Samahani kwa Picha:Mauaji ya Kutisha, Kikongwe Auwawa kwa Imani za Kishirikina

Mauaji ya kutisha yamezidi kuitikisa kahama baada ya  Bi Tabu Mtema, miaka 33 mkazi wa kijiji cha BUSULWANGILI Kahama  Shinyanga kuuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana baada ya watu hao kuvamia nyumbani kwa marehemu na kumjeruhi vibaya kwa mapanga.

Tukio hilo limetokea katika kijiji cha BUSULWANGILI (W) Kahama (M) Shinyanga  jana saa 19:00 nyumbani kwake na watu wasiojulikana ambao pia watu hao walimjeruhi kichwani mume wa mama huyo kwa kutumia panga...

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dunia Imeisha Da!

    ReplyDelete
  2. he yani miaka 33 ndo kikongwe au typing error? halafu kumbe hiz iman bado znaendelea jaman watz tumuachie Mungu ndo atahukumu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mi mwenyewe nimeshangaa kikongwe wa miaka 33 lol! nikajua muuaji ndo anamiaka 33 habari zenu sio za uhakika au pia kusoma kwenu ni inshu

      Delete
  3. allah akbar, allah irahma yarabi. jamani tunaelekea wapi kama kweli pana uchawi si angeruka kabla hajafa? waafrika kwa imani za kishenzi? ama mmeshinda

    ReplyDelete
  4. Nimeshangaa sana et miaka 33 kikongwe, jamani hiyote ni kukosa hofu na mwenyezi mungu, enyi waja tumludie mungu natu sali

    ReplyDelete
  5. kikongwe miaka 33 ? bangi hizo wewe muhandishi

    ReplyDelete
  6. kikongwe miaka 33 ? bangi hizo wewe muhandishi

    ReplyDelete
  7. Bange noma!kama miaka 33 siku hiz ni vikongwe!bac miaka ya kuishi imepungua kwa kasi ya ajabu.

    ReplyDelete
  8. oooh jamani mgangawangu kauliwa haya ntaenda wapi mimi loh kwisha habar

    ReplyDelete
  9. Basi mimi ntakuwa mzee sana kama 33 nikikongwe nina 40 waandishi washenzi sana

    ReplyDelete
  10. Mybe 73 kakosea mwandishi muhimu c kuangalia makosa ya mwandishi kwani binadamu sote ni wakosaji ila cha kuzingatia kwa nini serekali haiweki msimamo mkali kuwalinda raia wake hii ni hatari sana

    ReplyDelete
  11. Ivi kwanini mijitu ya huko ina imani haba kila ukiona tukio la aina hii basi ni kanda za huko mbona mijitu haina akili na elimu inaona sawa kumchinja mwenzie

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad