Uzee Mwisho Chalinze Kibabu cha Fumaniwa Gesti na Mchumba wa Mtu

Amakweli dunia imekwisha! Watu wa Dar es Salaam wanasema uzee mwisho Chalinze, Dar es Salaam kila mtu baby, kauli hiyo ilitimia usiku wa kuamkia Jumanne iliyopita baada ya mmiliki wa Gesti ya GLP ya Mabibo Mwisho jijini Dar es Salaam, Amos Makelle kunaswa kitandani usiku wa manane na mfanyakazi wake aitwae Tina.

Bosi huyo na mfanyakazi wake walinaswa na mchumba wa Tina aitwae Salum Mbonde ambaye alipenyezewa umbeya huyo na mteja mmoja aliyekodi chumba kwenye gesti hiyo kwa ajili ya kufuatilia nyendo za wawili hao.

Baada ya mchumba wa Tina kupewa umbeya huo kuwa wawili hao walikuwa katika harakati za kuchepuka aliwawekea mtego na kuwashirikisha waandishi wa Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ na askari wa doria.

BOSI ATOA SHINGO KUCHUNGULIA NOMA
OFM na mchumba wa Tina wakiwa wamelizingira eneo la gesti hiyo mishale ya Saa 8:17 usiku kukiwa kumetulia tuliii... mtonyaji aliyekodi chumba kwa ajili ya kazi maalum aliwatumia ujumbe mapaparazi wa OFM kuwa mzee Makelle aliyekuwa kwenye chumba chake alitoa shingo kama mara tatu na kuangalia kulia na kushoto kama kulikuwa na mtu aliyemuona.
APIGA HATUA ZA KUNYATA
Ilipotimu saa 8:31, Mzee Makelle akiwa tumbo wazi na kipensi chake aliangalia tena kama hakukuwa na noma, akachomoka chumbani kwake fastafasta kwa hatua za minyato na kuzama chumba namba 104 alimokuwa Tina.

SHAAABASH... WANASWA KITANDANI
Shaaabash... baada ya dakika chache OFM na mchumba wa Tina walizama kwenye chumba hicho na kuwakuta wawili hao wakiwa kitandani huku Tina akiwa na nguo za ndani.

Walipohojiwa na OFM Tina alikuwa akilia na kumuomba radhi mchumba wake na kusema bosi wake huyo ndiye alimshawishi kuchepuka naye aliona kitendo cha kumnyima kingesababisha apoteze ajira yake ambayo anaitegemea.

Mzee Makelle alipohojiwa, katika hali ya kustaajabisha baada ya kujitetea alianza kumchongea Tina kwa mchumbaake akidai si mwaminifu.

“Wewe kama huyu ni mchumba wako hilo mimi nilikuwa silijui, lakini huyu mwanamke juzi tu kalala na mwanaume mwingine palepale gesti na kama unabisha twendeni nikawaoneshwe kitabu cha wageni muone jina lake na la huyo bwana,” alisema mzee huyo.

Waungwana waliokuwa wakimsikiliza mzee Makelle walimtafadhalisha kutozungumza maneno ya kichochezi na kumtaka ajitete mwenyewe.

Baada ya sakata hilo kijana huyo alimchukua mchumba wake na kuondoka naye ambapo OFM ilifuatilia na kubaini kuwa bado msichana huyo anaendelea kufanya kazi kwenye gesti hiyo.

Endapo mfanyakazi huyo atafukuzwa kazi na bosi wake baada ya kufumaniwa OFM inaiomba serikali kuingilia kati ili mwanamke huyo apate haki zake kwani bosi huyo awali alikuwa akisema huenda katika mchongo wa kumnasa Tina anahusika.
Stori: Richard Bukos na Issa Mnally,GPL

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Natamani sana huyo kuma angefirwa kidogo..kuma la mamako we Boss wa gesti.

    ReplyDelete
  2. Huyo mzee alpodoa'

    ReplyDelete
  3. mkateni pumbu mzee ana ukimwi huyo

    ReplyDelete
  4. Mzee ajilia vyake mm naona huyo salum mbonde hana nguvu sawasaw kumfikisha kileleni tina ndio maana tina katafuta mpini mwingine unaemfikisha kileleni jamani ushauri ukipewa k...ma tomb kisawasaw hadi k..ma itoe cheche bila hivyo hao hawakomiiii

    ReplyDelete
  5. uyo dada malaya tu kwani riziki ipo gesti ya uyo mzee,,,,,na nyie OFM sometym mnakosea bana uyo dada hajaolewa na uyo anayeitwa mchumba ake, acheni kuaribu starehe za watu

    ReplyDelete
  6. Huyo mzee ni mjanja tena bora wangemwacha akamfira,sasa kama amekubali kuvua chupi mwenyewe nyie inawahu na mademu wote wa gesti huwa wanauza kuma

    ReplyDelete
  7. uyo mzee laana tu, kwani hana mke na michepuko sio dili

    ReplyDelete
  8. Mind your own business...kufwatilia maisha yawatu engine ya kwenu yamewashinda...duh!!!

    ReplyDelete
  9. kuma haina makombo...km kupigwa mpini kataka mwenye mlitaka Babu wa Msata aache..wewe Salum Mbonde ulimruhusu vp kishitobe wako afanye kazi gesti wakati unajua gesti what is going on?

    ReplyDelete
  10. OFM no wasenge mbon hamuend hotel na lodge mkatafute vigogo wababaishaji nyie tuuuuuuu

    ReplyDelete
  11. Ofm acheni usenge watu wamekubaliana nyie mnawakatisha laha zao achen izo

    ReplyDelete
  12. ofm si waende dodoma uko ndo kuna waheshimiwa wanafanya uchafu sana

    ReplyDelete
  13. yaan hawa OFM siwapendi kama nn wanafuatilia mambo ya kufumaniwa tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu. hamuon mambo mengine jamani? tafuten kitu ambocho kitawanuifasha watanzania wote sio kila sikg guest tu. mnaboa

    ReplyDelete
  14. wamekubaliana tatizo liko wapi? we nae mchumba sijui wa tina ushamba tuu achana naye tafuta mwingine, huyo utagongewa tuu

    ReplyDelete
  15. Mzee ala vyake bwana

    ReplyDelete
  16. Huo muda wanaotumia kutafuta fumanizi wangeutumia kuwafichua mafisadi, wala rushwa, na magaidi wa mabomu Arusha.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad