Wema Ashika Ushahindi wa Kajala Kumuibia Bwana

Unaweza ukaficha siri na ukaamini hakuna atakayejua bila kukumbuka kuwa hakuna siri ya watu wawili! Hatimaye Wema Isaac Sepetu amenasa ushahidi wa aliyekuwa rafikiye kipenzi, Kajala Masanja wa kumwibia aliyekuwa bwana’ke, Clement au CK, yule kigogo wa ikulu.

MIL. 13 KISINGIZIO TU
Habari za mjini kwa wiki nzima ni kusambaa kwa ujumbe mfupi (SMS) za kimapenzi za Kajala na CK ambazo sasa zimefunua kisa kamili cha mastaa hao kuhitilafiana huku Sh. Milioni 13 zikiwa kisingizio tu.

WEMA ALIKUWA ANATAFUTA USHAHIDI?
Kwa mujibu wa chanzo makini kilicho karibu na mastaa hao, kupatikana kwa meseji hizo ni kama mpango wa Mungu, kwani sasa kitendawili kimeteguka.

“Wema alikuwa anatafuta ushahidi kama kweli Kajala anatembea na CK hivyo sasa amepata ushahidi.
“Mwenye macho haambiwi tazama na kama hujui kusoma hata picha huoni? Ama kweli kikulacho ki nguoni mwako!” Kilisema chanzo hicho.

Habari za ndani zilieleza kuwa meseji hizo zilikutwa kwenye simu ya CK na mwanamke mwingine ambaye naye anadaiwa kutoka na kigogo huyo, aliyetajwa kwa jina moja la Naima aliyekwenda kumbwagia ‘zigo’ Wema kwa ajili ya ushahidi.

Ilisemekana kwamba Naima alimuomba simu CK kwa kuwa ya kwake ilikuwa mbovu.
Habari zilizidi kudai kuwa baada ya CK kumpa mpenzi wake huyo simu yake, kumbe zile meseji alizokuwa akichati na Kajala alikuwa amesahau kuzifuta ndipo zilipobambwa.



Mpashaji wetu aliweka wazi kwamba meseji zile zilimshangaza Naima kwa kuwa yeye alikuwa ni mmoja wa watu ambao walikuwa hawaamini kabisa kama kulikuwa na ukweli wowote kuhusu tuhuma za Kajala kutembea na CK.

NAIMA ACHANGANYIKIWA
“Yaani Naima alipoziona meseji alichanganyikiwa kabisa, alikuwa kama kachomwa sindano ya ganzi kwani alikuwa ni mmoja wa watu ambao  hawaamini kabisa kama kweli Kajala anatembea na CK.

“Naima alipokaa vizuri ndipo akaanzisha timbwili lenye ujazo mkubwa na CK,” kilisema chanzo hicho.
Mnyetishaji wetu aliendelea kutiririka kuwa katika SMS hizo ambazo zilionesha waziwazi namba ya Kajala, zilikuwa zikielezea namna CK alivyokuwa akimuomba msamaha Kajala kwa kutopokea simu yake.

HUU HAPA MZIGO
Mtiririko na meseji hizo ulikuwa hivi;
CK: “Mama mimi sipendi kukatiwa simu  pze, ok sawa lakini mi nakupenda.
Kajala: Kwa hiyo ndiyo unaniambiaje?

CK: Umeamua kuniblock?
CK: Kwa nini hupokei simu zangu?
CK: Unaponikatia simu wakati mimi naongea sijapenda sijui nijielezeje mama haya sawa.
Kajala: Fanya mambo.

MZIGO MIKONONI MWA ‘MNYAMWEZI’ WEMA
Ilisemekana kwamba baada ya Naima kuona meseji hizo alizihifadhi ili akamfikishie Wema ‘Myamwezi’ na kumuonesha jinsi rafiki yake alivyokuwa siyo mwaminfu kwake kitu ambacho alikifanikisha.
Habari zilidai kuwa baada ya Wema kuona SMS hizo alipatwa na mshtuko mkubwa kwani alikuwa haamini kama ni jambo analoweza kulifanya rafiki yake Kajala.

BOFYA HAPA KUMSIKIA ‘MADAM’
Baada ya ishu hiyo kuwa ndiyo habari ya mjini, gazeti hili lilijiongeza ambapo lilimsaka Wema ili kuzungumzia kuhusu meseji hizo.
Alipopatikana, Wema alifunguka kuwa  amesikitishwa mno na kitendo cha Kajala.

Wema alisema bora angefanya mtu mwingine yeyote lakini siyo Kajala aliyejitolea kuyaokoa maisha yake.
“Ukweli kabisa angefanya mtu mwingine yeyote wala isingekuwa ishu lakini siyo K. Aisee K amenishangaza na kuniumiza mno.
“Nilikuwa nimeshapanga niweke naye mambo sawa maisha yaendelee kama zamani lakini kwa hili siwezi kumsamehe tena,” alisema Wema aliyeonekana kukerwa na kucharuka vibaya.

HUYU HAPA MAMA WEMA
Baada ya kumalizana na Wema, gazeti hili lilimtafuta mama Wema, Mariam Sepetu ili kuzungumzia jambo hilo ambapo alisema kuwa siku zote alimwambia mwanaye kuwa achague marafiki wa kuwa nao lakini hakulitilia maanani.

“Unajua nilikuwa namwambia Wema kila siku, achague marafiki ambao atakuwa nao. Wengine siyo marafiki wa kweli, ndiyo kama hivyo ilivyotokea, nawaachia wenyewe mimi sina la kusema,” alisema mama Wema.

KAJALA VIPI?
Hata hivyo, gazeti lilimtafuta Kajala kwa njia mbalimbali lakini lilitonywa kuwa yupo China kwa ‘biashara zake’.

Katika mahojiano maalum na gazeti pacha la hili, Ijumaa Wikienda hivi karibuni, Kajala alikana kuwa hata na namba ya CK.
“Katika maisha yangu CK niliwahi kuonana naye mara moja tu, sina hata namba yake ya simu,” alinukuliwa Kajala.

TEAM WEMA YASHANGILIA USHINDI
Kwa upande wake lile kundi linalojiita Team Wema katika mitandao ya kijamii ilijipongeza kwa kupata ushahidi huo ambao sasa umeleta sura mpya ya ugomvi wa wawili hao.

Sehemu ya maoni mengi mitandaoni ilisomeka: “Sasa kule kulia kote runingani na mwanaye matokeo yake ndiyo haya? Kama kweli Kajala kamfanyia Wema hivyo, basi anapaswa kuomba msamaha hata kama Wema yupo na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
GPL

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. yani hata kama wema ameachana na ck haikuwa busara kajala kutembea nae nimemchukia umalaya na tamaa unawasumbua lakini nyota ya mtu huwezi kutembelea

    ReplyDelete
  2. Wema amsamehe bura hata kama kajala hajaomba msamaha ila siku yake ipo wema ataiona kwa macho yake the thing goes around always back around, wema anyamaze na amuache na maisha yake but the end of the day hata kama hata sema kajala pigo atakalolipata but itakuwa moyoni mwake kwa kitendo alichomtenda wema mungu atamlipa soon

    ReplyDelete
  3. Nampenda sana magret.edd

    ReplyDelete
  4. Huyu kajala hana hakir ht kidogooo ni malaya asiejitambua anafunga nini mwanae paula

    ReplyDelete
  5. huyu ck mwizi tuu wa ikulu pia anauza sembe

    ReplyDelete
  6. ck mwizi tuu wa ikulu pia muuza sembe mkubwa hapa nchini

    ReplyDelete
  7. aagh jaman kwan huyo kajala katembea na ck kabla hajaachana na wema au baada ya kuachana na wema naona mmekazana kamuibia bwana kamuibia bwana hee mumtue kajala wa watuuuu mkewe yupo huko kimyaa utadhani wema ndo mkewe!!!! team wema mna upungufu wa akili

    ReplyDelete
  8. na pia hata huyo wema nae akija kuolewa huyo mumewe lazima ataibiwa na yeye yeye c aliona kuiba mume wa mtu rahaa.. asimuone kajala mbaya wakati wote ni wezi tu pumbavu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umalaya ndio unaowasumbua

      Delete
  9. yaani ml 13 inamfanya kajala asinye wala asijambe mwee ningekuwa mi kajala nahamia hukohuko china sirud bongo!!!!!!

    ReplyDelete
  10. Wema nae anawivu anataka mambo mazuri yote yawe yake. Wote na maraya ameona wivu kwa kajala kumpata huyo kidume mwaga pesa.

    ReplyDelete
  11. Ila jamani wema ana nn kwani? Mara diamond alimbwaga akamchukua shogaake penny, Leo ck kwa kajala. Au ndo ule usemi Mungu hakupi vyote? Itakuwa ana mapungufu ya kimapenzi maana hata chibu alimponda kipindi kile

    ReplyDelete
  12. Kina muuma nini wakati walikuwa wamesha achana

    ReplyDelete
  13. Nashangaa knachomuuma nn haswa wakt yy yupo na domo wa mwache kajala wa watu,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wanawake wabongo muache ubinfsi.bwana umemuacha umerudi kwa mwingine kumkuta narafiki yako inakuuma tena ulitakaje?atombewapi nae kazoea vya majina.kama upo happy na dangote la ck na kajala linakushuhulishaje??au ulitaka kwadangote upate dudu kwa ck uendelee kuvutahela?uwenao wotewawili?kwani usi enjoy maishayako na dangote mambo yakuwa ndumilakuwili.hukuwataka kule wataka.mwishowe uachwe tena na dangote uanze kupagawa.hebu piga kimya wema ishi vzur nauliemchagua.kajala yukonanani haitakusaidia

      Delete
  14. Yan waandishi kwa kupindua pindua maneno siwaz mnachukua habar insta cha ajabu mnavuoedit km nyie ndo wavumbuz wa hyo habar ila mrad tu kumchafua mwenzenu...hyo wema kimuume nini wakt yupo na chibu wake na ye ndo aliyemwacha hyo kahaba ck.....na aliyefumania ni hyo naima wala si wema...achen mambo ya kisenge....korodan zenu zilizolegea....wema hana time na huo ushuz wenu

    ReplyDelete
  15. Kajala kuma 2 ziki 2 inamsumbua ungeliacha lingefia jela ulikuwa unalia unafki eti siwezi na haitatokea kuwa na ck aya sasa mambo wazi sijui uta2ambiaje ?hiyo ndio shukrani ya wema .bora ya mchawi kuliko ww kajala hufai mbele ya jamii tena bongo muv muogopeni k hajui shemeji ukimchekea anakubebea bwana.

    ReplyDelete
  16. Kajala kuma 2 ziki 2 inamsumbua ungeliacha lingefia jela ulikuwa unalia unafki eti siwezi na haitatokea kuwa na ck aya sasa mambo wazi sijui uta2ambiaje ?hiyo ndio shukrani ya wema .bora ya mchawi kuliko ww kajala hufai mbele ya jamii tena bongo muv muogopeni k hajui shemeji ukimchekea anakubebea bwana.

    ReplyDelete
  17. Wote changudoa tu.na hata naona kuna wachangiaji wengine hapa wana mawazo mgando kama wahusika tu ndio maana watanzania tumebaki kushabikia vitu vya kipuuzi kama hivi na kuacha watawala yaani ccm kendelea kutuibia rasilimali zetu na kutuacha masikini wa kutupa.tuamke tudai nchi yetu jamani hata hawa wanajiita sijui CK hela wanazotumia kuwahonga hawa dada zetu ni kodi zetu wanaiba kwa sababu tu wamepewa nafasi ya kuzilinda basi wanazitapanya hovyo.amkeni watanzania acheni kulala.

    ReplyDelete
  18. Inashangaza kuona jinsi tunavyohitimisha kwa hizo sms ambazo hazina hata namba za cm direct za wahusika. Wema sio mtakatifu kivilee hata yeye anamapungufu yake na ai vyema kumtupia K lawama tuu wakati hatujui side B

    ReplyDelete
  19. Huyo ck ana mkewe, kwhyo huyo wema acijshaue kua ck n Wake, atupishe cie. Ye kila mwanaume
    mwenye hela Wa kwake. Kwahyo mwanaume akimwacha yy watu wasmchukue? Huyo mumy wke nae akli Hana, kutwa kutetea usenge Wa mwanae. Atulie na huyo diamond awaache watu wale maisha. Kula kajala mpka mapumbu km inawezekan

    ReplyDelete
  20. mliocoment wote wasenge wabichi.. mnavyokazania kajala kamuibia wema bwana kwani huyo ck si ana mkewe?? wema pia mwizi.. kuku nyie

    ReplyDelete
  21. Kwani Wema ana hati miliki ya wanaume wote wa dar? Aende zake

    ReplyDelete
  22. Mke wa CK ndo anapaswa kuombwa msamaha na si WEMA. coz hata wema aliiba mume wa mtu. Acha mboo ya CK ifanye kazi.

    ReplyDelete
  23. Huyu Wema nae kuma yake mbichi imetepeta na mkorogo kwani huyo CK kamzaa yeye? Aende zake huko akagegedwe papuchi yake na domo atutolee mikosi hapa,Hana la maana analofanya,hana elimu ya maana kazi kuendekeza uswahili na umalaya,amuache Kajala ajilie vyake toto la kisukuma shape original sio yeye la kichina na stretch marks mwili mzima hali hata hajazaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad