Usiombee Kuugua Dengue, Kipimo ni Sh50,000

Wakati taharuki iliyosababishwa na mlipuko wa homa ya dengue ikiendelea kutikisa kila kona ya jiji, imebainika kwamba gharama za vipimo katika hospitali mbalimbali zinafikia Sh50,000, ikiwa ni tofauti kubwa na Sh1,000 kwa kipimo cha malaria.

Ugonjwa huo unazidi kusambaa jijini Dar es salaam na baadhi ya mikoa, kiasi cha mamlaka kuagiza mabasi yote yaendayo mikoani yafanyiwe usafi wa kunyunyizia dawa za kuua wadudu kudhibiti usienee zaidi mikoani. Pia wananchi wameshauriwa kuvaa nguo ndefu ili kudhibiti mbu wanaoeneza ugonjwa huo mchana tofauti na mbu wa malaria.
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hee washafanya dili mazito bac twafa

    ReplyDelete
  2. mh nchi hii sasa walalahoi ndo tutakufa tunajiona bei yote hiyo jaman zambi tusaidieni.

    ReplyDelete
  3. Washenzi manina zao kufakufaana eeh maaambegeresi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad