Hivi inaweza kuwa kweli? Ukimjumlisha na huyu bwana wa EWURA Wazalendo na Wasema Kweli Wataisha.
Kifo cha Mgimwa kiliingia kwenye mlolongo
wa vifo kadhaa vyenye utata vilivyowahi
kutokea nchini katika kipindi cha miaka 20
iliyopita.
Mawaziri wawili waliopata kuongoza Wizara
ya Fedha nao wanadaiwa kufa katika
mazingira ya kutatanisha, miongoni mwao
akiwa Profesa Kighoma Ally Malima aliyekufa
Julai 16, 1995.
Alipojiengua CCM na kuhamia NAREA (NRA),
Prof Kighoma alikwenda Makka katika hijja
ya UMRA. Kabla ya kwenda kwake huko
aliahidi pindi atakaporudi Tanzania atakuja
kutoa yaliyopo moyoni mwake. Baada ya
kumaliza hijja alielekea Uingereza na mauti
yakamkuta huko.
Ilienea katika kila kona ya Tanzania kuwa
inawezekana kuna FITNA iliyosababisha kifo
chake japokuwa wengine wanasema hakuna
FITNA yoyote.
Steven Kibona, aliyepata kuwa Waziri wa
Fedha enzi za Alhaj Ali Hassan Mwinyi,
pamoja na aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu,
Gilman Rutihinda, nao walikufa vifo vya
utata.
Kuna taarifa zilizodai kwamba, wazalendo
hao walikataa kuchapisha fedha na
kuziingiza kwenye mfumo kwa kutambua
kwamba kufanya hivyo kungeongeza
mfumuko wa bei na ugumu wa maisha
ungeongezeka.
Kibona alipelekwa na aliporejea huko
akaanza kuumwa. Ikaelezwa kwamba
amekula vyakula vya Kihindi ndiyo maana
alikumbwa na tumbo la kuhara kwa sababu
ya ugeni wa chakula. Hakukaa muda mrefu
akafariki dunia.
Rutihinda naye alipata ajali asubuhi tu akiwa
anatoka nyumbani kwake. Taarifa
zilizokuwepo ni kwamba ilikuwa ajali ya
kawaida!
Mwingine ambaye kifo chake kina utata ni
Horace Kolimba. Huyu anajulikana kwa kauli
yake aliyoitoa kwamba CCM haikuwa na dira
wala mwelekeo. Akaitwa Dodoma 'kuhojiwa'.
Lakini Machi 15, 1997 majira ya saa 11 jioni
wakati akijiandaa kutoa maelezo yake,
akadondoka ghafla. Walipompeleka hospitali
ya Mkoa wa Dodoma tayari alikuwa 'wa
jana'.
Hivi, hakuna anayeweza kutoa taarifa rasmi
kuhusiana na vifo hivi vyenye utata au kifo
cha kiongozi yeyote kinapotokea mpaka
tusubiri 'redio mbao'?
Nawasilisha.
Source:By Babalao 2 Via JF
Mtenda haki siku zote hapendwi lakini nawao watakufa2(EWRA NOMA)
ReplyDeletehuyu wa Ewura alikua anajua wahusika waliotumia hizo bilioni 83 ambazo inasemekana hazijulikani zilipo. tz ye2!!
ReplyDeleteHuyo giliman rutihinda Ni ndugu WA damu na kaka yetu Julius Gashaza yaan wote wamemalizwa ki mchezo mchezo miaka 20 iliyo pita Gilman rutihinda Gavana WA bank kuu alikufa kifo cha ajabu ajabu sasa NI kaka yetu gashaza maskin
ReplyDeleteHizi zote ni mbinu za serikal ya chama tawala ccm mnazingua sana hii nchi sio ya kwenu peke yenu, mnapoteza sana watu bila sababu ila mtambue na ninyi mtakufa siku moja tu
ReplyDeleteUsitegemee wadhalimu watakufa bila wazalendo kuwaua ni wkt sasa kila anapouwawa mzalendo tuchukue hatua ya kutafiti nani kafanya hivyo hata kwa ushahidi wa mazingira tukishindwa akiuwawa mzalendo mmoja wauwawe wadhalimu kumi wataacha kutuua
ReplyDeleteFamilia ya mgimwa wamelipwa ubunge hawataacha kutuua ningekuwa mimi sina haja ya ubunge ningeondoa mmojammoja
ReplyDeleteHiyo Familia ya Mgimwa hata wasingekubali Ubunge ndio wangemalizwa hata waliobaki , Ujifanye Unajua Nchi Hii Weee! Wangeisha kama Upupu
ReplyDeleteWatu walikuwa wanataka fedha za Iptl sasa zitawatokea puani ishu iko bungeni wazi kuma mayo zenu mafisadi.
ReplyDeleteInauma sana!
ReplyDeleteHuyu kikwete ni msenge na ni muuajin kabisa huyu pumbafu!iwezekani hata kidogo watu wafe kama anachinja mbuzi na kula,watu wa muhimu kama hawa jaman wanakufa?Anakuja kubakia kuwapa wizara watu wajinga kama akina mchemba hata elimu zao hazieleweki kweli ndg zangu tutafika?IFIKE MAHALA TUAMUE SASA
ReplyDeleteMalina name kolimba nso walikufa enzi us kikwete? A cha kumuonea kikwete.
DeleteWewe ya wapi hiyo?msomali nini tutakukamata bora ukae kimya!
DeleteKweli mdau kikwete na lowasa ndo wanakikosi cha mbwa mwitu kinachowaua watu muhimu wanaojitambua nn wanakifanya, alafu matokeo yake anawapa uongoz wajinga wenzake ili waendelee kutuumiza ss wananchi, hana ubinadamu kabisa huyu mzee
ReplyDeleteJaman nyie watu mnapomtukana rais hadharan je mnaudhibitisho gan kuwa rais kahuska? kufa ndo kunaanza leo?
ReplyDeleteIla Kiukweli hii nchi najutaaaaa kuwepo eh Mungu nipe maisha niombe uraia hata kenya alshabab wanilipue au niiishi mwituni na wanyama nijue sina uraia wa nchi yeyote
ReplyDeleteWananchi tunapata shida sana
ReplyDeleteCHAMA CHA WAUAJI HICHO, CCM!!!?
ReplyDelete