa hao waliojipa majina ya Team Wema (wanaomuunga mkono Wema) na Team Kajala (walio upande wa Kajala) wakiukuza ugomvi huo kwa kushambuliana kwa maneno makali kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
WEMA KUFUNGUKA
Katika gazeti hili, toleo namba 877 la Aprili 25-Mei Mosi, 2014 la wiki iliyopita, liliandika habari ya Wema iliyokuwa na kichwa; Kwa mara ya kwanza Wema afunguka, asema: NAJUTA KUMLIPIA KAJALA MIL. 13!
Hiyo ilikuwa mara ya kwanza kwa Wema kufunguka baada ya bifu la kimyakimya la muda mrefu ambapo alifafanua chanzo cha bifu lao na namna anavyojuta kumlipia Kajala fedha hizo.
“Kusema kweli najuta kumlipia (Kajala) ile faini ya Sh. milioni 13. Bora angeenda jela miaka saba kuliko kunisababishia matatizo na maumivu kiasi hiki. Mimi sijawahi kumsema vibaya K kisa eti nilimlipia fedha hizo,” alisema Wema katika gazeti hilo.
Alipoambiwa kama Kajala yupo tayari kurudisha fedha hizo alisema:
“Kama anataka kunilipa, anilipe kisha aende jela maana mimi sikumkopesha, nilitoa kwa moyo.”
HABARI ZA MOTO
Baada ya gazeti hilo kuruka mitaani na Kajala kulipata ndipo akaeleza mambo mazito.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Kajala alisema katika vitu ambavyo Wema anatakiwa kuvisahau ni pamoja na kumlipia mahakamani hizo milioni 13.
“Siwezi kumlipa ng’o. Namlipa nini sasa na kivipi? Kwani tulikopeshana? Hakuna anachonidai Wema, hata kama akisema nimlipe, siwezi kufanya hivyo,” alisema Kajala.
Huku akimwaga machozi, Kajala aliendelea: “Unajua haya mambo yanachukuliwa kirahisi tu na wadandiaji wa mambo, ni vile watu hawajui ni kwa kiwango gani hili suala linaniumiza.
“Wema alinisaidia, alinilipia fedha mahakamani wakati ambao nilikuwa na uhitaji na sikuwa na zile fedha. Kama asingejitokeza kunilipia nilikuwa nakwenda jela.
“Lile ni jambo kubwa. Thamani yake haifananishiki na fedha. Ule ulikuwa ni utu tu, sasa leo iweje ligeuzwe kuwa kama deni? Siwezi kufanya hivyo.”
YUPO TAYARI KWA SULUHU
Kwa mara nyingine tena, Kajala alisema kuhusu kupatana na Wema yupo tayari muda wowote, maana haoni sababu ya kuendelea kwa ugomvi huo.
Hii ni mara ya tatu Kajala kuzungumzia suluhu akisisitiza: “Nakosa amani kabisa na huu mzigo. Natamani kuutua. Nipo tayari kukutanishwa naye hata leo tuyamalize.”
HABARI YA MJINI
Habari ambazo zimeenea mjini lakini bado hazijathibitishwa zinadai kuwa, Kajala anajiamini kwa sababu anajua fedha alizolipiwa na Wema si zake, zililipwa na aliyekuwa mwanaume (boyfriend) wa Wema, yule kigogo wa Ikulu anayetajwa kwa jina la CK.
“Lile lilikuwa agizo, Wema hakuwa na fedha zote zile kwa ajili ya kumlipia Kajala. Alipewa na CK na kuambiwa amlipie ili asiende jela,” alisema mmoja wa watu wa karibu na mastaa hao kwa sharti la kutotajwa gazetini.
ETI ULIKUWA MPANGO!
Chanzo kinaendelea: “Alivyoingia mitaani, CK akajiweka karibu na Kajala na kumweleza mchongo mzima, kuwa yeye ndiye aliyetoa hizo fedha kwa hiyo asiwe na wasiwasi.
“Ndiyo maana hata Wema na CK walivyoachana ikawa rahisi kwa CK kujimilikisha Kajala moja kwa moja kwa sababu anaujua ukweli.”
Haya ni madai ya chanzo chetu ambayo hayajathibitishwa na wahusika.
SAFARI ZA CHINA VIPI?
Habari nyingine ambazo bado zinafuatiliwa ili zithibitishwe, zinasema kuwa, safari nyingi za Kajala kwenda China kwa mapumziko huwa anamfuata au kuongozana na CK.
“Hata sasa hivi (juzi Jumatano) wapo safarini China wanakula bata. Yaani haya mambo yamejifunga sana. Yanahitaji hekima sana kuyamaliza,” aliendelea kudai.
BIFU HADI LINI?
Wadau wa tasnia ya filamu Bongo, kwa nyakati tofauti wamekuwa wakipiga simu na kutuma ujumbe mfupi katika chumba cha habari cha magazeti pendwa Tanzania, Global Publishers na kueleza jinsi ambavyo mtaani kunazidi kuchafuka kuhusu sakata hilo huku wengi wakiwataka wayamalize.
“Haya mambo yanakuzwa na watu. Hawa ni wasanii wazuri, wana majina makubwa na wanaendana, nashauri wazungumze, wayamalize. Bifu lao halijengi badala yake linabomoa,” Maimuna Sadallah wa Majani Mapana, Tanga alieleza katika ujumbe wake.
Msomaji mwingine aliyejitambulisha kwa jina la mama Mwaija mkazi wa Mbagala - Maji Matitu, Dar alikuwa na haya ya kusema: “Haya mambo ya wanangu Wema na Kajala yananichoma sana. Napenda sana filamu zao, nafurahia namna wanavyoshirikiana na kusaidiana. Hebu wamlaani shetani.”
WAZAZI WAOMBWA KUINGILIA KATI
James Sukae wa Kimara-Baruti, Dar alisema: “Hili jambo na umri wao naona ni kubwa sana kwao kulimaliza. Tukisema tusubiri wayamalize wenyewe, haitawezekana ila litazidi kuwa kubwa.
“Kajala ana wazazi wake, Wema naye kadhalika.
Tena hapa nisisitize, wazazi wanaopaswa zaidi kushughulikia hili ni mama zao. Mama Kajala na mama Wema wanatakiwa kukutana na watoto wao ili wawakalishe na kuzungumza.
“Kwangu mimi, mbele ya wazazi ni jambo dogo sana. Hekima zao ni kubwa na bila shaka watalimaliza kuliko kuacha likielea kama ilivyo sasa. Wakipuuzia hili suala litasababisha janga kubwa.”
GPL
SAKATA LA MIL 13:KAJALA AFUNGUKA KUWA "SIMLIPI WEMA MIL.13 NG'O"
69
May 02, 2014
Tags
GPL nao wambea tu ndio wanaokuza ugomvi ili wauze magazeti, mngekuwa wa maana si mngewapatanisha
ReplyDeleteKajala nakupenda kweli unavyojua kuwakomesha watu wajinga wajinga kama hao. Mtu asikunyime usingizi kwa ajili ya ulimbukeni wake tu wa kutaka kusujudiwa......acha vicheche wenzake wamsujudu.
Deletekweli mdau
ReplyDeleteWaache ukuda hao hasa hako kanakojiita at kabeutiful onyinye kama alitoa msaada ya nini kuongelea habari ya milion 13? kama sio unafiki na uzandiki mkubwa alionao kicheche hyu(Wema)
ReplyDeleteKicheche? Kwani amekula kuku zako? Hata kumjua humjui unakurupuka tuu kama mkojo wa asubuhi.
DeleteNi kweli. Kama kweli alimsaidia kwa roho safi, kwa nini leo hii azidai???.....au msaada wake ulikuwa na walakini. Kajala ukae chonjo na vicheche hawa. Sio kila anayekuchekea au kukusaidia ni rafiki wa kweli. Huyo Kicheche alichokuwa anakitafuta ni publicity. Na kwa sababu sasa hivi yuko juu ya mawe, na haoni kama anapata attention anayoitaka. Sasa anatumia njia hiyo hiyo kutafuta hiyo attention. Who careeessss.......usimpe hela yoyote. Kwa sababu hata kisheria, ule ulikuwa ni msaada, na si vinginevyo. Yeye aendeleee huko na ukicheche wake. Kajala mtu asikunyime usingizi.
DeleteWe mbulula kweli. Wema apate attention mara ngapi ss? Since kanyakua taji la Miss Tz 2006 alishapata publicity za kutosha. Huyo Kajala Malaya mbwa kabisa angekua sio kicheche angedumu na P-funky au hata angeshikamana na mumewe katika kipindi hiki kigumu. Taahira wewe na akili zako fupi kulingana na mwisho wa mkojo wako....msonyooooo
DeleteHuyo Kicheche anapiga attention. Piga ua. Anavyopenda kuabudiwa kama Mungu mtu. Hafai. Hiyo Miss TZ haina tija......by the way that back 2006 zamaaaaniii. Ma Miss wangapi wamepita hapo kati?????.....hana lolote, nikutafuta watu wajinga wajinga wasumjudu. Watu kama wewe....hovyoooooooo...kinuka mkojo weeeeee......
Deleteanalia nini mnafki tu
ReplyDeleteKwani mnafiki ni nani????.....Ni yule aliyetoa hela zinazoitwa msaada halafu leo hii anazidai?????.....Au ni yule aliyepokea msaada kwa roho kunjufu????....unajua tatizo la huyo kicheche (Wema) kwanza ni mpenda misifa halafu pili ni mtu anayependa watu ku kiss her ass. Msaada huwa haudaiwi....kicheche yule (Wema) atajifunza liniiii?????......ingekuwa ni hivyo basi Nchi za Ulaya zingekuwa zimeishaifilisi Afrika.
DeleteFala wewe hebu acha kuropoka kama umekunywa maji ya choo kwamtogole au kwatumbo tandala. Hiv umesoma vizur maelezo ya Wema au yanakutoka tu? Utakufa na chuki zako Mbwrha wewe. Na hata unye mezani Wema atabaki ku WEMA miaka kendaaaa siyo huyo bibi bomba..
DeleteNiwe na chuki na kichecheee????....Lahaula....mwanamke bomba unamjua wewe......nenda basi kaunywe mkojo wake kama namna gani vipi.
DeleteSafi mamaee umemshushuaje.kajala mamboyote tu unaweza ukawa mzuri ukicheche ukakufanya uwe km godoro lamwaka 47.unazeeka kabla ya umri.hlf pale kajala anamtoto mkubwa bdo bombavile kicheche hamfikii.sasa kicheche akizaa ataporomoka kama kifusi,manahapo alipo kwishaaaa.dangote funua tu
DeleteNyie global si muwapatanishe? Mnaona raha tu kukuza maneno ili muuze magazeti
ReplyDeleteNani awapatanishe???? Kwani wakati wanaanza huo ugomvi na aliyekuwepo????? Acha Mungu ndio atawa hukumu.
DeleteWema alikuwa na ck ndio maana aliongea naye maneno matamu ck akampa hera leo hih eti awezi kumpa sababu hera ya ck haiusu kwanza wema haitaji kulipwa wema ni mtu na anabahati atapata na wewe wema usipende kuwa na marafiki washenzi bora ha snura akukubebea bwana k ukujua kama ana adabu na mashemeji zake huyo maharage ya mbeya maji maramoja.
ReplyDeleteWe tako nahisi utakuwa mkimbizi, kumanina zako! Hebu nenda kajifunze Kiswahili huko! Pumbu we!
DeleteMatusi ni ya nini????...yule kicheche (Wema) kaisha ishiwa. Hana nyimbo.....Wema wa kwenda Mtwara leo hii?????.....Kweli Domo kazi anayo...hahaha.
DeleteSasa ulitaka aje mkunduni mwako msenge wewe?? Joto linakupanda sana kwaajili ya WEMA eeeehh... Wewe umeshatombwa hadi na punda ndo ujikute msafiii?
DeleteMatusi hayana tija karne hii. Nenda Shule. Binadamu haabudiwi, bali ni Mungu pekeee......tumia chlorite kuusafisha huo mdomo wako mchafu na mchungu.
DeleteTena mkimbizi wakimbiji tatizo shule za memkwa zimewakira mtu mzima hovyo unakurupuka tu kama cha kwanza sema hela.eti hera na snura ameingiaje hapo fata yako jifikirie kesho utapata wapi nauli ya daladala
ReplyDeletechezea wema, ananyota kali kila siku wema,wema
ReplyDeleteMwenye nyota kali ataudai msaada. That's a biiiiigggg Joke.
DeleteHivi WW mbwa unaedai wema kicheche alilala na Baba yako acha wivu ww WA kimaskin na hata akienda mtwara inakuhusu nn ww Malaya mchafu au kwa akili yako unamfikia wema kinyago cha nguruwe WW, na nyota yake unaifikia We kima kasafishe kuma lako
DeleteMatusi hayasaidiii.....kicheche ni kicheche tu. Hata mbingu zikifunguka atabaki kuwa kicheche tu. Kama namna gani vipi, si na wewe umfuate kule Ntwaraaa...hahaha.
DeleteMpk hapo ulipo ushatombwa na mboo ngapi? Kicheche mzee mashavu yamekushuka kw mboo zilizozid uwezo Wako... Hahahaha kicheche anamjua kicheche mwenzake kantangazeeeee na mtwara kulivyo kuzuri mpk rahaaaaaaaaaaa
DeleteWewe unakujua kuzuriiii??????.....nikutangazie wapi?????....matakoni mwa dunia...lol
DeleteWe bwege apo juu 11:14 aliekwambia wema anataka ela yake nani au unaropoka Tu ili mradi minyege vidole ikuishe ungeangalia tak one ndio ungejua ukweli,
ReplyDeleteHana kituuu. Yuko juu ya mawe. Kicheche kaenda Mtwara LOL!
DeleteKwani mtwara Kuna nn? Ukizingatia kaenda kw matembezi u kno wat unajipa moyo huku unaumia na dhiki zako kwa wema,poleeeee maneno ya mkosaji na utakufa nacho kijiba cha roho yule ndie superstar anaeutendea haki na co WW ngedere mchafu usijulikana na badoooooo atakuwa juu zaid ya knjaro
DeleteNi jins gani ulivyo mshamba WA maisha ya wema, wema c mshamba WA Europe Ata umzarau kwenda mtwara upo we mkundu WA Baba yako, mind ur fucking slaughter life
DeleteKwani kuna limitation katika maisha ya Wema ya wapi aende na wapi asiende? Ulivyo mbulula sasa badala ya kusifu vya kwenu umekazana na vya nje mbulula wewe. Na ulivyo limbukeni sasa unaona kama kufika ulaya umemaliza vile. Fanya kazi wewe msenge Wema kwenda Mtwara kila kitu analipiwa na bado anatengeneza pesa wewe umebaki kubwabwaja tu.
DeleteNdiooooo....Ulaya the system works. Hakuna miungu watu. Wewe endelea kumsujudia huyo kicheche. Kwani umekatazwaaaa?????????
Deletejamani naombeni na mie mue munaniongelea, naitwa mwajuma, nyie kila siku wema tuu
ReplyDeleteJina lenyewe hata kuingizwa kwenye Computer linagoma. Sasa nani ashugulike na wewe fala ulokuja mjini na roli la n'gombe?
DeleteHuyo kicheche kaishakuwa Mungu mtu.....ana wafuasi balaaaaa??????......mchangieni basi hizo million 13 anazoshindia kuzipigia makelele mabarabarani. Mungu mtu naye huwa anadai hela...lol
Deletekasema hana shida ya m13 alijitolea kama msaada kama anavyofanya kwa watu wengine ila nyie fake people ndio munaokuza ugonvi ni bola kuwauliza wausika wema na kajala wawape stori ilivyo kuliko kufanya ushambenga na udaku hapa musiwafatishe watu fitina na waandishi wa habari
Deletejalala kajala
ReplyDeleteWema hajadai hela kwa kajala ht siku moja ila magazet ya udaku yanaaribu na kuzua maneno yao na wema ulaya ameanza kwenda tangia mtoto na amesoma malaysia kwao amezaliwa pesa ipo na ss hv ni balozi wa airtell km mlikuwa hamjuwi niwakumbushe ugomvi wake na kanumba baba ake alimpeleka uingereza na akamwambia asirudi tz baada ya mwaka ss kajala kazaliwa kny mshahara wa polisi alikuwa anacheza uchi casino na katombwa na baba ake na alivo na roho mbaya kamdai mumewe talaka jela hv huyu mtu au takataka.
ReplyDeleteww mshamba mkubwa wa nje za nchi kwenda korlte uko elimu hana yan yeye ni mtoto wa uzeeni baba anao watoto wa ujanani ndiyo wamefaidi life siyo uyu kibibi chenu
DeleteHivi wewe unajua maana ya mtu kuwa msomi?????......hivi huyo kicheche ana professional gani????......mbona ni mtu ambaye hana hata logic yoyote ya maana. Huko Malaysia alienda kusomea kitu gani? Alienda kusomea ukicheche??????......hiyo Uingereza unayoitaja mbona hafanani nayo. By the way ni Uingereza gani aliyoenda yeye????.....na ni kitu gani cha kujivunia ambacho anacho ili kweli tujue alijifunza akiwa Uingereza. Kwa taarifa yako Uingereza huwa haitoi Degree ya ukicheche. Na huyo Wema ni certified kicheche......sasa sijui unachoongea ni nini. Acha mambo ya kumsujudia binadamu. Huyo atabakia kuwa kicheche tuuuuu.
ReplyDeleteww mwenyewe unamsujudia kajala mcheza uchi casino mwenye laana ya watu kumtelekeza mumewe jela na kudai talaka na ametombwa na baba ake hv ni aibu gani hiyo form two karudia mara nne ni jinsi gani hana akili uko china anakujua leo kushangaa maji wakati wema alienda kufanya shoping kwa ajil ya mbwa wake na ht kiumri hawaendani kajala ni mtu mzima anakaribia kuitwa bibi wema ni bint mdogo ajishangai kwa umri alionao kugombana na mdogo wake majani mwenyewe kamtema jinsi alivojaa nuksi yani kajala mbulula anafanya umalaya wa kijinga mpk mwanae anajua na km haitosh anamuuza paula kwa dogo janja km siyo umaskini wa akili ni nini.
ReplyDeleteUmri ndio nini????.....mbona wenye umri wa aina yake wanafanya kweli. Wewe vipi??...ni kweli Kajala kamzidi umri. So what????.....by the way mbona anaonekana ni mzee kuliko Kajala. Au ndio ukicheche unaomfanya aonekane kijebaaa.......cellulitis mpaka kwenye magoti.....nyoooooooooooo mburulaz mkubwa weeee......wewe na yeye wote ni wale certified vicheche.
DeleteHebu niambie, ukienda China unazungumza lugha gani?????
DeleteKwan wema akienda mtwara akienda ulaya tatizo nn? Kwanza huko china anapoendaga kajala c ulaya arudi shule akasome geography! Isitoshe anaeropoka habar za ulaya hamjui wema vizuri. Km ni ukicheche Kajala ana usafi gani jaman? Labda mi siujui huo usafi wake mnijuze..
ReplyDeleteNi kweli China sio Ulaya. Lakini huyo kicheche aache mara moja hiyo tabia ya kutafuta cheap publicity....kisa eti katoa vijisenti kumnusuru mtu asiende jela. Na pia asitegemee watu kumsujudia. Kwani yeye sio Mungu. Bali ni kicheche Buahahahahaha....
Deletenaona hapa ni watu wawili tu wanajibishana
ReplyDeletemwamuzi kipenga
Yeah ni watu wawili tu. Kwa ssbabu wengine wooooteee waliobaki ni wale mamburulaz wanaomsujudia Kicheche. Buahahahaha......cheza na Kajala wewe....
Deletewewe inaonekana huli hulali hujambi kwa sababu ya wema
DeleteJamani wema yuko juu mtaongea sana lakini amumpati mnapiga kelele huko anakula raha na malipo juu sijui nyie mikuma.
ReplyDeletepolw mdau apo juu umebaki joto hasira kisa wema ndiyo jiugonjwa lako km vp akinya uwe unachamba chezea k ww tunampenda sana hana uswazi km nyie vitimu vizivyokuwa na refa hahahaha kaoge km limekutachi
ReplyDeleteWEMA ni STAR.... never see before acha joto asira
ReplyDeleteNi star gani ambaye hata ofisi hana??????
Deletekweli nimeamini WEMA ANAPENDWA SANA. KUKIWA POST YA WEMA COMt zinakuwa nyingi.na magazeti yanauzikana kwa wingi
ReplyDeletehahahahaha joto hasira unalo ww maana ujui staa ndiyo mana star awezi kuwa wema na mauswahili yake bidada swahili ilo looooh kutwa kutaka mwenziye amuabudu aende kule wakuabudiwa ni Mungu tu si yeye kicheche
ReplyDeletenani ampende sema yupo ba dimond ndiyo tunampenda sana sasa yuko na huyu kicheche ndiyo mana tunacoment sana na ukiangalia k tunampenda sana ndiyo maan mijitu ikimtukana k lzm tunajibu anatia huruma k sana ajui uswahil kabis
ReplyDeleteKwa kweli Kajala ni bab Kubwa.......yani sio mswahili kabisaaaa........huyo Kicheche kwa kweli anatia kichefuchefu....
Deletehuyu msamba anayemtetea wema masikini nikili kinachotumwa tumwa na wema, amsafishie viatu wema na nini, wezake wanafanya mambo yeye , kutegemea pesa za wanaume, baby diamond atanipa, bby clement alifanya sasa ndi staa gani, staa bongo, acheni ushamba , mastaa wa USA, wana work hard, hawana upumbavu wa huyo changu doa wema ,hana akili anaina sifa kutukana watu mdomo mchafu, wafanyakazi anawatukana mswahili kweli, sijui kwanini mnamuita staa hafai kabisa kuwa staa ,kanapenda sifa na kwa udogo hana udogo wa kuitwa mdogo, kila siku ana miaka 25 haizidi hapo, mhh jamani ww mpambe unaandika mara tele siku atayekutukana akuchape na vibao , ndio utaandika vizuri, duh yaani watu wanatoa comment ni kwamba wamemchoka sana, ana boa sana hana uzuri wema vimiguu vibaya angeenda huko china akajazie kama alivyojaziia vimatako. washamba wote mnayemfagilia , na kajala asimlipe alikuwa anatafuta sifa kumlipia na alizipata kweli what else she want oh OMG, stupid bitch, kana wivu kajala anajifanyia mambo yake yeye anategemea wanaume kamuona diamond mambo poa sasa ndi anamganda, alitaka kajala asifanikiwe awe anamfata nyuma ambebe pochi no kajala dont do that, nasiombe kupatana nae hujamuomba akulipie na kama asingefanya hivyo angetokea tu mtu angefanya, mnafiki pesa zenyewe sio zake zinajulikana zilipo toka so shhhhhhhh
ReplyDeleteI like that.....kwa sababu hao mamburulaz wamezidi kumsujudia huyo Kicheche. Halafu huyo Kicheche mwenyewe mswahiliiiiii.....analala kitandani na vumbi miguuni......hana lolote......ni kweli kabisa. Huyo Kicheche hakui. Yeye kila siku ni mdogo. Wenzake wanakua na kuendeleza maisha. Yeye kila siku yuko pale pale ana Miaka 17 na kazi kuzengea hela za wanaume. Kwa kweli tumemchoka Kicheche huyu........ni mamburulaz tuuu ndio watakao kusujudia kicheche wewe........cheza na Kajala wewe......
Deletehahahahaha jamanu mdau apo juu umenipa raha ww acha eti supastar yeye bana kutegemea pesa za mabwana hata ofs hana
ReplyDeletenimefurahi sana maana sifa nyingi sana bi dada uyo atafute ofs si majigambo na show off za kijinga
ReplyDeletewema ananyumba dodiiiiiii
ReplyDeleteWote tumeni maoni kwa watu watano. Kwa maelezo msiyoulizwa na kufatilia life za watu kama unaona ukicheche Una faida nawe jiunge kama uwezi funga kwapa lako ,roho mbaya tu zinawasumbua hamna lolote na roho zenu za kimackn wema anawanyima watu usingizi looh aibu kutoa miacra kwa mtu asie na tym na mbulula
ReplyDeletenyie hapa udakuni ndio munao chongea, wenyewe wahusika wala hawana mpango na munayoyaongea, kwanza hawakujueni munaumiza vichwa vyenu bule kufikilia uandike neno gani...lol
ReplyDeleteAnanyumba wapi Kicheche huyo??......halafu huyo anayejiita le mutuz anaingizaje habari kwenye Blog hii?????......si anayo Blog yake??????.....akae huko huko. Huku hatumtaki.
ReplyDeletefitina zako hakusikilizi mtu hapa wewe ni sawa sawa na wale wabunge wa ukawa, kushindana na serikali kitu ambacho hakita wezekana, so wema atabaki kua wema hata uongee vipi ni jambo ambalo halitawezekana
DeleteWewe anonymous hapo juu utashangaaaa.......kimsingi mimi ni mtu ninayejiamini. Sibabaishwi na Vicheche. Na wala siko hapa kulamba matako ya mtu eti kisa kicheche. Mimi na exposure ya hali ya juu. Na nina kutana na watu ambao very high profile na mambo yao ni kimya kimya. Hawanyanyasi watu wengine wala nini. Wakitoa msaada maana wameutoa. Hawegeuki nyuma na kuanza kupigapiga makelele.....tatizo lako wewe ni ulimbukeni wa hayo mambo na watu wadogo wadogo waliokuzunguka.....tembea Dunia hii ujionee watu walivyokuwa wastaaaarabu. Minyanyaso dhidi ya binadamu wengine ndio dhana nzima hapa. Akili ni nywele kila mtu ana zake....Halloooooooooooo.....kiumbe kuku weeeeeee....
ReplyDeleteata ufanye vipi ustar wako hautamfikia wema
DeleteU Star gani unauzungumzia wewe........U Star wa kwenda kuwanyanyasa watu kwa sababu tu ya msaada wa vijisenti senti. Kama ni U Star wa aina hiyo basi acha na ukae siutaki ng'o.......sijui ni kitu gani kinachokufanya usinielewe....akili fupi kama ncha ya maviii.....kichwa kigumuuuuuuu.....mxiuuuuuuuuuu
Delete