UKAWA ZANZIBAR INATISHA WAITEKA ZANZIBAR KIWANJA CHA KUBANDA MAITI

WAKAZI WA KUTOKA KISIWA CHA TUMBATU WALIFIKA KWENYE UKAWA NA MABANGO YAOKIWANJA CHA KIBANDA MAITI
MUASISI MZEE NASORO MOYOALIFIKA KWENYE UKAWA
MAKAMU WA KWANZA WA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIFF HAMADI AKIKUMBATIANA KATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROD SLAA KULIA KATIBU MKUU WA NCCRMAGEUZI MUSONA

MAKAMU WA KWANZA ZANZIBAR SHARIFF HAMAD AKISALIMIANA NA KATIBU MKUU CHADEMA DR  SLAA

KATUIBU MKUU WA CUF MAALIM SEFU HAMADI AKIWASALIMIA WANANCHI
WANANCHI WAKISHANGILA
WANANCHI WAKIWA KATIKA MKUTANO WA UKAAWA

WENYEVITI WA UKAWA  JAMES MBATIA NCCR MAGEUZI KUSHOTO PROFES IBRAHIM LIPUMBA CUF KATIKATI NA KULIA NI MWENYEKITI FREEMAN MBOWE CHADEMA WAKIWASALIMIA WANANCHI

ASKARI  WA KIKOSZI CHA FFU AKIWA KATIKA ULINZI

WANANCHI WAKIWA NA MABANGO YENYE UJUMBE WA KUONYESHA SERIKALI TAU

EMMANUEL MAKAID AKIWA ANASALIMIANA NA MZEE NASORO MOYO MUASISI

WANANCHI WAKIWA MABANGO YAO

MWANANCHI HUYU AKIONYESHA PICHA ALIYOIWEKA MGONGONI KWA YA RAIS MSTAAF WA ZANZIBAR NAYE ANATAKA TATU
Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa mtajua km c wazanzibar wengi wanataka serikali tatu bali ni CUF tu ndio wanaotaka

    ReplyDelete
  2. Na anayetaka mbili niwahafidhina si wazanzibar

    ReplyDelete
  3. huyo msenge hapo juu anaijua znz huku hakuna mtu anaetaka mbili

    ReplyDelete
  4. Mnajisumbua na nguvu yenu ya soda mbili 2 na mna haha kama mbwa aliekosa kipolo, sembuse 3 mvuvi hufata upepo kusukuma mashua bt nyie mbulula mnafata mkumbo mtazama, viongozi wenyewe wote wanauchu WA madaraka anaebisha tuonane 2015 uchaguzini den ndio mtajua 2 au 3 shwaini

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shwain mama ako, kuma we!... unafirwa na vibwengo nn? Huku zenji si tunataka 3, kumamayo zako na ndo maana baba yako shoga... anafirwa!

      Delete
  5. Kujaza watu ndio kawaida Yao then mwisho WA cku wanaangukia pua wanatafuta mchawi wkt wao ndio wachawi acheni kupoteza muda pelekeni hoja bungeni

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mchawi ni wewe na mafisadi ambao unawatetea waendelee kupora rasilimali za wa Tanganyika!

      Delete
  6. Ongeeni Bt tutabaki hivi hivi hamna 3 au 4 kwanza mshaambiwa mkatafute nchi ya kuishi

    ReplyDelete
  7. Nyie masoga kwel hapa ni 3 3 3 3tuuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. tatu z a nin kama imeshindikana na bora tubaki na tanganyika yetu kwani mnatusaidia nini kwa n mtupe presha sie shwain

      Delete
  8. kweli nyie mnaotaka serikali tatu mnaugonjwa wa akili, sijawahi ona watu mwhehu kama ukawa wanataka madaraka tu hawa

    ReplyDelete
  9. MIMI MWENYEWE NIPO ZNZ CIO WAZANZIBARI WENGI WANAOTAKA TATU ILA HAWA CUF TU NDIO WENYE ZOGO ETI WANASEMA ZANZIBAR NCHI YAO WAKATI ZNZ NI YA WAZANZIBAR WOTE WAO WANAJIONA NDO WAZANZIBAR HILISI PEKE YAO HAWA WATU WABAGUZI NA KAMA UNABISHA FUATILIA CHIMBUKO LAO NA SERA ZAO NA MUUNDO WA CHAMA CHAO KUANZIA VIONGOZI MPAKA WATUMISHI PIA TABAKA LINALOWAUNGA MKONO HUKU ZANZIBAR UTAKUWA USHAPATA JIBU TUSITUKANANE WALA TUSISHABIKIE FATILIENI SIASA ZA ZANZIBAR KWANZA UTAJUA NA UTAPATA JIBU

    ReplyDelete
  10. HAWANA AKILI NA HAWAJIELEWI NDIO MANA WANATAKA 3, BUT WANAJISUMBUA

    ReplyDelete
  11. hao wapemba mashoga ndo wanataka 3 au kuvunjika muungano wanataka basha wao mwarabu arudi kuwafira na kuwafunga minyororo mtumwa ni mtumwa tu habebeki kama vp waende kwao pemba wakalime karafuu huko wamekimbia kwao wamejazana kwetu tanganyika kisha wanataka mambo ya kipuuzi kumamae zenu wapemba wooooote

    ReplyDelete
  12. Hata mwanzo maadui walihisi nyerere na karume wanaigiza muungano usingedumu so hata sasa UKAWA kazeni buti kuuboresha muungano kama waasisi walivyokaza buti kuulinda wanaohisi ni 3 ni kuua muungano ni myopic thinking

    ReplyDelete
  13. Hakuna serikali 3......2..zatosha....hawa wanachochea kuni kwa njia ya amani na matokeo badae kwalipuka.....ikumbukwe seif shariff hamadi kasababisha wangapi wamepoteza maisha yy kabaki anakula bata.....kambiwa asivae san kanzu awe masuti muda mwingi....ndevu apunguze pia....awe mstaarabu.....

    ReplyDelete
  14. wewe umenena.Seif ni kigeugeu mara yuko kwa rais mstaafu Karume,mara anashiriki mikutano ya UKAWA huku akitambua kwamba ni makamu wa kwanza wa rais Zanzibar.Huyo huyo anadai zanzibar ni nchi huru!ni huyu huyu aliiba nyaraka kwa MZEE JUMBE Akiwa rais wa zanzibar za kupendekeza serikali tatu akampelekea nyerere.Mpaka leo mzee wetu yuko kizuizini kule Kigamboni.Wapo wengi aina ya seif-wanataka urais hata wa siku moja...Tunataka tuendelee kuwa nchi moja imara,serikali moja imara inayotambua kwamba Tanzania ni Muungano wa nchi mbili zilizoungana kuwa MOJA.Wingi wa serikali si jibu la matatizo yanayowakabili watanzania leo.Matatizo ya watanzania ni umaskini,elimu duni,rushwa,kukosa uadilifu kwa viongozi,kukosa uzalendo wa nchi,kutothamini wala kutunza raslimali zetu n.kShime watanzania wanasiasa uchwara wasipewe rungu(kichaa usimpe rungu)muda wao umeisha

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad