You Heard ya May 27 2014 Inamuhusu Producer Lucci na Ndoa Yake

Ni stori zinazopitia kwa Soudy Brown ambazo mara nyingi huwa ni zile zinazokuwa chini ya kapeti hivi lakini anazifichua ambapo ya May 27 2014 inamuhusu producer Lucci ambae stori ni kuhusu uhusiano wake wa kimapenzi.
Hii ya leo ni kuhusu fununu za wazazi wake kudaiwa kumpa onyo la kumwachia radhi endapo atamuoa mpenzi anayefikiria kumuoa kwa sasa.

Sikiliza Hapa Chini:

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. so????????????????

    ReplyDelete
  2. wazazi wa sasa hawana izo sa cjui lucci na wazaz wake bado wapo karne ya 18

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad