Sikio la kufa la Wasanii Wetu wa Bongo, Embu Mwigeni Diamond Japo Kidogo

Yaani jinsi Diamond alivyobadili mziki wa TZ ungefikiri wasanii wengine wange muiga lakini wapi. Bado wanarudia makosa yale yale na wanashangaa kwa nini hawafiki mbali. Ally kiba bado anavaa vile vile kwenye steji na kwenye video nguo zile zile anazo zurura nazo mitaani video still mbovu mbovu.

Ommy Dimpoz bado anaona sifa kuringa ringa kutoa video hadi nyimbo yake ya Tupogo inachuja sasa haina video na haoni hasara aliyopata.

Lynex nae hivyo hivyo nyimbo ya mahakama ya mapenzi hadi imechuja haina video wakati mwenzao Diamond nyimbo moja video mbili na zaidi ya million 80 katumia no wonder yuko mbaali huku wao wamebaki hawajui wafanyaje.

Embu basi mwingine basi Diamond Japo Kidogo, Japo na yeye ana mapungufu yake hasa kwenye kumiliki Steji ila mengine kama PR na Unadhifu akiwa steji yupo vizuri asilimia 90

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli kabisa wafuate nyayo

    ReplyDelete
  2. Ila mwandishi wa hii blog una visa. Kwenye library yako yòooote umeona picha ya Diamond hiyo ndio the best? Inaendana na habari eheee? Basi sawa.

    ReplyDelete
  3. eeeh dimond anabusiwa......kazi kweli kweli kuna mzungu katoka rwanda anampenda diamond....du!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Nana na wewe kama unampenda diamond mwambie

    ReplyDelete
  5. Sasa hapo cha kuigwa kipi? Kuvaa boxer ya draft na kifua wazi? Au kipigwa busu na wasichana akiwa kwenye jukwaa? Hii kweli udaku special, diomond ka ng'aa kwa nyimbo zake ila hamna cha kuigwa hapo, riziki mafungu matatu kama ipo, ipo tu iko siku na wengine watakuwa juu, maisha ni foleni kila siku inasogea.

    ReplyDelete
  6. anaefata nyayo izo ni rich mavoko... Mzee wa roho yangu, i really love his music

    ReplyDelete
  7. kweli kabisa!!!!

    ReplyDelete
  8. onjeni penzi la wema muwe juu

    ReplyDelete
  9. mbona ay hajaonja na yupo juu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad