Sugu Amuumbua Waziri Magufuli

Akichangia jioni hii Mhe Sugu amesema kuwa Mhe Magufuli hafanyi kazi kitaalamu bali anapiga siasa tuu ili kupumbaza watu. Amesema kuwa hizo barabara anazojisifia na zinazotumia mabilioni mbona baada ya miezi michache zinqumuka na kuhitaji matengenezo makubwa wakati kuna barabara za zamani kama Makambako -Songea ni za zamani na bado zinahimili zaidi ya hizi?
Pia amezungumzia makampuni ya kigeni kama Strabag kuwazulumu vibarua wazawa naye kukaa kimya kwa hilo zaidi ya kujisifia binafsi.
Kamaliza na kusema kama anajipigia debe la urais huko asahau bali mahali panapo msahili ni jela kwa kushiriki kwake ubadhilifu
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nikweli sugu alichosema jana

    ReplyDelete
  2. hana usafi wowote magufuli, hakuna msafi, hata mboye mbadhilifu, hata zito pia mwizi wa mali ya umma.hata sugu pia mwizi

    ReplyDelete
  3. kazi yake kusema 'tunagenga para para' analolote huyu msukuma!! ni ubabe anaoutumie kibwege.

    ReplyDelete
  4. Tutawauwa hawa jamaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad