Updates: Kwanini Shabiki wa Diamond Platnumz Hutomwezesha Ashinde Tuzo za BET

Bila shaka umeshakutana na tweets au picha kwenye Instagram inayoonesha upigaji kura wa tuzo za BET ambapo kwenye kipengele cha Best International Act: Africa, Diamond anaonekana kuongoza. Well, ni good news kwa mashabiki wake lakini bad news ni kuwa kura hizo hazihusiki kabisa na kura zenyewe za BET kumpata mshindi.

Kituo cha redio cha V101.9 cha Marekani kimetengeneza utaratibu wake mwenyewe wa kuwapa nafasi wasikilizaji na wasomaji wake kumpigia kura msanii wanayempenda na kura hizo zitaishia kuwapa wao picha ya namna wasomaji wanapendekeza washindi wao. Kufanya hivyo ni rahisi sana na hata sisi tukiamua kutengeneza ballots systems kama hizi ingewezekana.

Utaratibu wa tuzo za BET upo tofauti kabisa na unaotumika kwenye tuzo zingine kama CHOAMVA ama MTV MAMA ambapo baada ya majina kutangazwa, mashabiki huwapigia kura wasanii wanaowapenda.

Kwenye tuzo za BET kuna jopo ama academy maalum yenye watu takriban 500 ambao ni wadau wa kiwanda cha muziki, habari na bloggers. BET huwataka watu hawa kupendekeza majina kwenye kila kipengele kwa mfumo wa kupiga kura ‘electronically’.

Kura hizi husimamiwa na kundi liitwalo “Yangaroo” ambalo hufanya kazi kwenye tuzo zingine pia. Kundi hili hupunguza majina na kubakiza wasanii watano kwenye kila kipengele na kuyatuma tena majina hayo (ambayo hutagazwa sasa rasmi kama majina ya mwaka husika) na kuyarudisha tena kwenye academy hiyo itakayopiga kura za mwisho kupata mshindi.

Habari njema ni kuwa, Vanessa Mdee pia ni miongoni mwa member wa academy hiyo. Hivyo bila wasiwasi atampigia Diamond. Haijulikani kuna members wangapi Afrika Mashariki ambao kiuzalendo watatakiwa kumpigia kura Diamond.

Bongo5.com

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dada mondi akishinda mi nakunya mta a mzima

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sema hivii akishinda umpe matako weka namba yako plz mshenzi ww! Mchawi mkubwa!

      Delete
    2. Nimetoka Mombasa kwa ajiri yako kijana nayasubiri hayo mavi kwa hamu kubwa Tanzania nzuri sana kwetu Mombasa twayanunua ati!namba yako pls ntayanunua kwa doral yakhee.

      Delete
  2. Acha ubinafsi na wivu wa kisenge we bata mzinga. unaona hatari diamond kuwin kwa juhudi zake binafsi. et akishinda utakunya mtaa mzima wewe boya kweli. kunya mtaa mzima haitoshi labda unye na uyale mwenyewe na mtaa mzma wakufire mkunduni ndo kidogo utakuwa umemkomoa DIAMOND.

    ReplyDelete
  3. nyie mnaotoa povu hapo juu wasenge kweli.sio lazima kila mtu acomment mnachopenda nyie pia huwezi kumlzimisha mtu amshabikie domo wakati yeye anamkubali did Q nyoko nyie mnamwabudia huyo domo hata akitaka kuwafila mtakubali

    ReplyDelete
    Replies
    1. Poyeee! Ww ndo unaetoa povu hadi hueleweki huyo did Q ndo nani?? Pua km tangawiz!!

      Delete
  4. Wew kweli ni zero brain. umesema wengne et wanatoa povu wakati wewe umehalisha et umecoment cha maana na ww. Go back to nursery ckul to start flashing your brain coz your thnkng capacity iz low. YAANI UMEHALISHA TU ETI UMETOA COMENT NA WW KUMBE NDO WALEWALE KASOLO WENYE UBINAFSI. M2 HATA KAMA UNAMCHUKIA AKIPIGA HATUA MPONGEZE TU. HUO NI UMASKIN UNAOWASUMBUA. NYAMBAFUUUU.

    ReplyDelete
  5. Bac mc2kanane wadau cha msingi 2subili tuone kitakacho tokea ila kama watanzania inabidi 2pige kura zaid coz hata kama watachagui nadhan hata wao watapata msukumo wa kuangalia idadi ya kura nayo inaweza kumsaidia na akafanya aitangaze Nchi ye2 pia ni nzuri atakuwa kalitambulisha game la bongo so ndio atua 2nazo zitaka watanzania [ Ahmed shaban]

    ReplyDelete
  6. tena atoe no yake ili na mimi nifile kidogo mtu wg

    ReplyDelete
  7. mpigie basi hizo kira ashinde sio mnaweka uharo tu hapa hamuwezi kumlazimisha shabiki wa simba ashabikie yanga,mtafirwa sana na dengote mwaka huu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad