Tabia ya Lulu Michael yawa Kero Bongo Movies

WAMEANZA! Tabia ya staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ya kutojumuika na wenzake kwenye matukio ya kijamii hasa matatizo inadaiwa kuwakera Klabu ya Bongo Movie Unity hivyo kuandaa kikao maalum cha kumkanya.

Habari kutoka kwa chanzo chetu makini, zilidai kwamba malalamiko hayo ya kuwa Lulu amekuwa mzito kuhudhuria shughuli za wenziye kama misiba au hata sherehe zilianza tangu alipotoka gerezani Segerea, Dar.

Ilisemekana kwamba kilichosababisha viongozi wa Bongo Muvi kukasirishwa na kuamua kumweka kikao ili kumsema, ni kwamba ipo siku naye yatamfika.

Baada ya kuzinyaka ‘niuzi’ hizo motomoto, Risasi Mchanganyiko lilimtafuta Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ambaye alikiri kuwepo kwa ishu hiyo ili kumuonya kwa tabia yake hiyo kwa kuwa yeye bado mdogo.

Alisema Lulu anatakiwa afuate nyayo za wakubwa zake ambao wamekuwa wakishiriki kwenye shughuli mbalimbali kwa kuwa ipo siku naye yatamfika.
 “Lulu ni mtoto mdogo, hatushindi kwa lolote, lazima tumwambie ukweli kuhusu dunia ilivyo na maisha yanavyokwenda.

“Sisi kama Bongo Movie tuna kawaida ya kuhudhuria shughuli za wenzetu pale inapobidi lakini kama mtu anakuwa na udhuru huwa anatoa taarifa lakini yeye hana kawaida hiyo, anajiona amekamilika.

“Naaamini ipo siku na yeye yatamfika kwa kuwa mitihani ni kawaida kwa binadamu, sidhani kama mtu atajitokeza na kumuunga mkono kwa tabia hiyo na siyo yeye tu anayejitenga, wapo na wengine wengi  lakini yeye bado ni mdogo kwetu huenda hajui alitendalo ndiyo maana tunataka tumfunze jinsi ya kuishi na watu,” alisema Steve.

Kwa upande wake Lulu alipotafutwa na kuulizwa juu ya jambo hilo hakuonesha mshtuko bali aliwaka: “Huyo aliyesema hivyo atajijua mwenyewe mimi sina shughuli na mtu, aachane na mimi.”
Stori: Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata, GPL
Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Alipopata yeye shida bongo movie ilikuwa wapi.?hasa huyo steve mbona hatukumsikia zaidi ya dkt cheni.mumwache bado ana hasira zake alikuwa analia mwenyewe na wachache ndo waliompa support.au kwa lulu yale yalikuwa c matatizo.bongo movie,,bongo unit wanafiki wakubwa.

    ReplyDelete
  2. Huyo steve arekebishe kauri kwani lulu yaliyomfika yalikuwa madogo!?walikuwa wapi bongo movie wakati huo....eti yatamfika mara ngapi yaliyomfika tu yalikuwa ni makubwa lkn hakupata ushirikiano wenu so piga kimyaaaaaa.

    ReplyDelete
  3. steve kenge 2

    ReplyDelete
  4. Hawa bongo movie mbona wanajifanya watakatifu sana hebutafuteni lamuhimu acheni kukaa nakuchunguza ya watu.

    ReplyDelete
  5. Hawa bongo movie mbona wanajifanya watakatifu sana hebutafuteni lamuhimu acheni kukaa nakuchunguza ya watu.

    ReplyDelete
  6. Makuma wote Lulu na Hao Bongo movie.mnatuletea usanii tu hapa,kumamayo.

    ReplyDelete
  7. Hili kundi la bongo muvi limekaa kidemu demu...kusutana sutana...kiswahili swahili.....Hovyooooo

    ReplyDelete
  8. watajiju.sisi sio wasanii..lulu iko kicheni cha shingoni..cheap bitch slave slut dog matherfucker...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eeh!!! we nae hamnazo tu...

      Delete
  9. hapo hamna kundi la bongo mov wala nn kanumba pekee ndo alikua mpango mzima

    ReplyDelete
    Replies
    1. kingelikufa hiki kimalaya au kingebaakia gerezani tu mana kimeleta umalaya upya..kinasagwa mapaka na kina filwaa sana.kikafie huko

      Delete
  10. duuu nyie wadau noma

    ReplyDelete
  11. kanumba....kanumba....uko wap fufuka bwana bongo tunalia wote maboya wewe ulikua una weza njoo uwa saidie da ina uma sana

    ReplyDelete
  12. kanumba mpango mzima atuta msahau

    ReplyDelete
  13. tuta pata wap msanii anae jali kama kanumba wengine wote wanafki bola ange kwenda lulu kuliko kanumba

    ReplyDelete
  14. just a stinking ass hana jipya huyu malaya ...pyuuuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad