Tundu Lisu na Muhaini Namba Moja!

Hayo yamesemwa na mbunge Mh Mwanahamisi, kutoka Z'bar, amesema kwamba, ameendelea kuleta uchochezi visiwani na kwamba endapo damu itamwagika huko Z'bar, basi mtu wa kwanza kushikwa atakuwa Tundu Lisu. My take: Niliwahi kusema kwamba huyu ni kichaa lakini nadhani ni zaidi ya chizi au anafanya makusudi tu.
By Ralphryder
Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa kipi kuwa mhahini kisa kipi?

    ReplyDelete
  2. chizi mwenyewe na familia yako

    ReplyDelete
  3. Kweli wee mama hujui mwokoz ndo chiz mwanga wa moto ck zote haumwilik eneo kubwa naomba mungu mwanga wa jua ukufikie ili uwezo wako wa kuona mambo ukue

    ReplyDelete
  4. Mhaini kwa sababu amethubitu kusema ukweli??!!!wataalamu wanasema unaweza kuwadanganya watu lakini sio wote na mara zote.hiki chama chakavu ccm ndio hatamu zake zimekwisha!!wameshatudanganya na kutuibia vya kutosha.

    ReplyDelete
  5. nyie wazenji mmezidi kwani lazima mjishikize bara ,mama Zima halioni haya kuona zenji inabebwa na Tanganyika?.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ww utakua hujui kinachoendelea znz haibebwi inanyonywa na tanganyika

      Delete
  6. Tundu angalia unachoongea uwe unaibua maovu siyo kujadili yanayowezekana iga mfano wa zito kabwe aliibua wizi wa hela melemeta epa na account uswis

    ReplyDelete
  7. We mkundu kunyka baada ya kuja na hoja ya fedha zetu zilizoporwa na IPTL wewe unakuja na habari zako mavi mbona kuma wewe huongei yule mkundu mwenzio Mwigulu kila siku anaongea uchizi husemi?usitujie na habari zako za kimavi mavi humu kama huna cha kuongea bora funga kuma yako sheenzi type!

    ReplyDelete
    Replies
    1. AKILI HUNA WW,YY NA ANAKIMALIZA CHAMA CHAKE

      Delete
  8. nilimwamini lisu, kumbe ndo sio kabisa... Arud acheze mziki billicanas na mwenyekiti wake mbowe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hizi propaganda za ccm zinachefua.

      Delete
  9. Mandela aliitwa gaidi na makaburu,kagame aliitwa gaidi,kabila aliitwa mvamizi,Nyerere aliitwa na mkoloni ni mwendawazimu,Mugabe aliitwa jambazi,Samora aliitwa mhaini nk nk,leo mkombozi na mzalendo namba moja wa Tanzania Tundu Lissu anaitwa mhaini, UKWELI na HAKI vitamsafisha na historia itamwinua Lissu.

    ReplyDelete
  10. Nakubal lisu kaza but muda cmrefu watabaki kmy

    ReplyDelete
  11. MNAMTIA UJINGA FIKIRI MANENO YAKE ANGALIENI MWAKANI MSIJE MKAJUTA

    ReplyDelete
  12. ..nalia na IQ za wabongo flavor, kwenye NO wanaweka YES, kwenye YES wanaweka NO... UKWELI wanaita UONGO na UONGO wanaita UKWELI..... ukiwabishia falsafa yao hiyo utaitwa MHAIN......

    ReplyDelete
  13. Kanuni ya kuu ya uongo-'ukiwa muongo usiwe msahaulifu,ukiwa msahaulifu usiwe muongo' ccm hawaijui hii ndo maana wanalikoroga na kulinywa kila siku.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad