Wema aache umaarufu wa kubebwa na scandal.

MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity,
Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ameibuka na
kumuonya Wema Sepetu kupiga kazi na kuepuka
umaarufu bila kazi.
Nyerere amemtaka Wema aachane na skendo za
kila kukicha kwani hazina maana kama kazi ya
sanaa aliyoichagua kama njia ya kumuingizia
kipato.
“Kwanza nampongeza sana Diamond kwa tuzo
zote alizopata kwa kuwa alistahili lakini Wema
naye anapaswa kuiga mfano, vinginevyo atakuwa
maarufu bila ya heshima,” alisema Steve
Nyerere.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bora hata huyo wema anaonekana anachofanya kinachompa umaarufu kuliko wewe steve..ovyo kazi kuropoka tu

    ReplyDelete
  2. Kumponda stive sawa ila hapo kasema ukweli kabisa madame ajitambue sasa umri unaenda

    ReplyDelete
  3. kuna kampuni inajiita neema hebarist wauzaji wa dawa za asili na kuongeza shepu. ni matapeli, mjiadhali.

    ReplyDelete
  4. steve kanye..kimba limekubana.

    ReplyDelete
  5. Kweli atafute kazi aache scandal za umalaya na kutegemea wanaume... msonyoooo

    ReplyDelete
  6. acha dai amdanganye kisha cku akimtema ndo atapata akili ya kuifufua endless fame

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad