Wizi bil 200 za BOT ni kazi ya mikono 'mitakatifu' ya Mwigulu?

 Hivi karibuni nilikuwa Bukoba niliona meli ilyoingia nchini mwaka 1958 ikiwa bado inabeba roho na miili ya watanzania, niliambiwa bilioni 200 unaweza kununua meli mpya za kisasa zaidi ya 5. Kuna deni la walimu limefika bil 61, unaweza kulipa deni hilo mara 3 ukabakiza chenji. Kwa ufupi ni fedha nyingi zenye uwezo wa kujenga barabara ya lami ya kilomita 180.

Alipoteuliwa Mwigulu kuwa naibu waziri wa fedha wazalendo walilalamika sana, kwamba ni mkakati wa kuiba fedha za uchaguzi kwani ana uzoefu wa EPA maana ulifanyika akiwa mtumishi wa BOT. Nakumbuka Mnyika aliwahi kumtaja kama mtuhumiwa wa EPA tena bungeni. Sasa tunachosubiri ni Kafulira kutwambia wizi umefanyika lini tuandae maandamano ya kumg'oa Mwigulu.
By Mpk Via JF
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mimi mtaalamu sana wa hesabu ila ukiigawanya kwa watanzania wote watapata sh 400@

    ReplyDelete
  2. Huyu mkundu lazima anahusika tuu kuma la mama yake!nimesha waambia na bado nitaendelea kuwaambia huyu sio kiongozi kabisaa huyu mi mchumia tumbo kuma nina watanganyika njamani hamkeni wanayotufanyia hawa viongozi na tunapo elekea sio kuzuri mlala hoi huko mbeleni itakuwa ni majanga kabisa iko siku watu watanielewa.

    ReplyDelete
  3. Nihatari sana na ufisadi uliokubuu lakini cdhan kama yuko peke yake na wakuu wa kaya ya Tanzania wamo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad