Wema Sepetu na Baby Wake Wakijiachia Chumbani kwa Raha Zao



MASUPASTAA ambao ni wachumba (wanasema wenyewe), Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ wakiwa katika pozi la kimahaba kitandani Naf beach hotel. Picha hizi Wema  amezitupia katika akaunti yake ya Instagram na kuandika maneno yafuatayo "Thank God tumemaliza salama...Nd we are Happy it went well...Alahamdulillah....Baadae inshallah...Tulale kwanza alafu yale mapichapicha na kila kitu, leteeeeers.."

Post a Comment

57 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahaaaaaaa Kichecheeeee.....na rafiki yake Domo. Kwa kweli admin wa Udaku unaniua unavyojua kuzi post picha za Kicheche yule...

    ReplyDelete
    Replies
    1. jipe moyo..... but imekupenya mpk kwa roho

      Delete
    2. KIcheche mama yako mzazi asiemjua baba yako

      Delete
  2. tenaaaaa kwaraha zao mtajuju mnaoumia habari ndo hiyooooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Weweeeeee Kicheche anaku intimidate kwa sababu ya umburulaz wako......na utamsujudu sanaaaa........Kichecheweeeee...

      Delete
    2. Yaan umekuja mjini na lifti ya gari la ng'ombe kutokea huko mabondeni kuinama. Kufika tu ukakutana na neno la Kicheche basi akili yako ndo imegota hapo....wenzako neno hilo tulishalitupia mbali kitamboo kwako ndo jipya sasa. Kila comment kicheche...kichechee tuuhuna hata la maana. Sasa hata ufunguo domo lako hadi lichanike Wema atabaki kua Wemaa. Kuropoka kwako hakumbadilishi chochote.

      Delete
    3. Hahahaha mdau umenifurahisha sana eti gari la ng'ombe Hilo nalo neno la kutumia neno wkt lishaexpaya limelazana kichecheeeeee kumbe tunaliona jinga 2, ausikilize wimbo WA d kesho atapata jibu la kicheche

      Delete
    4. Anonymous 9:17....kinakuwashaaaa kisa Kicheche kapigwa madongo.....zunguka Dunia hii upate japo ka exposure kidogooooo ndio utajua kweli huyo Kicheche hamnazo......na kuanzia siku hiyo utaacha tabia ya kumsujudia binadamu mwenzako.....mbwa weeeeeeee

      Delete
  3. rekebisha basi hapo,juu wewe admin wa udaku kichwa cha habari umekikosea.

    ReplyDelete
  4. dizaini kama ushamba flani hivi.......afu baadae oooo...wanagombea ubunge wanapewa.....jamii ikumbuke matendo ya mastaa wetu wa bongo...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jamii ikumbuke matendo ya mastar kwani hapo wako uchi, acheni ushamba na unafki wa kujivika utakatifu

      Delete
    2. Jamii ikumbuke matendo ya mastar kwani hapo wako uchi? acheni ushamba na unafki wa kujivika utakatifu

      Delete
    3. Nenda zako umeona ubunge nao dili?

      Delete
  5. wapi halima kimwana mavuziiiiiiiii,,yaani halima akiona hivi anatamani kujinyonga mchawiiii mkubwa

    ReplyDelete
  6. So kama ushamba tukusaidiaje? Mind your fucking life

    ReplyDelete
  7. Wapi Nana sijaona comment yako

    ReplyDelete
  8. Kwa raha zenu .mwaaaaaaaa good couple.

    ReplyDelete
  9. Jamani kwani Kajala ni mwenyeji wa wapiiiiii??????......yaani nampenda mpaka basi tena....

    ReplyDelete
  10. Hapa kuna kajala mamako mtafute matako yako yananuka tens umwambie atalipa 13m kwa nguvu kawa pusha anajiona na pesa za unga lazima tumchomea mwaka huh auishi MPE salamu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eeeh mil 13 alizitoa huo kigogo Wa kicheche Akbar Yuko na kajala!!! Hv hamshangai kicheche kimya anaogopa hata pata shush!!!!!!!

      Delete
    2. Alitombwa wema ndio 13mzikatoka nae afirwe azitoe be ndio tutajua k mbabe Wa wema .madam Hana shida anakula raha na domo y

      Delete
  11. Admin Una Watuu Wa maana Wa kutupa story zao? Hawa washamba Wa uswahilini tunaona kichefu chef pls!!!!

    ReplyDelete
  12. Wajinga wote nyie

    ReplyDelete
  13. Heading Adm. looooooooooooooh RIP mzee sepetu Eeemen, mwanao huku ni majanga matupu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa kweli Kicheche ni majangaaaaa.......RIP Mzee Sepetu.

      Delete
  14. jaman uyu dada ivi mama yake kala hata mia ya dimond maana kajiozesha mwenyewe sizan km ata barua kaletewa d fanya kwel mfunue uyo kila sehemu si kajileta mwenyewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe inakuhusu nn kama mama take Kala au hajala Mia? We huyo mbwa Wako ulienae kwenu anajikana, hovyooo

      Delete
  15. kwajinsi alivyokuwa na kiu ya uyo bwana pic anapost yeye yan anashughuli sana aangalie future maana wakati wazidi end uo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi huna habari????.....huyo Kicheche hakui.....kila siku yeye ni mtoto.....tena yule mtoto wa kupewa uji uliopozwa....

      Delete
    2. Unaonekana kabisa wewe ni mshamba wa social media so umefundishwa blog ya udaku basi ndo umekomea hapohapo. Mshamba wewe hebu ingia insta posts za diamond then na ya Wema then utajua nani anaongoza kwa kupost. Pole sana kwa kunyimwa amani na Wema. Yote hiyo kwasababu kakuzidi mbali mnooo ndo masna hasira zako unamalizia humu. Kama we jasiri si umuendee mwenyewe kuliko kushikilia neno hilo hilo kila siku kama jua la wiki vile. Acha ushamba huoo

      Delete
    3. Kinakuuuumaaa..........na kwa sababu ni mburulaz utaendelea kumsujudia sana huyo Kucheche......hovyoooooooooo

      Delete
  16. yaani munapoteza muda wenu kuwajadili watu ambao hawakujueni

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe wote unaowajadili wanakujua?

      Delete
    2. Tena wengine walivyo matahaira kabisa wametenga mingo ikiwekwa post ya Wema tu bac kukimbilia kuharisha na neno lao lililowaganda akilini. Watabaki kupoteza mda mhusika anafanya yake tuuu

      Delete
  17. ww wanakujua kwendraaaaa

    ReplyDelete
  18. Nice couple...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yeah nakubaliana na wewe. They are so nice couples. Tena wanaendana na uswahili wao. Waswahiliiiiiiiii ni majanga...Domo na Kicheche....lools....

      Delete
  19. Hat mm naikubali hii couple bas tu wadau nipen namba ya wema kuna kitu muhimu nataka kumwambia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Buahahahahahaha......usichezeeee Kicheche wewe....shauri yako.

      Delete
    2. Hiiiiiiiiii........couple balaaaaaa

      Delete
  20. Capable couple in tanzania asiekubar nae awe km hawa tuone km atahit

    ReplyDelete
  21. Kitandani na mikofia?????????? Ubishoooooooo hadiiii co tena!!

    ReplyDelete
  22. ao ni wazee waku show so usishangae tz nzima wanajiona ni wao tu akuna mwingine

    ReplyDelete
  23. wivu tu unakusumbua ulitaka avai nini mbona alivyovaa kofia yuko lovely tuu chezea dai ww kila vazi linampendeza mpumbavu kweli ww ulitaka avae hiyo boksa yako iliyotoboka msenge kweli mwache mtoto wa watu ale raha acheni kumdis mkajinyonge basi hela zake roho ziwatoke inahuu!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. alafu nyie kuma bichi mnataka wema akue nini..mwache adeke mtoto mbichi alafu mtamu....admin waweke kila siku awachoshi kuwasoma,alafu cha umuhimu wote wanaridhishana ndo maana nyie mnawaza mifukoni kama halima dhiki kimwana..ukimuangalia tu ni ananuka ushuzi wa babu!!

      Delete
  24. Nana big up wg tena hawachoshii km penny msagajiii ahaa lisagaji linalokula mboo mxuuuuuuuuu. .....lione lipenny jike dume ht kubembeleza halijui utafikiri kulya la msomaaaaa

    ReplyDelete
  25. kuma mamayo wewe wa msoma wameigiaje hapo?we wajua kubembeleza matako wewe mtoto uliyezaliwa kwa ajari ya kondom ndo maana hujitambui.

    ReplyDelete
  26. Nana kuma la mama yako

    ReplyDelete
  27. Mtatukana sana ila kwa wale watumia instagram wema na diamond wote wamepost so hakuna anayempenda mwenzake kuliko mwingne,hawa ndo mr and mrs Tanzania....hutaki kachambe ulale

    ReplyDelete
  28. wema ana bonge la nyumba ni tajiri kuliko diamond tajiri kuliko ma star wote bongo mavi

    ReplyDelete
  29. 2:43 hivi ww future yako unaijua au umbea usio na malipo nyooo,

    ReplyDelete
  30. Mmhhhhh admin nae eti wema na sepetu rekebisha bwana

    ReplyDelete
  31. wabongo kwa ushambenga tuu, mmeshinda dunia nzima munafaa mupewe medali...lol

    ReplyDelete
  32. Aliyemtaka nana jr umemuona?napita njia

    ReplyDelete
  33. HAYO NDOO MAPENZI, HAWANA MTOTO, KARAA YA NINI! MIE NA UTU UZIMA WANGU NIKO BIZE NA BABA WATOTO WANGU.

    ReplyDelete
  34. mependeza wenye wavu wajinyonge tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad