Ugomvi wa Wema Sepetu na Kajala Wabunge Waingilia Kati

Mambo bado mabaya! Ule ugomvi wa mashosti wawili nyota katika tasnia ya sinema Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja ‘K’, sasa umechanja mbuga hadi kufika mjengoni, ambako inadaiwa kuwa baadhi ya wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wameingilia kati ili kuumaliza, Risasi Jumatano linakuhabarisha.
Kwa mujibu wa chanzo makini, baada ya mvutano wao wa muda mrefu, wabunge hao walimwita Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na kumuuliza kama ni kweli wawili hao hawaelewani.

Inadaiwa kuwa Steve alikiri kutokuwepo kwa maelewano kati ya wawili hao ambao awali walikuwa ni marafiki pete na kidole.

Ilisemekana kwamba baada ya kuhakikishiwa kuwepo kwa ishu hiyo, baadhi ya wabunge hao, hasa wapenda michezo na sanaa, walimuagiza Steve kulifanyia kazi tatizo hilo haraka, akishindwa basi awapelekee ili wawakalishe chini.

“Walimwambia Steve kwamba ni kitendo cha aibu kwa mastaa wakubwa kama hao kugombana, hiyo inawapunguzia heshima kwani hiki kilikuwa ni kipindi cha kushikamana kwa umoja ili kuisogeza mbele tasnia yao badala ya kulumbana,” kilisema chanzo hicho kikikataa kutaja majina ya wabunge hao na kutaka aulizwe Steve.

Gazeti hili liliwasiliana na Steve juu ya ukweli wa madai hayo, ambaye alikubali kuwa ni kweli baadhi ya wabunge wamemtaka kumaliza bifu kati ya waigizaji hao maarufu Bongo kwani nyuma yao kuna vijana wengi wanatamani kuwa kama wao.

Risasi Jumatano lilizungumza na mbunge wa Kinondoni  Idd Azan ambaye alisema hata yeye atawaunga mkono wabunge watakaojitolea kuwasuluhisha mastaa hao.

Post a Comment

35 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kuna ugomvi gani mkubwa mpaka wabunge waingilie? hao malaya wameibiana wanaume

    ReplyDelete
  2. Makubwa basi uwiiiiiiiiiiiiiii! kweli Wabunge wa Tanzania Vimeo!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeona eeeh! Katiba imewashinda...kazi kula pesa zetu tu....! Kweli vichwa mavi...

      Delete
  3. Ugomvi wa Umalaya nao pia uamuliwe bungeni/na wabunge? I think wabunge wa Tanzania wamekosa vitu vya kufanya.

    Lakini sishangai unapokua na wabunge nao wako aina ya hao wanaogombana unategemea nini? Kuna ussue hot zinazoathiri uchumi wa nchi baada ya ku deal na hizo muanze kupatanisha malaya!!

    Hello hello Tanzaniaaaaaaaa!! Tuimbeee!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahhahaaha...ww mdau umeua..umeamua kumalizia kabisa na hello hello tz...noumer sanaaaa

      Delete
  4. natoka tanzania ambako viongoz huingilia hata bfu czowahusu, ugomv wa wema na kajala zimaaaa'

    ReplyDelete
  5. Habar hii nI yakupikwa!sio kweli

    ReplyDelete
  6. Wakulima n wafugaji wanauwan wemekaa kimya...wanaona ugovi wa hao wawili n muhim pumbavuu...

    ReplyDelete
  7. Hao ni wabunge maandazi wasiojitambua,sasa wataka kuwasuluhisha vimada vyao.ACHENI UFUSKA KUNA MENGI YA KUYASHUGHULIKIA KWA MASLAH YA WANAJAMII.HAO WABUNGE WANATIA KICHEFU CHEFU wanaonesha ni kwa jinsi gani hawajielewi

    ReplyDelete
  8. si kweli ila huyo anduje steve anatafu kick kupitia huo ugomvi

    ReplyDelete
  9. Badala ya wabunge wa Tanzania kukaa chini na kujadili jinsi ya kuinua uchumi wa hii nchi wanakaa kujadili ugomvi wa wema na kajala kweli??? Inawahusu? Au mahawara zao? Acheni ujinga nyie wabunge!!

    ReplyDelete
  10. walishindwa kujadili rasimu ya katiba sasa wanataka kuwasuluhisha wema na kajala ni nounses wallah

    ReplyDelete
  11. Kweli hao wabunge nao watakua malaya ndoman wanasuluhisha ugomvI wa malaya wenzao

    ReplyDelete
  12. ya katiba yamewashinda wanakuja kudili na Malaya hao sisi inatupa faida gani wapiti mitaani basi watafute watu waliogombana wawapatanishe

    ReplyDelete
  13. ebu watutajie awo wabunge tujue ni kina nani ili tushughulike nai wanashindwa kujadil kero za wananchi wanangaika na malaya wawili shenzi kabisa

    ReplyDelete
  14. kweli wabunge wa tz ni wauza sura akuna wanachofany katiba imewashinda wanaangaika pumbavu na tukiwajuwa uchaguzi ujao amtapats kura zetu shwaaain mfyuuuu

    ReplyDelete
  15. Admin umecopy hii habari globalpublishers ya shigongo.na unajua shigongo anauza magazeti akiandika habari za wema.ni uongo tuu,wema na shigongo ni kitu kimoja.tafuta habari za uhakika,ondoa upuuzi huu

    ReplyDelete
  16. Kweli wabunge wametia aibu migogoro kibao ya makulima nawafugaj wameshindwa kuitatua,umackn wa tanzania badala yake wanajingiza kwa wena na kajala wanaogombea na kudhurumiana uboo

    ReplyDelete
  17. ata km kaitoa kwa shigongo why wabunge wetu wafanye ivyo lkn stupid wabunge ba km wamesikia hii wakanushe fasta siyo uyo shigongo auze gazeti kupitia waheshimiwa km kwel wamefanya ivyo ataje majina ya hao wabunge vilaza ili uchaguzi ujao tusiwachague

    ReplyDelete
  18. Kama ni kweli hao wabunge watakuwa ni wasenge kweli! Mambo ya kishenzi kama hayo wanakuwa na muda nayo wakati wananchi wana matatizo kibao ya kutatua! Huyo/Hao wabunge waliosema hivyo kama wapo kumamayo zao.

    ReplyDelete
  19. HAO WABUNGE WAMESHINDWA KUFIKIA MATAKWA YA WANANCHI WANAINGILIA MAMBO BINAFSI YA WATU NYIE VIP?

    ReplyDelete
  20. Itakuwa ni mh ridhiwani vick kamata mwigulu na mgimwa na wengine ka komba na vilaza wengine wa ccm kuma nina zenu kwa kujadil uharo huu wa hawa malaya mtaji kuma.

    ReplyDelete
  21. Haya matusi mngeyatoa hadharani yakawafikia ingekuwa bomba sana ili wajitambue ni wabunge wa aina gani

    ReplyDelete
  22. Wasenge tu kumamayo zao,wanaongea mambo wasiyo yajua wala kuyatambua wakafie mbele wasenge tu.

    ReplyDelete
  23. kwanza hao wabunge wasenge wanasaliti ndoa zao na wanagombana kila kukicha na waume au wake zao nani anawasuruhisha?madereva wao wanalalamika hawawalipi mishahara yao kwa wakati na wanawalipa pungufu na maelekezo ya serikali ya malipo kw madereva wao mbona hayo hawayashughulikii?leo hawa malaya wawili wanagombea kufilwa et wanataka wawasuluhishe!! pumbafu wakubwa nyie,

    ReplyDelete
  24. Hakuna kitu wacha wabunge wawasuluhishe. wema na Kajala ni wapiga kula pia. so acheni kuwatusi waheshimiwa. bila wao tutayumba

    ReplyDelete
  25. hawana maana hao wameshindwa kujadil jinsi ya kutatua kero za wananchi eti wawapataninshe kina nitombe nikale wasenge hao

    ReplyDelete
  26. VIONGOZI HATUNA, KAMA WANASHINDWA KUUMIZA VICHWA KWA AJILI YA MAJIMBO YAO NA KERO ZA WANANCHI WANAENDA KUAMUA UGOMVI WA MALAYA TENA WANAOJIITA WASANII KIOO CHA JAMII KWA KUIBA MABWANA ZA WATU! TETETETE.... MAJANGA! MASHULE HAYANA DAWATI WANAKALIA KUINGILIA UGOMVI WA KIJINGA. MBONA HAMTATUI UGOMVI WA FAMILIA, WANAGOMBANIA MASHAMBA NA VIWANJA HADI KUUANA? KALABAGAO!

    ReplyDelete
  27. Serikali kichwa cha mwendawazimu

    ReplyDelete
  28. Hawa malaya wawili inajulikana wazi kwamba ugomvi wao mkubwa ni mwanaume.Ni kigogo mmoja wa ikulu ambaye alimtia kiburi cha pesa wema sepetu mpaka akaweza kumlipia fine ya mamilioni ya shilingi shoga yake Kajala ili asiende kunyea debe segerea.Sasa habari za kuaminika zinasema huyu kigogo alishaachana na wema,na katika kumkomoa wema jamaa aliamua kula maisha na kajala na mpaka muda huu ninavyoandika huu ujumbe mahusiano kati ya kigogo wa ikulu na kajala yamekolea vibaya.Sasa ugomvi ulianza baada ya wema kugundua kwamba shoga yake kajala anakula maisha na bwana wake ambaye walishaachana.Huu ndio ukweli ambao watanzania wengi hawaujui juu ya sababu ya hawa malaya kugombana

    ReplyDelete
  29. Hawa malaya wawili inajulikana wazi kwamba ugomvi wao mkubwa ni mwanaume.Ni kigogo mmoja wa ikulu ambaye alimtia kiburi cha pesa wema sepetu mpaka akaweza kumlipia fine ya mamilioni ya shilingi shoga yake Kajala ili asiende kunyea debe segerea.Sasa habari za kuaminika zinasema huyu kigogo alishaachana na wema,na katika kumkomoa wema jamaa aliamua kula maisha na kajala na mpaka muda huu ninavyoandika huu ujumbe mahusiano kati ya kigogo wa ikulu na kajala yamekolea vibaya.Sasa ugomvi ulianza baada ya wema kugundua kwamba shoga yake kajala anakula maisha na bwana wake ambaye walishaachana.Huu ndio ukweli ambao watanzania wengi hawaujui juu ya sababu ya hawa malaya kugombana

    ReplyDelete
  30. wabunge wamelala kikwete ingiliakati

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sory mdau niko safari nje ya nchi natafuta wahisani wa kutukopesha nikirudi tutaongea acha namba.

      Delete
  31. hawa wabunge vichwa maji af hao malaya cpend kuwackia maana wanaixh kwa ckendo

    ReplyDelete
  32. Hyo n intro Bado duction

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad