Ujumbe Kutoka kwa Jessica Kikumbi Kwenda Kwa Aliyekuwa Mume Wake Ambao Anasambaza Picha zake za Utupu


"#ULIYONIFANYIA #YANATOSHA #PLEASELEAVE ME ALONE..jamani this is the man aliyekua mumewangu nilizaanae mtoto mmoja. .but as Men are yeye ndo muhusika mkuu wa kusambaza picha zangu kwenye mitandao na kuwalipa mabloger,pia kufungua fake acc fb. sijui anachotaka but without thinking mi ni mama wa mtoto wake. warning ladies dont trust man too much as it might happen to you one day.. jina lake ni #Emmanuelakarosinare. if you read this naomba uache kunichafua kumbuka mi nna ndugu na nina mtoto na ndugu zangu wanaumia sana hasa baba yangu. kupitia hapa nakuomba uniache huru uliyoyafanya yanatosha.... naandika kwa uchungu with tears.. Set me free please." Says Jessica

My Take:
Kama kweli huyo mume wake ndio anafanya hivyo basi hayupo vizuri kichwani kwani Jessica ni Mama wa Mtoto wake ambae walizaa nae, Sijui sababu za yeye kusambaza hizo picha za utupu ila ki ukweli huo si uanaume kabisa bali ni kukosa Sera na kuonesha udhaifu mbele ya Mwanamke.

Post a Comment

57 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamani kwann amzalilishe mm wamtt wake

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa nimepata jibu. Mwanzoni niliamini huyu dada anajiuza. Then majuzi zikatoka picha yupo uchi wa mnyama. Akilini nikawaza hata kama kujiuza sawa but kujipiga picha uchi mtoni au beach lazima uwe na mpnz wako tu ingekuwa chumbani ningesema kaegesha kamera. Sasa nimeelewa . Huyu jamaa ni wa kuua sio kifungwa tu haitoshi. Madem mbona kibao nini kinamuuma hivo? Mtu umezaa nae hata kama kakukimbia au amekula chako shida ni nini c mna mtoto? Gharama ya kumzalisha ni kubwa sana pia kwake.

      Delete
    2. Jessica mimi nimesoma na Emmanuel Akaro senare .Huyu kaka ni Mara Aokoke mara mademu .Emmanuel
      Ni kaka wa shose senare ( miss Tanzania )na ni mtoto lawyer senare extremely rich kids .Emmanuel alikaaga USA hapa I'm keeping his secrets stay away from him he is a psychopath

      Delete
  2. Nipo USA I'm about to call his ass .Watanzania you need to be careful of psychopath,Narcisstic ,borderline people mnaona sasa .

    ReplyDelete
  3. we kaka unamuaibisha dada ako shose sinare kwa huu upuuzi wako...

    ReplyDelete
  4. kwani huyo jessica si alikua anaishi na chipungahelo wa miss utalii,sasa huyo sinare katokea wapi tena?

    ReplyDelete
    Replies
    1. MIMI NINA PICHA ZA AKARO ZA EMMANUEL AKARO SENARE nilimpigia Huku USA nilimdate.NINAZIRUSHA FACEBOOK special account .NINAZO ZA mdudu wako ulivyo mdogo na .Na ile VIDEO nitakukomesha

      Delete
  5. jesca pole sana huyo ni mnyama nimesoma intagram yako mpaka nimetoa chozi.nilijua hizo picha huwezi kuzitoa wewe. nakujua your very inteligent girl.

    ReplyDelete
  6. Don't go back to him .he is trying to scare you na kukuharibis be strong my dear .

    ReplyDelete
  7. namuombea kwa mungu ajitambue maana hajui atendalo,dada mwombee sana maana hajui atendalo nd you need to be strong,amin ur tears on truth wil pay to him!remmember brother life goes around nd comes around.ur ex wife naked is urs too as long u had a child 2gether.na nilaana kubwa kwako kumsababishie mtoto na malaika wa mungu kuona utupu wa mama yake.once jesca lia sana na mungu haya yote yatapita.actually nilikuwa napita hapa nikaumia sana though am a men.

    ReplyDelete
  8. namuombea kwa mungu ajitambue maana hajui atendalo,dada mwombee sana maana hajui atendalo nd you need to be strong,amin ur tears on truth wil pay to him!remmember brother life goes around nd comes around.ur ex wife naked is urs too as long u had a child 2gether.na nilaana kubwa kwako kumsababishie mtoto na malaika wa mungu kuona utupu wa mama yake.once jesca lia sana na mungu haya yote yatapita.actually nilikuwa napita hapa nikaumia sana though am a men.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jelousy ni kitu kibaya saaaana .umemuacha anatapatapa na Yaani atatapatapa sanaaaaaaana.anajiharibia mwenyewe Huyo Akaro mshenzi Sana Mmbwa

      Delete
  9. jesca pole sana. ana wivu umemuacha na bado unazidi kupendeza. kwa tunaokujua tunaona umependeza na kunenepa kuliko ulivyokua unakaa na huyo chokoraa. we ni mwanamke mwenye akili na mzuri sana. nakujua tangu upo voda na ukaenda green acres kwa bujugo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hata mimi namjua ni mchapakazi sana nakumbuka bujugo alikua anampenda sana kwani alikua anamuingizia pesa nyingi. fala sanq huyo kaka

      Delete
  10. malipo yapo hapahapa duniani

    ReplyDelete
  11. Hili jamaa inawezekana hata sio toto la huyo mzee kabambikiziwa tu!baba yako msomi dada yako anaeshimika kama kweli ni mtoto wa damu wa huyu mzee sinare sidhan!mitoto ya laana ndivyo inavyokuwa ktk ndoa si limepatikana kwenye ushenzi na lenyew lazima linakuwa shenzi na mambo yake ya kishenzi tu mtoto aliyetoka kwenye familia ya kisomi hawezi kuea namna hii thas y im doubt about him serious guys.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata Mimi nashangaaa Sana kuona mama ake senare yupo mstari wa mbele kum support Emmanuel .Ila ni mtoto wa senare Dah .

      Delete
  12. Huyu Emmanuel
    Kweli ni mshenzi nime mtext unaona ehh huwaga anatext right back .Nimemshishia uvivu yupo jiiiiiiii

    ReplyDelete
  13. Na sisi Wanawake tujifunze why tuna piga picture za uchi ata awe ni Mumeo tusikibali kabisa Kwani Siku ya Siku ndio yanakua hayo Mume ni Kama Rafiki tu Siku atapoamua kua hataki kua nawe au umemchoka ndio matokeo yake huwa hayo Pole Sanaa

    ReplyDelete
  14. Nakubaliana na huyo Mdau hapo juu ni kweli watoto wengine huwa si damu kabisa za Yule baba ake Ndio Wazee hujiuliza huyu mtoto tabia hii kaipata wapi Kumbe baba ake ni mshenzi tu Kama yeye Mama nao wana Siri sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Professor Akaro mnyama na mshenzi Kama mwanae .Huyo professor alirushwa Gorofani Huku USA Washington alifumaniwa na mademu wa kizungu .Akapigwa alipopona alkalipwa pesa kibao .Baba ake akilewa alikuwa anapiga WANAWAKE sasa hapa USA ndani akikaa Sana tu.Like father like son

      Delete
  15. Jamani wadada tujifunze kwanini hatu komi najua wakati ana kupiga hizo picha penzi lina kuwa mototo fikilia siku mkikosana ita kuwaje? ni aibu tuna aibisha familia zetu zinaonekana hazina maadili ya kutosha, alafu mwanaume c mtu wa kumuamini hata siku moja mda wowote anaweza kukugeuka, jamani tuache hi tabia ya kupiga picha za uchi

    ReplyDelete
  16. Jamani mimi nimeolewa huu mwaka wa nane sasa, na hata siku moja mume wangu hajawahi wala mimi sijawahi kushawishika kupigana picha za utupu, mume ambaye mmeenda kanisani au mke ambaye mmepeana kiapo till death do you part way take naked pictures of each other wakati you have your whole lives together, pole Jessica but mi sielewi bado kwanini wasichana mnapiga picha za utupu. Pole sana .

    ReplyDelete
    Replies
    1. Emmanuel is a psychopath ,pervert

      Delete
  17. tatizo huku tunamuonea huruma ila ile acc ya fb tunailike na kucomment. inabidi kuikemea na kuireport ufungwe. pole sana jesca. nimesikia uchungu sana

    ReplyDelete
  18. Kina dada kabla hamjaona, chunguzaneni vizuri. huyu jamaa namjua tokea marekani alikua hivyo, tena nafkiri anatumia madawa ndo mana anakua hivyo. Pole sana dada

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ana pesa za wazazi wake .He was a drug addict Huku USA .Bangi mtu mtu na bangi .Na Una bahati hajakuua.

      Delete
    2. He was on heroin.Labda ame relapse .Wewe Jessica protect your daughter Drug addict hawana epathy atamuua mtoto ili akuumize for the rest of your life .

      Delete
  19. aliwahi kumpiga huyo dada mpaka jesca alilazwa muhimbili one week.ni kama mnyama. ukimuona sasa hivi ni kama kachanganyikiwa baada ya jesca kuondoka na kumuacha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sipati picha Emmanuel akichanganyikiwa na Ike mwendo wake hahaha .Ni drug addict Huyo alikuwa Kansas city Huyo .

      Delete
  20. KWANI KUPENDANA NI KUPIGA PICHA ZA UTUPU? WOTE HAWANA MAADILI, WANASTAHILI KWANI WAMEYATAKA....

    ReplyDelete
  21. natamani sana nikuone jessica! u are so beautiful

    ReplyDelete
  22. huyo kaka ni kama baba yake prof akaro anatabia kama hizo. lakini pia mama yake amemlea vibaya na kumdekeza sana huyo mtoto. sasa hivi anakaa kwa mama yake kama mtu na mkewe hawezi hata kusema akapange akae mwenyewe. watu wanasema huyu mama amemtoa kafara mwanae ili apate utajiri kwa kutembea nae. nasikia mama yake ni freemason.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Emmanuel analala na mama ake hiyo inajulikana .Wachaga Jamani .Mama majaar na mama ake ni mtu na mdogo wake .Hii family ni free mason haswa .Emanuel yupo hapo BOT Mara oh kasoma Harvard Mara haeleweki .Harusi yao ili cost 90 million shillings .

      Delete
  23. mshenzi wa tabia huyo mwanaume. pole dada jesca kikumbi

    ReplyDelete
  24. nilikua na fikiria jesca hata kama kujiuza sio kwa stahili hiyo. hamna mtu anayeweza kujiuza kwa namna ile. wachache tu wasio na akili ndio waliamini ile account ya facebook . ila wengi wetu tulijua ni mchezo unafanyiwa. pole mami

    ReplyDelete
  25. ulimpa nini dada na sie tujuze jamani hayo mambo matamu. mhhhhhhhhhhhhhh

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyu jessica itakuwa alikuwa anafanya kila kitu ndani ya nyumba cooking cleaning and everything .sasa Ameondoka hajui hata pakuanzia .

      Delete
  26. Jamaa halina akili asee, wanao support nao hawana akili hata kama hawajaandika chochote, fala, lofa,shenzi, tahira,jinga,senge,puuzi,jenda wazimu,Uuuumbwa kabisa

    ReplyDelete
  27. shose sinare nae kaachika na mzungu wake. hiyo familia ya sinare inalaana hakuna ndoa inayodumu.

    ReplyDelete
  28. HUYU KAKA MUNGU AMLAANI ..JESCA MWANGALIE MWANAO MANA HAO WATU WANAWEZA KUMUUA ANGALIA SN NA SALI SANA

    ReplyDelete
  29. Na we ni fala kwann ukubali kupigwa picha za uchi ! Kwenda uko kenge !

    ReplyDelete
    Replies
    1. She was a victim of abuse .he abused her and threatened her probably

      Delete
  30. jessica kwa sura ya nje alionekana amepata bahat sana kuolewa familia tajiri. lakini ndani huyu dada alikua ananyanyasika sana. walikuwa majirani zangu
    huyu dada alikua anapigwa hata wakat anamimba. kila siku ambulence zilikua zinapishana mlangoni kwao. bora umeondoka jesca. we mzuri na unaakili sana utaolewa na mtu mwngine

    ReplyDelete
  31. huyo boy ni xhoga c mwanaume mwenzetu sie tunaodindixha

    ReplyDelete
  32. Pole Jessica,roho inamuuma kuachwa na mtoto chombo kama wewe,na uangalie atakuua maana hii familia ni laana.

    ReplyDelete
  33. Jessica kaa mbali na Akaro .huyu Akaro alikuwa anatumia Sana madawa USA .Akili zake judgement yake kwishney wewe utakuwa ulitumika for his his reputation .emmanuel is a thug ( closeted gay men ) he hates women .Ndio maana anajifanyaga kaokoka Mara anahubiri Mara yupo club mara madawa haeleweki kabisa .Yaani hukuambiwa Haya yote Kabla ya ndoa au hukuona red flags zozote Jamani .Ukikaa na Akaro for one hour tu unagundua udhaifu wake .Pole Sana ila ume zaa nae he will be in your life forever mna mtoto

    ReplyDelete
    Replies
    1. hee jamani.. hii kali.. pole jessica.. huyo ni muuaji sana.. kaa mbali nae. mlinde mwanao

      Delete
  34. jessica we ni mzuri sana.. ni bora ungeendelea kutokaga na waziri ............. kuliko kuolewa na huyu bwege. pia una tabia ya kuachaga wanaume bila sababu naona sasa umekutana na luba.. pole lakini.

    ReplyDelete
  35. huyu dada alikuaga anatoka na abdul nsembo pia mume wa shamim mwasha....naona kero za ndoa zilikuaga zimemzidia ndo maana akaamua kuchepuka. pole sana mdada

    ReplyDelete
  36. huyu dada namjua sana aliwahi kutoka na rafiki yangu kabla hajaolewa. sifa yake kuu ipo kitandani nasikia ni balaa anayajua sana yale mambo yetu. naona ndio sababu ya huyu kaka kuchanganyikiwa hivo. huyo kaka anaitwa jerry mushala ambae sa hivi ni producer wa video, alikunywaga sumu na akalazwa kabisa baada ya jesca kumwambia live hamtaki. back to the topic jesca inabidi aache dharau za kikongo,madhara yake ni kukutana na mwanaume kama huyo ambae akili zake ni fyatu. pole mpendwa

    ReplyDelete
  37. nmbute immanuel akaro sinare huyu kaka ni mbwa wa kutupwa, ye sasa hivi yupo BOT, BANK OF TANZANIA, Wanamuajirije shetani kama huyu jamani, tena bank ya serikali, alikua ofisi ya DPP kama mwanasheria wa serikali akaaacha,akaenda ubalozi wa marekani akafukuzwa,nw kapata BOT YOTE NI MAMA YAKE HAWA SINARE anamuunganishia hapo. hao mabosi wake kama wanasoma humu wamfukuze kazi hafai hafai huyu drug addict.

    ReplyDelete
  38. Emmmanuel mbute akaro sinare. Atakuwa msukule wa mama yake.ata bibi yake mzaa mama .yupo mule ndani wamemfanya dondocha. Yaani sali sana jesca.wanatumia nguvu za giza hao

    ReplyDelete
  39. Acheni ungese....kwani mna uhakika gani kwamba mmewe ndio anarusha hizo picha...demu mwenyewe malaya tu hata sijui jamaa nae alliingiaje Mkenge..au ndio yale mambo ya dawa za Kisangani. Dada picha anarusha bwana wake wa nje kafumaniwa ndio mme akaachana nae. Akaachana na Bwana ili mmewe amrudie kakataa sasa kabaki kumsingizia mmewe ujinga wake.

    ReplyDelete
  40. annoy hapo juu we ni mjinga na hujui lolote kuhusu hiyo ishu,huyu kaka ni anatumia madawa ya kulevya nmbute immanuel akaro sinare na baba yake akili moja na mama yake... mama yake mpuuzi ameshindwa hata kuolewa anatiwa tiwa tu na watoto wadogo.. point yangu ni kwamba watu wa familia ile ni malaya na washenzi...

    ReplyDelete
  41. jesca achana na huyo mbwa endelea na maisha yako. ni wivu tu unamsumbua.. kuna watu wanamfahamuhuyu kaka, shukuru mungu hajakua. kaa mbali nae sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad