Waziri Mkuu Asema Tuhuma ya Wizi BOT na Tanesco Lazima Lifanyiwe Uchunguzi na Tukururu
6
May 09, 2014
Waziri Mkuu Akiwa Live Bungeni Amesema Tuhuma zilizoletwa na Kafulila Jana kuhusu Utapeli wa Mabilion ya Shilingi Kati ya BOT na Tanesco Ni Lazima Ufanyiwe uchunguzi wa Kina Kubaini nini Hasa Kiliendelea na kama Patakuwa na Kasoro Basi Waliohusika Wachukuliwe Hatua Kali ...
Tags
yani naomba Mungu raisi ajae awe kama Nyerere!!! anawatia ndani mara moja haya mamchwa, yani haya maviongozi yetu kweli ni mamchwa, yanaiba tu bila hata woga!!! dah, Mungu tunaomba ututafutie mtu wa design ya Nyerere, AAmin.
ReplyDeleteMtafanya maana mmeshaunda tume kibao lakini hatua hatuzioni
ReplyDeleteDawa hapa ni kamati ya bunge tu maana vyombo vyote vinavyosimamiwa na serkali na serikali uenyewe ndio wezi na ndio wanaotuhumiwa so hakuna jibu la maana hapo.Pinda anajaribu tu kupunguza makali ya mjadala ili iwe ni upepo na utapita kama kawaida yetu sisi wadanganyika.ila kama ni pesa imeshapigwa na sasa majibu ya uwongo yanatafutwa kuwapooza wapiga kelele
ReplyDeleteMatanuzi ya vigogo wa ccm yanatisha.Kama waziri mmoja mh Lukuvi aliweza kununua jumba la kifahari kwa milioni mia saba (700m.)cash,mbezi beach mtaa wa colonel mitha jirani na kanisa la wakorea,akalifumua na kulikarabati hekalu lake hilo kwa zaidi ya bilioni moja.Nani anajua kama pesa zote ni halali?
ReplyDeleteyatalaaniwa tu, yanafikiri yataishi milele
ReplyDeleteMungu Leta Gharika Kuu Hapa Tanzania Shetani Ameiteka Nchi,
ReplyDelete