Ufisadi:Magari Mapya 11 Yaliyonunuliwa na Serekali Hayajulikani Yalipo

Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG imeamplfy kwamba kitendo cha Serikali kukosa nyaraka za mali zake kumechangia baadhi ya watendaji wasio waaminifu kutumia mwanya huo kujisogezea mali za umma.
Katika ripoti yake ya Ukaguzi kwa mwaka 2013 CAG Ludovick Utouh amesema ofisi yake imebaini upotevu wa magari 11 yaliyonunuliwa kwa ajili ya matumizi na mamlaka ya maendeleo na biashara Tanzania (TanTrade) ambayo hadi sasa hayafahamiki yalipo.
Ofisi yake inalifanyia uchunguzi suala hilo na tayari imegundua hayo magari yalisajiliwa kwa namba binafsi badala ya namba za serikali huku akisema ‘wizara ya viwanda na biashara ilinunua magari kwa ajili ya bodi ya biashara  na tunaomba kusema magari hayo tumejaribu kuyafatilia lakini hayaonekani na hayajulikani yalipo na ni magari mapya yalinunuliwa kwa ajili ya TanTrade lakini TanTrade wenyewe wanasema hawajayapokea na Wizara inasema haijui yako wapi’
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mkurugenzi mkuu wa Tantrade wa sasa anaitwa Jackline Maleko na aliyemtangulia ni Ramadhan Khalfan ambaye ni ndugu wa damu wa Kikwette anayetokea Bagamoyo.Je,hii skandali ni nani mwizi kati ya hawa wawili?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyo ndugu yake kikwete nsio mwizi mkubwa cos anaona ndugu yake yupo madarakani!sijawahi kuona serikali mamburula kama hii na viongozi wabinafsi na wachimia tumbo kama hawa aisee!yaan malo ua uma hamjui iko wap kweli?

      Delete
  2. wizara inasema haijui yko wapi this is nonsense

    ReplyDelete
  3. msituchoshe na serikali yenu full majanga

    ReplyDelete
  4. Wizi mtupu! Wataunda tume gagari ala fu kimyaaa! Dawa yao ni peoples power tu!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad