MWIGIZAJI staa Bongo, Jacqueline Wolper ameifungukia rasimu ya katiba mpya ambayo ipo bungeni kujadiliwa kwa sasa akisema yeye matakwa yake ni kuwepo kwa serikali mbili na si tatu wala ya mkataba.
Akipiga stori na safu hii juzi jijini Dar, Wolper alisema anaamini serikali ya tatu itakuwa mzigo kwa wananchi ambao ndiyo walipa kodi.
“Serikali mbili ndiyo mpango mzima, ya tatu ni mzigo, ya mkataba sioni maana yake. Halafu nataka muungano udumu, pia nitafurahi sana kama Ukawa watarudi bungeni litakapoanza tena Agosti mwaka huu,” alisema Wolper.
Huyu kishapata bwana kigogo wa CCM anamtumilia!!
ReplyDelete2 YATOSHA
ReplyDeleteNawewe tafuta huyo kigogo, umbea tu hovyooooo
ReplyDeleteHebu toka zako hapa... kwanza una kashifa ya harufu ya pachupachu...
ReplyDeleteKama kapata aache tamaa yakukopa nguo kwenye ma boutique
ReplyDeleteKuanzia mwanzo walikosea; Serikali ilitakiwa iwe MOJA tu.
ReplyDeletesi wamechakachua hapo ndipo walipoharibu
DeleteYaa ili wandelee kuuza sembe,
ReplyDeleteTatu ndo mpango mzima @ af we wolper acha mambo za ajabu yaan unajitenga hadi na kabila lako?
ReplyDeleteAcha kumtumikia huyo kiwete wa akili et kisa anawatetea wasanii wa bongo movie. Kwanza naomba unitajie mfanyabiashara mkubwa wa kabila lenu anaetaka ser 2
#nimeuliza mfanyabiashara kwa sababu hawa ndo walipa kodi wakubwa
THINK TWICE B4 TAKING DECISSIONSSSS