Mh. Tundu Lissu mbunge na mwanasheria mashuhuri akichangia hoja katika wizara ya mambo ya ndani ameulizia sheria ambayo imemruhusu Salma Kikwete kufanya mikutano ya kisiasa Mtwara wakati jeshi la polisi lilipiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa tangu kipindi cha mgogoro wa gesi. Kaongezea kwa kuuliza kuwa au ni kigezo ni kuwa mke wa rais Kikwete? Kaulizia hivyo kwa sababu imeonekana mikutano ya vyama vya upinzani inapata vikwazo vingi sana na jeshi la polisi wakati mikutano ya CCM inaruhusiwa kirahisi.
Update:
Hadi waziri anahitimisha kujibu hoja za wabunge hili swali la Lissu hajalijibu.
Poli-ccm wamezidi unafiki.Eti mama Kikwette ana mpango wa kugombea Ubunge huko kwao Lindi na baadae Urais kamuiga mama Hillary mke wa Rais Clinton?
ReplyDeleteHuyu mama Kikwette ana tofauti gani na Mama Lucy Libaki aliyekuwa ana wazaba vibao mawaziri na waandishi wa habari?Ana tofauti gani na mke wa rais Marcos wa Philipines mama Imelda Marcos aliyekuwa na pair elfu nne za viatu? Hakika Tanzania inaongozwa kutokea bedroom,hakuna tofauti kati ya rais na mke wake?
ReplyDeleteChezea ccm..!utaachwa njia panda
ReplyDeleteJamani tuwaombee viongozi wetu!!!!!!
ReplyDeletePoint
ReplyDeletehuu mwaka mpk lissu mtamwelewa tu, kama ni mchochez au mhaini
ReplyDeleteKweli bro, mwk Huu lazima watamuelewa lissu.na watamueleza tu.hahaaah!
DeleteBlogger 11:17 umenifurahisha sana na uwezo wako wa kusoma kinachoendelea. Eti mumewe Dr. Hivyoni lini aliipata hata hiyo shahada ya pHD mbali ya hata Masters? Wajinga ndio waliwao.
ReplyDeleteLisu ni mchochezi mbona dada yake alimchomeka kwenye ubunge akipata uraisi si atampa uwaziri mkuu ni mnafki na tumemchoka
ReplyDelete'No research no right to speak'.Kama huijui katiba na taratibu za chadema za kupata wabunge wake wa viti maalum,utaaibka kusema mtu anaweza kumchomeka sijui dadake.
DeleteVIONGOZI WA UPINZANI MNAPASWA KUJUA KUWA CCM INAWABANA WAPINZANI, LISU WABANE HAO MABWEGE WASIOJUA SHERIA NA UTALATIBU!
ReplyDeletesafi sana mzee tundu lissu washugulikie ccm wametuuzi, io bajet hata hatuielew
ReplyDeleteUkawa sasa mmezidisha mlipojikusanya mara ya kwanza mkijiengua Bunge la katiba tuliwaamini kwa kiasi kikubwa, kutokana na hoja za Tundu Lissu zisizo na faida kwa Wananchi ila uchochezi mtupu,uaminifu wenu kwa wananchi umebaki 15% tu.Mwisho atawamaliza kabisa kesho museme CCM inaiba kura zenu kumbe Lissu ndie mvurugaji anaezungumuza bira utafiti. l
ReplyDeleteWewe kada wa ccm mbona hueleweki?
DeleteWe mkundu hapo juu kama unakula na kunya kwa ajiri ya ccm sio wote mkundu kunuka wewe!kwakuwa baba yako ni mjumbe wa nyumba kumi kumi sio wote kuma kibuyu kama huna la kuongea funga uchi wako!
Deletelisu ebu ibua mambo makubwa ya ufisadi kama zito kabwe, ucbaki kuropoka nonsense bungen
ReplyDeletewapinzani hamtaiweza ccm ng'oooooooooooooo ,mtaongea hadi mapovu yawakauke ;
ReplyDeleteNa uiombee ikae hivyo hivyo madarakan maana baba yako si alikuwa campen manager wa diwani kwahio sukari ikawa haiwapigi chenga kuma kibuyu!
Delete