TIMU GANI HAPA BONGO HUWEZI KUISHABIKIA HATA SIKU MOJA?

Timu gani hapa Bongo huwezi kuishabikia hata siku moja?

A: Mbeya City
B: Yanga
C: Simba
D:Azam
E: Nyingineyo, itaje
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmmh! Mbona kama sijakuelewa unamaanisha nini? Hebu nifafanulie........ hiyo timu ni lazima iwe ya Tanzania? Yaani hutaishabikia hata kama itacheza na timu ngeni kutoka nchi nyingine, uwe tayari kuishabikia AFC Leopards ya Kenya (mfano) kuliko hiyo timu? Sielewi........clarify pls.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeambiwa hapa bongo ss hujaelewa nn?

      Delete
  2. Yeye anataka umwambie Yanga il I akamilishe malengo yake. Izu media wilio wengi wanazitumia kwa faida zao za kuleta chuki. Ndo maana adi Leo atujui Fatima yes katiba yetu ya Tz

    ReplyDelete
  3. mayeboyebo yanga

    ReplyDelete
    Replies
    1. we division 5 hiyo timu ulotaja haiko katika multiple choice..lakini usikonde...hatutaki mashabiki vilaza kwenye timu yetu ile ambayo baada ya kutoa huo uchafu wako uloanza nao, ndo linakuja jina safi.....nyie vilaza nyumbani kwenu ni.......(malizia mburula wewe...labda utapatia)

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad