Tanzia:Bongo Movie yapata pingo jingine; Recho afariki...!


RECHO AFARIKI: Msanii Rachel Haule 'Recho' afariki asubuhi hii Muhimbili Hosp, Dar baada kujifungua kwa upasuaji. Mtoto alifariki jana, Bongo Movie yathibitisha

Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.

Kifo cha Recho kimekuja ndani ya wiki moja baada ya kufariki kwa msanii mwingine wa Bongo Movi Adam Kuambiana Jumamosi iliyopita, kifo hiki kimeleta mstuko mkubwa kwenye tasnia ya ya filamu za kibongo. Habari na picha zaidi zitawajia baadae.

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. R.I.P. RECHO

    ReplyDelete
  2. jaman cku hizi hatuzeeki tunakufa vijana!!! R.I.P recho.

    ReplyDelete
  3. R.I.P RECHO

    ReplyDelete
  4. RIP RECHO

    Ingawa sikuwa namjua binafsi, nina imani kuwa alikuwa bado ni kijana sana ambaye hakutakiwa kumaliziwa maisha yake mapema hivi. Hata hivyo vijana waliobaki jiangalienai sana na uzito wa miili yenu, kwani uzito huo huchangia sa sana vifo vya mapema namna hii. Marehemu recho alikuwa na uzito unaoweza kuhatarisha maisha ya kijana yeyote.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ajafariki kutokana na umbo. I b aonyesha alipata matataizi wakati wa kujifungua. Inawezekana walimwacha kwenye uchungu wa kujifungua kwa masaa marefu mpaka mtoto akachoka na yeye kupata presha ya ujauzito. Isu ya kuwa na umbo kubwa na mazara yake na hichi kifo ni vitu tofauti

      Delete
  5. Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe

    ReplyDelete
  6. Rip Rachel always will mic u

    ReplyDelete
  7. mungu ampe pumziko la amani .ndugu zangu tusijisahau kwani hatujui siku wala saa.tuache matendo maovu ya kumchukiza muumba wetu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na nyie mnaosagana Mungu awalaani mfe mapema,kabla amjaangamiza dunia nzima kwa matendo yenu machafu yanayomchukiza Mungu.Amen

      Delete
  8. Kuuliza si ujinga, kwani kuna Recho wawili? yule matata wa bongo fleva na huyu wa bongo movies? Naomba usaidizi tafadhali

    ReplyDelete
  9. Rest in piece my love

    ReplyDelete
  10. Not in piece but peace my dear

    ReplyDelete
  11. NALIAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad