Ujana Maji ya Moto, Msaada Kwenye Tuta Tafadhali...

Habari watu wa humu ndani,

Mimi ni kijana nina mpenzi wangu tangu tupo advance(secondary school) ,almost ni kama miaka nane hivi tupo ndani ya mahusiano.

Tukafanikiwa kupata mtoto, pande zote mbili za wazazi wanajua hali halisi.

Ni miaka mi nne sasa tupo mbali mbali hii ni kutokana nami kuamishiwa kikazi mkoa mwingine,but mahitaji yote ya mtoto namtimizia.

Huku nilipo ndani ya miaka miwili iliyopita nimejikuta nipo kwny mahusiano mapya na msichana mwingne,huyu msichana tumetokea mkoa mmoja,anaijua familia yangu nami naijua familia yao mwanzo mwisho, nimemueleza hali halisi ya kwamba nina mtoto,na amekubaliana na hali na anataka tuoane.

Ki ukweli nami nampenda sana tena sana tu.

Nia yangu kuja hapa ni kuomba msaada na mawazo yenu, nitaanzaje kumwambia mpenzi wangu wa mwanzo kama nina mtu mpya ambae nipo tayari kumuoa!!?
Tags

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We fala kweli.uyo uliempa watoto wawil untaka azeekee nyumbani?ye ataolewa na nan?ulijua una mtu na watoto mchepuko uliuanzisha wa nn?

    ReplyDelete
  2. Acha umalaya,unamfanyia hivyo mwenzako amekukosea nn?hizo ni tamaa za kijinga tulia na huyo uliekwishazaa nae mlee watoto. la sivyo utakuja kujuta utapoona mtoto anateswa na mama wa kambo. Na kama ulikua umpendi usingemzalisha.

    ReplyDelete
  3. Ni vizuri kutulia maana hats huyo unayemtaka nae atazaa .name mtumbo utashuka kama Puto so tulia ongea name MTU was kwanza mlee watoto .usiwe mpumbavu wa kuendekeza matako mapyA.a cha uzinzi we we mpumbavu

    ReplyDelete
  4. We mpumbavu kweli! Saivi unamwona mbaya kwakuwa kazaa, ujue hata huyo atazaa. Tamaa tu ndiyo uliyonayo pamoja na usaliti. We mpuuzi kweli ovyooo!

    ReplyDelete
  5. si ukae na uyo uliemzlisha?, iv wanaume mbona mmeshindwa kubaki njia kuu?, lol

    ReplyDelete
  6. Dogo think big and come with definite answer from those advice above. kama unataka kuoa kamuoe hyo uliyezaa nae mtoto kwan wakat unamseduce ulimpa maneno matam ili aingie 18 sasa unawaza kumpiga chini. sio mpango huo ni vigumu sana mtoto kulelewa na mama kambo kingali mama wa mtoto yupo atanyanyaswa sana mtoto. NI hayo tu KAZI KWAKO KUPEMBUA MAWAZO ULIYEPEWA.

    ReplyDelete
  7. We ni msenge nyie ndo mnasabisha watoto wa mitaani,badala uwaze kupeleka watoto shule nzuri unawaza kuma,mchukue mkeo wa kwanza muishi wote na usirudie tena kupenda kuma za bure

    ReplyDelete
  8. Haaaah bora huyo ulie zaanae, leo hii unamuona hafai kaah hyo ctabia nzur hata huyo pia uliekuwa nae pia utakuja kumsalit tulia na moja wa mwanzo..

    ReplyDelete
  9. ujatulia we mshkaji, acha tamaa... Hata uyo unaemuoa pia atazaa na utamchoka kama ulivomchoka uyo wa kwanza

    ReplyDelete
  10. wew mwanaume wew! ningekujua unafaa kuchapwa vboko, umeshaambiwa mchepuko sio dili, wew unaitetemekea hadi kuiweka ndan kama yule mume wangu saramkya, baki njia kuu unatafuta laana, kuma ndo hzo hzo hata uende marekani, nitafute nikupe ushauri zaidi,

    ReplyDelete
  11. janaume zima?? Unazuzuka na kuma ... Unasahau mwanao... Baki njia kuu acha mchepuko, nyie ndo mnaongeza watoto wa mtaani

    ReplyDelete
  12. Mjinga ww. Je angekuwa dadako anataka kufanyiwa unayotaka kufanya ungejiskiaje!

    ReplyDelete
  13. We huna huruma kabisa mwenzio huko anajua ana mme na wewe unataka kumgeuka sio vzr kisa nini uka bila kamuoe huyo huyo ulie mzalisha

    ReplyDelete
  14. hao ndo wanaume bwana hapana chezea.

    ReplyDelete
  15. hao ndo wanaume bwana hapana chezea.

    ReplyDelete
  16. ukitaka kufilisika na maisha cheza na watoto wakike. Baki na aliyekuvumilia.

    ReplyDelete
  17. malipo ni hapahapa duniani, sasa muache achezee maisha ya watu,

    ReplyDelete
  18. Nenda Ukapimwe Akiri We Ni Mgonjwa Wa Akiri,mboro Yako Malaya Mkubwa Wee, Hebu Kamuoe Haraka Sana Uliyemzalisha Shenzi Mkubwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad