Ufeki wa Mastaa wa Bongo Kwenye Mitandao..Cheki hii ya Batuli

Nikitu cha kawaida kwa mastaa wetu wa hapa bongo ku -FAKE maisha yao ya kwaida na kuonyesha vitu/mambo mazuri mazuri kama....anakula bata na jamaa zake, yupo nje ya nchi,yupo home (Kama home pazuri kiaina lakini)  kwenye mitandao ya kijamii....Kwa mfano mida ya Lunch Time wengi hushare picha akikaribisha watu wakati anakula vitu kama BAGA, Chips Kuku, Mbuzi choma NK...hata sikumoja usitegemee staa wa bongo akapost anakula MIHOGO..HEHEHEHE...Turudi kwenye Ishu...

Mwanadada Batuli, Staa wa kutoka Bongo Movies ametoa kali ya mwaka na ame PROVE kuwa na kipaji cha uigizaji hata bila kuwa mbele ya DAIRECTA.... (Kwa mtazamo wangu) hii baada ya kuweka picha yake kwenye mtandao wa INSTAGRAM akiwa amelala na kuwatakia followers wake USIKU MWEMA (akiwaaminisha kuwa hapo alipondio analala hivyo)....na kesho yake akiwa palepale kitandao akaweka picha nyingine na kuwatakia ASUBUHI NJEMA (akiwaaminisha kuwa hapo ndio anaamka).....
Tazama picha hizi kawa UMAKINI then utagungua KITU....
 Hapa anasema;

Then
Hahahaha! Nouma sana....Huyu alilala au alifumba macho na kufumbua...Tuwe REAL JAMANI

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. YAAANI WAKO FAKE MPAKA WANAUDHI,NA HAO MASHABIKI WAO SASA,UTAWASIKIA,HUPO JUU,WEWE NDIO WEWE,HAWAKUWEZI,BASI YENYEWE INAPATA KICHWA HATARI,KUMBE MAISHA YAO HALISI HAKUNA LOLOTE,HAO NDIO WANASABISHA HAYA MAKUNDI YA KIUNI KUIBUKA,SIKU HADI SIKU,

    ReplyDelete
  2. Kwanza huyu batuli ndo anatia kinyaa kha ushamba mzigo mtu unalala na mawigi na make up kisa upate likea ig Batuli wacja ushambaaaa dada

    ReplyDelete
  3. Yaaani kuna dada mmoja aljipiga picha Yuko hotelin akadai Ni kwake,mi nawaoneaga hurumaaaa hawa wasaniii,nguo wanaazima ili wasipigie picha kwenye mabotiki wanadai Ni nguo zao.yaniiiii wasaniii Wa bingo Ni balaaaaaa

    ReplyDelete
  4. Mmeanza eeeeee admin weka kizungu watu wapotee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwi kwi kwi kwi....let me lough!!!

      Delete
    2. Lough?????Kingereza bana nendeni shuleee

      Delete
  5. Anajishaua,akafunge kitambaa au avae kofia watu wanamashauzi jaman unaweza ukazimia....af she calls herself true to her personality

    ReplyDelete
  6. Mnakereka eeeee!

    ReplyDelete
  7. Nani kakuambia kingereza ni mpaka shule?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad