Mwanadada Batuli, Staa wa kutoka Bongo Movies ametoa kali ya mwaka na ame PROVE kuwa na kipaji cha uigizaji hata bila kuwa mbele ya DAIRECTA.... (Kwa mtazamo wangu) hii baada ya kuweka picha yake kwenye mtandao wa INSTAGRAM akiwa amelala na kuwatakia followers wake USIKU MWEMA (akiwaaminisha kuwa hapo alipondio analala hivyo)....na kesho yake akiwa palepale kitandao akaweka picha nyingine na kuwatakia ASUBUHI NJEMA (akiwaaminisha kuwa hapo ndio anaamka).....
Tazama picha hizi kawa UMAKINI then utagungua KITU....
Hapa anasema;
Then
Hahahaha! Nouma sana....Huyu alilala au alifumba macho na kufumbua...Tuwe REAL JAMANI
YAAANI WAKO FAKE MPAKA WANAUDHI,NA HAO MASHABIKI WAO SASA,UTAWASIKIA,HUPO JUU,WEWE NDIO WEWE,HAWAKUWEZI,BASI YENYEWE INAPATA KICHWA HATARI,KUMBE MAISHA YAO HALISI HAKUNA LOLOTE,HAO NDIO WANASABISHA HAYA MAKUNDI YA KIUNI KUIBUKA,SIKU HADI SIKU,
ReplyDeleteKwanza huyu batuli ndo anatia kinyaa kha ushamba mzigo mtu unalala na mawigi na make up kisa upate likea ig Batuli wacja ushambaaaa dada
ReplyDeleteYaaani kuna dada mmoja aljipiga picha Yuko hotelin akadai Ni kwake,mi nawaoneaga hurumaaaa hawa wasaniii,nguo wanaazima ili wasipigie picha kwenye mabotiki wanadai Ni nguo zao.yaniiiii wasaniii Wa bingo Ni balaaaaaa
ReplyDeleteMmeanza eeeeee admin weka kizungu watu wapotee
ReplyDeleteKwi kwi kwi kwi....let me lough!!!
DeleteLough?????Kingereza bana nendeni shuleee
DeleteAnajishaua,akafunge kitambaa au avae kofia watu wanamashauzi jaman unaweza ukazimia....af she calls herself true to her personality
ReplyDeleteMnakereka eeeee!
ReplyDeleteNani kakuambia kingereza ni mpaka shule?
ReplyDeleteovyoo
ReplyDeletemshamba tu uyo!
ReplyDeletekama jini
ReplyDelete