Stevie Nyerere Analazimisha Ustaa?

Huyu Stevie Nyerere mbona mwenzenu simuelewi,namuona tu na kimbelembele chake na kujikwezakweza aonekane na yeye yumo.Hivi anafanya kazi gani ya kuonekana inayomfanya ajione yumo kiasi hicho au fans wake ni kina nani?Naona kama muonekano wake unamkataza kabisa kuwa Celebrity ila yeye kama analazimisha hivi au?.

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mi simpendagi huyuuu.kwanza hata sijui anachofanyaga kwakweli

    ReplyDelete
  2. mh mbona hueleweki kha

    ReplyDelete
  3. hilo steve halina jipya mfupi kama kimba..tutolee hapa

    ReplyDelete
  4. steve wewe ni mchekeshaji , muiga sauti au kuwadi... Maana unaponda wenzio kila leo lkn unachofanya wewe cha kukupa heshima hakieleweki

    ReplyDelete
  5. Its true......yani ni bora akaachana na sanaa...hana mvuto wowote.....kuchekesha kwenyewe hachekeshiii......tena aache kulitumia jina la baba wa taifa hata kama hua anaiiga sauti yake....

    ReplyDelete
  6. Watu wengine wanapenda kujikweza ili nao waonekane kuwa wanaweza lakin hata mm simpendagi

    ReplyDelete
  7. Watu wengine wanapenda kujikweza ili nao waonekane kuwa wanaweza lakin hata mm simpendagi

    ReplyDelete
  8. FALA HUYO KWANZA MFUPI KAMA MAVI YA KOBE, KUMAMAKE KWANZA NANI ANAMTAKA HUYO? AKAFIRWE MBELE NA BADO TUTAMFIRA TU

    ReplyDelete
  9. Hana mvuto huyo jamaa ana sifa ya Kuwa super star

    ReplyDelete
  10. Kaz anayoifanya Ni kupiga vibom waheshimiwa..

    ReplyDelete
  11. Hahahaaa wadau hatar ni kumponda tu ila kiukwel hafai kua mwenyekit hata lugha ya taifa hawez kuandka aibu hii kwa kwel, bora chen awe mwenyekit

    ReplyDelete
  12. hahhaa steve kajitundke watu wote wanakuponda huna anae ku support acha usanii kalime

    ReplyDelete
  13. Hili swali kwamba yeye ni nani? si umuulize mwenyewe, si yupo?

    ReplyDelete
  14. Hiki kijamaa kazi yake kubwa na inayomweka hapa mjini ni kuwakuwadia viongozi wa ccm mademu na kajipendekeza sana kwa ridhiwan huyu short!

    ReplyDelete
  15. Hahahaaaa......ngoja nipite mie!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad