Tundu Lissu: Sheria Gani ilimruhusu Salma Kikwete Kufanya Mkutano wa Siasa Kusini?

Mh. Tundu Lissu mbunge na mwanasheria mashuhuri akichangia hoja katika wizara ya mambo ya ndani ameulizia sheria ambayo imemruhusu Salma Kikwete kufanya mikutano ya kisiasa Mtwara wakati jeshi la polisi lilipiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa tangu kipindi cha mgogoro wa gesi. Kaongezea kwa kuuliza kuwa au ni kigezo ni kuwa mke wa rais Kikwete? Kaulizia hivyo kwa sababu imeonekana mikutano ya vyama vya upinzani inapata vikwazo vingi sana na jeshi la polisi wakati mikutano ya CCM inaruhusiwa kirahisi.

Update:
Hadi waziri anahitimisha kujibu hoja za wabunge hili swali la Lissu hajalijibu.
Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Poli-ccm wamezidi unafiki.Eti mama Kikwette ana mpango wa kugombea Ubunge huko kwao Lindi na baadae Urais kamuiga mama Hillary mke wa Rais Clinton?

    ReplyDelete
  2. Huyu mama Kikwette ana tofauti gani na Mama Lucy Libaki aliyekuwa ana wazaba vibao mawaziri na waandishi wa habari?Ana tofauti gani na mke wa rais Marcos wa Philipines mama Imelda Marcos aliyekuwa na pair elfu nne za viatu? Hakika Tanzania inaongozwa kutokea bedroom,hakuna tofauti kati ya rais na mke wake?

    ReplyDelete
  3. Chezea ccm..!utaachwa njia panda

    ReplyDelete
  4. Jamani tuwaombee viongozi wetu!!!!!!

    ReplyDelete
  5. huu mwaka mpk lissu mtamwelewa tu, kama ni mchochez au mhaini

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli bro, mwk Huu lazima watamuelewa lissu.na watamueleza tu.hahaaah!

      Delete
  6. Blogger 11:17 umenifurahisha sana na uwezo wako wa kusoma kinachoendelea. Eti mumewe Dr. Hivyoni lini aliipata hata hiyo shahada ya pHD mbali ya hata Masters? Wajinga ndio waliwao.

    ReplyDelete
  7. Lisu ni mchochezi mbona dada yake alimchomeka kwenye ubunge akipata uraisi si atampa uwaziri mkuu ni mnafki na tumemchoka

    ReplyDelete
    Replies
    1. 'No research no right to speak'.Kama huijui katiba na taratibu za chadema za kupata wabunge wake wa viti maalum,utaaibka kusema mtu anaweza kumchomeka sijui dadake.

      Delete
  8. VIONGOZI WA UPINZANI MNAPASWA KUJUA KUWA CCM INAWABANA WAPINZANI, LISU WABANE HAO MABWEGE WASIOJUA SHERIA NA UTALATIBU!

    ReplyDelete
  9. safi sana mzee tundu lissu washugulikie ccm wametuuzi, io bajet hata hatuielew

    ReplyDelete
  10. Ukawa sasa mmezidisha mlipojikusanya mara ya kwanza mkijiengua Bunge la katiba tuliwaamini kwa kiasi kikubwa, kutokana na hoja za Tundu Lissu zisizo na faida kwa Wananchi ila uchochezi mtupu,uaminifu wenu kwa wananchi umebaki 15% tu.Mwisho atawamaliza kabisa kesho museme CCM inaiba kura zenu kumbe Lissu ndie mvurugaji anaezungumuza bira utafiti. l

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe kada wa ccm mbona hueleweki?

      Delete
    2. We mkundu hapo juu kama unakula na kunya kwa ajiri ya ccm sio wote mkundu kunuka wewe!kwakuwa baba yako ni mjumbe wa nyumba kumi kumi sio wote kuma kibuyu kama huna la kuongea funga uchi wako!

      Delete
  11. lisu ebu ibua mambo makubwa ya ufisadi kama zito kabwe, ucbaki kuropoka nonsense bungen

    ReplyDelete
  12. wapinzani hamtaiweza ccm ng'oooooooooooooo ,mtaongea hadi mapovu yawakauke ;

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na uiombee ikae hivyo hivyo madarakan maana baba yako si alikuwa campen manager wa diwani kwahio sukari ikawa haiwapigi chenga kuma kibuyu!

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad