Simon Group na Ridhiwani Kikwete wana Uhusiano Gani?

Kumekuwa na kizungumkuti kikubwa sana kuhusu kampuni ya Saimon Group na hisa za shiriki la UDA , na kizungumkuti hiki kinatokana na ukweli kuwa hisa hizo ziliuzwa kihuni huni , kuna harufu kubwa ya rushwa nk .

Maswali ya kujiuliza ni kama ifuatavyo; 

i. Saimon Group ni nani ,

ii. Nguvu za kuligawa hata Bunge anazitoa wapi ,

iii. Nani yuko nyuma yake ,

iv. Ni akina nani ni wana hisa wa Saimon Group,

v. Ni kwanini magari yake yote 300 yalipewa tax exemption , 

Natoa some clue lead kwa ajili ya JF MEMBERS kufanya ufuatiliaji wa kina .....

i. Ni kuwa Saimon Kisena , aligombea Ubunge Jimbo la Maswa Magharibi mwaka 2010 na alishindwa na Shibuda kwenye kura za maoni ila jina la Shibuda lilikatwa na kamati kuu, ndipo Shibuda kaenda Chadema .

ii. Wakati wa Kampeni , Ridhiwani Kikwete alifanya kazi kubwa sana ya kampeni kwenye majimbo matatu nchini ambayo yalikuwa ni Maswa Magharibi ( Saimon Kisena ) , Shinyanga Mjini ( Masele ) na Meatu ( Salum Mbuzi ) .

iii. Saimon Kisena , anamiliki Ginnery ya Pamba iliyoko Malampaka , na Ginery hii ilinufaika na fedha za stimulus package ambazo ni fedha za umma , na mpaka leo bado hakuna taarifa rasmi za ni akina nani walinufaika na fedha hizi kiasi cha shilingi trilioni moja na usheee....

iv. Kuna taarifa za uhakika kuwa Ridhiwani Kikwete ,ni share holder wa Saimon kwenye Ginnery hiyo , na hata kwenye umilikaji wa UDA ni sehemu ya Kampuni husika .

Naomba tujadili kwa lengo la kutafuta majibu ya maswali hapo juu.

Nitaendelea baadae ...

Safari_ni_Safari


Mwaka 2010 Simon Kisena akigombea nafasi ya kuwa mgombea ubunge ndani ya CCM alidiriki kumpiga mtama OCD wa huko Maswa na OCD yule ndiye akaadhibiwa kwa kuhamishwa kituo cha kazi
Jf
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hii ndo bongo

    ReplyDelete
  2. ccm oyeeeeeeeee ccm juuuuuuuuu ccm idumu mileleeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  3. CCM Watatumaliza, sasa watoto wao wanafanya wavyotaka........CCM oyeeee, CCM juuuuu CCM kidumu mileleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  4. Weer hapo juu ni fala....hautaki kukubali ukweli kwamba iko siku utakufa na kuicha hii dunia pamoj na ndug na watot wako.!njia njema ya kuwaacha kwema ni kuuzuia mambo Haya na Si kushangilia wala kulimbikiza mali wako wapi kina mobutu!!ndio maana nyerere alisema ccm sio mamaa yangu wala baba yangu.kama Mtu anakosea anakosea tu!!!hii ni nchi yangu si nchi ya nyerere wala ya kikwete no yako.!!! Ni Teri wajibu wetu kuilinda!!!pole kwa Rudi hapo juuu ila we ni falaaa!!halafu lazima ufe siku hizi mbili usipowaomba watanzania msamahaa!!!!!

    ReplyDelete
  5. Tena kaka huyo jamaa itakua anapigwa nyuma coz haiwezekani anashabikia watu ambao wanazidi kuitesa hii nchi kwa kutukandamiza kiuchumi na kutunyanyasa kwa mali za umma, tuondoe ushabiki wa chama, kikwete na mbwa koko wako wenzio wote wa chama chenu mnafanya mambo ya aibu sana kwa kujilimbikizia mali za tz kana kwamba hamtakufa, pumbafuuu sana nyie ebu badilikeni ndo maana tz tunashika nafasi ya tisa kwa kwa think capacity ndogo hasa kwa ninyi mnaoipeleka hii nchi kama ni mali ya biashara zenu, ila ipo siku inakuja mtasaga meno na kulia hapahapa duniani

    ReplyDelete
  6. Dogo Riz'one takriban kila mkoa ana mradi mkubwa japo kwa jina la mtu mwingine "under capert" sijui pesa zote hizi za mtaji kazitoa wapi? Lkn yana mwisho yote hayo

    ReplyDelete
  7. TANZANIA YETU NDIYO NCHI YA FURAHA...... TUENZI MUUNGANO WETU WA xxxxxxx NA ZANZIBARI, TUDUMISHE AMANI YETU

    ReplyDelete
  8. xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

    ReplyDelete
  9. HUYU KISENA MIMI NAMFAHAMU SANA,ALIPOKUWA MALAMPAKA ALIMPA UJAUZITO MTOTO MDOGO TENA WA SHULE,MTOTO HUYO ALIKUWA NI MJUKUU WA MH SHIBUDA,BINTI HUYO MIMI NAMFAHAMU TENA KWA JINA,SHIBUDA BAADA YA KUPATA TAARIFA HIZO,AKAPANIA KUMFUNGA MSHKAJI,LAKINI KWA KUWA ILE FAMILIA YA YULE MTOTO NI MASIKINI,KISENA AKAFANIKIWA KUPATA ZILE TAARIFA NA HIVYO AKASEPA PALE KIJIJINI(MALAMPAKA).HADI LEO NINAVYOWAAMBIA NI KUWA MH SHIBUDA NA HUYO JAMAA HAWAPATANI KABISA KWANI ALIMHARIBIA MFUMO MZIMA WA MAISHA HUYO MJUKUU WAKE.KWA UPANDE WA RZ1,KISENA AMETOKA MBALI SANA NA HUYU DOGO,YEYE(KISENA) NDIYE ANAYEMPELEKA RZ1 KWA WAGANGA WA AINA MBALIMBALI KWA NIA MBALIMBALI KULE MALAMPAKA,KISENA NI MSHIRIKINA SANA TENA SANA,NI YEYE PIA ALIYEMSAIDIA RIZ1 KUPATA HATA UBUNGE KULE BAGAMOYO! HIVYO BASI KWA KUWA KARIBU NA RIZ1,PIA JAMAA YUPO KARIBU SANA NA JK,JK HAPINDUI KWA KISENA,NYINYI MMEISHAWAHI KUMSIKIA JK AKIHOJI LOLOTE JUU YA UDA? HAKIKA HAKUNA CHOMBO CHOCHOTE CHA KISERIKALI CHENYE UWEZO WA KUHOJI NA KUPATA UKWELI JUU YA UDA.NAWASILISHA.

    ReplyDelete
  10. Huyu riz1 ataishia vibaya kama watoto wa Sadam hussein,Bin laden,Gaddafi,Mubarak,Bokassa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad