Ni stori ya kusikitisha ambayo ukiisikiliza moja kwa moja ndipo unaelewa,kifupi ni kwamba dada yetu wa kitanzania alikua na mahusiano ya kimapenzi na mvulana raia wa Canada,ambayo kwa maelezo ya dada yetu walionana kwenye fukwe(beach)kisha wakapendana na kuamua kuishi pamoja.
Kulingana na maelezo ya dada huyu baada ya jamaa kuonekana kama kumchoka aliamua kumfanya kama msichana wa kazi lakini pamoja na kumfanya kama msichana wa kazi,hata malipo hakuwa anamlipa.
Bonyeza Hapa Kusikiliza:
Shida nyingine tunajitakia wenyewe! Madai yake hana pa kwenda Tz nzima hana ndugu wala jamaa!?
ReplyDeleteToo much kujirahisisha dada zetu kiss mzungu.
ReplyDeletewazungu pia wanadam wapo wenye roho nzuri na mbaya, ivo usione ile rangi ukakurupuka tu
ReplyDeleteWel said mdau kuna baazi ya wazungu awanaga matatizo ila wengne baana n shhhhhiiida tupu
ReplyDeletesi aondoke na asamee izo hela mungu atamlipia,
ReplyDeleteKazi kweli kweli!
ReplyDeleteEti polisi katukanwa black monkey then kachekelaaaa aibu ilio je
ReplyDelete