Wakati mwingne wanaume au watu tofauti hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababu ya kutafuta soko kwa wanaume.
Inawezekana kukawa na wale ambao wana sababu hizo, lakini wapo wale ambao wanalipa fidia kutokana na kuamini kwao kwamba wanamapungufu kwa mfano sura zao zimewaangusha, hivyo miguu yao mizuri inabidi kuziba pengo au udhaifu huo.
Wakati mwingine hata wanawake wanaodhani au kudhaniwa kuwa ni wazuri, wamekuwa wakivaa nguo fupi zinazoonyesha maungo yao.Hawa nao ni lazima wanalipa fidia ya kasoro fulani waliyo nayo.
Inawezekana wameshindwa kulinda ndoa zao, au inawezekana hawajaolewa na sasa wanataka kuonyesha kwamba, pamoja na kutoolewa kwao, bado wao wana sura na miguu au miili mizuri.
Wangapi Mnakubalia na Mimi ?
Wauza kuma tu
ReplyDeleteNi ujinga na kuiga wazungu tu. Hakuna lolote umalaya ulokubuhu tu
ReplyDeleteKomesha yao ni dengue watavaa nguo ndefu tu.
ReplyDeleteTehe tehe tehe tehe....
Deletedu umenchekesha haloo ni kweli lazima nguo ndefu kwa kwwnda mbele.
DeleteHawajiamini then thamani yao imeshuka watu hawana time nao tena wanajaribu kufanya hivyo ili watu wajue bado wapo..
ReplyDeleteUlimbukeni tu hawana lolote!
ReplyDeletekinzuri cha jiuza kibaya cha jitembeza huo usemi huna maana kubwa.
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteWe kilawi ulianza kuongea ukiwa na miaka 5?
ReplyDeletehehe sasa na hao nao wanalipa fidia gani mwe wanatia aibu !!
ReplyDeletewanapendeza
ReplyDeletewanavutia
ReplyDeleteMajanga
ReplyDeleteMiguu ina makovu ya kufa mtu,ovyoo
ReplyDeletetu.