Sumu ya Mwanamke ni Mwanamke Mwenzie

Usemi huo nilikutana nao kijiweni, wazee wakipongeza uamzi wa dini kuwa na wake wanne, kwamba mwanamke akijua kuna mwanamke mwenzake basi ananyoka vizuuuuriiii, hutasikia habari za usawa katika familia.

Maneno haya nimeyaamini baada ya kisa hiki kunitokea, nipo na mpz wangu nampenda sana na nimejiapiza ndo atakuwa mke wangu, kuna wakati akaanza kunisumbua, nilichokifanya ni kujenga mazingira nataka kurudiana na x wangu, kwamba ananibembeleza sana na hata anatumia ndugu zangu kunishawishi turudiane, kwa kweli nampiga fix tu, tokea nioneshe hivyo mpenzi wangu kanyooka kama mti wa muashoki, ule usumbufu wake wa mwanzo umekwisha kabisa, ananibembeleza kama mfalme. 

Nimeamini SUMU YA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. It shows how stupid u r! Je sku ukimkera yy atafute x wake? Usawa huu s wa four wives life 'is very tough!

    ReplyDelete
  2. Ulimbukeni kwani maisha ya ivyo yakizamani

    ReplyDelete
  3. huyu nae mistari ya mwili mpaka hapendezi halafu haoni aibu kuionyesha hovyo

    ReplyDelete
  4. yaani wanaume huwa wananichekesha kwa kweli

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad