Wanawake Wanaoendesha Magari Wengi ni Viruka Njia, Hawatulii Nyumbani

Kuna malalamiko mengi yanatoka kwa wananume wenye wake au wapenzi wao ambao wanajua kuendesha magari kwamba wamekuwa kiguu na njia.

Jana nikiwa sehemu fulani, nikiwa na jamaa fulani tukawa tunapiga story mbili tatu hivi. Huyu jamaa akaniambia kuwa mke wake tangu ajue kuendesha gari mke wake hatulii nyumbani week end. Huwa anatafuta visingizio mbalimbali ili kuhalalisha safari zake hizo. huwa anasingizia anakwenda kitchen party, kupeleka watoto hospitali hata kama hawaumwi, au kwenye bithday mbalimbali hata kama anakokwenda hakuna undugu wa karibu au family friend. Siku za kazi wanaenda pamoja kazini na kurudi wote mara chache kwani mwanaume ana uwezo wa kutumia gari la kazini.

Nimeamua kulitoa hapa kwa sababu hata jirani alishanilalamikia kuhusu tabia za mke wake kuwa amekuwa kiguu na njia hasa wikiend wanapokuwa mapumziko kwa visingizio mbalimbali ambavyo vingine vinafanana na hivyo hapo juu.

Kwa upande wangu mimi nipo neutral, nawakarisha kama visa hivi ni vya kweli au uwongo.
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We nae huna,ubunifu,mtegemea vya kukopy,kama huna jipya funga blog.TUMEKUCHOKA KUCOPY NA KUPASTE HABARI ZA JAMII FORUM NA GROBAL,HUNA JIPYA

    ReplyDelete
  2. Unalalamika nn wakat gar ulimfundisha mwenyewe?Acha agegedwe we si uliona unamuonesha mapenz ya kweli!Hao ndio madem komaa!

    ReplyDelete
  3. Kumbe gar ya kaz gan utembee kwa miguu usionekane kiruka njia. Huo ni wivu tu....wa wanaume wachache

    ReplyDelete
  4. acheni tudrive w.wake, kwani kazi ya gari ni nini

    ReplyDelete
  5. hao wenyewe tuu hawapendi kukaa na familia zao nyumbani ni wake wasiopenda familia hao kwa jinsi mtu unavyochoka siku za kazi natamani weekend ifike nipumzike na mwanangu na

    ReplyDelete
  6. Wewe mwenye blogu na wewe kuma mayo, unatuletea habari za kisenge hapa! Pumbavu sana!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad