Uchunguzi:Sababu za Wanawake Wengi Kupenda Kuvaa Nusu Uchi Hizi Hapa

Wakati mwingne wanaume au watu tofauti hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababu ya kutafuta soko kwa wanaume.

Inawezekana kukawa na wale ambao wana sababu hizo, lakini wapo wale ambao wanalipa fidia kutokana na kuamini kwao kwamba wanamapungufu kwa mfano sura zao zimewaangusha, hivyo miguu yao mizuri inabidi kuziba pengo au udhaifu huo. 

Wakati mwingine hata wanawake wanaodhani au kudhaniwa kuwa ni wazuri, wamekuwa wakivaa nguo fupi zinazoonyesha maungo yao.Hawa nao ni lazima wanalipa fidia ya kasoro fulani waliyo nayo.

Inawezekana wameshindwa kulinda ndoa zao, au inawezekana hawajaolewa na sasa wanataka kuonyesha kwamba, pamoja na kutoolewa kwao, bado wao wana sura na miguu au miili mizuri.

Wangapi Mnakubalia na Mimi ?
Tags

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wauza kuma tu

    ReplyDelete
  2. Ni ujinga na kuiga wazungu tu. Hakuna lolote umalaya ulokubuhu tu

    ReplyDelete
  3. Komesha yao ni dengue watavaa nguo ndefu tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tehe tehe tehe tehe....

      Delete
    2. du umenchekesha haloo ni kweli lazima nguo ndefu kwa kwwnda mbele.

      Delete
  4. Hawajiamini then thamani yao imeshuka watu hawana time nao tena wanajaribu kufanya hivyo ili watu wajue bado wapo..

    ReplyDelete
  5. Ulimbukeni tu hawana lolote!

    ReplyDelete
  6. kinzuri cha jiuza kibaya cha jitembeza huo usemi huna maana kubwa.

    ReplyDelete
  7. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  8. We kilawi ulianza kuongea ukiwa na miaka 5?

    ReplyDelete
  9. hehe sasa na hao nao wanalipa fidia gani mwe wanatia aibu !!

    ReplyDelete
  10. Miguu ina makovu ya kufa mtu,ovyoo
    tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad