Zitto Apata Shavu la Katibu Mkuu wa umoja wa kamati za mahesabu za nchi za Afrika

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa umoja wa kamati za mahesabu za nchi za Afrika(Afropac) ili kuziba nafasi ambayo ilikuwa iikishikiliwa na nchi ya Msumbiji.
Baada ya kuchaguliwa kupitia ukurasa wake wa Facebook hiki ndicho alichokiandika.


Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera kaka wewe jembe.

    ReplyDelete
  2. Kampeni kafanyiwa na ccm ili kumpoza tu baada ya kumtosa ili kupata nafasi ya kupambana na UKAWA.Ndugu zitto hata wangekupa cheo gani huko nje,hapa nyumbani umeoza na "la kuvunda halina ubani".

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe ni nani usie ona mchango wa jembe zitto, kichwa yako ya chekechea!!!!!!! toa ujinga wako hapo

      Delete
    2. Mjinga ni wewe usiyeujua unafiki na usaliti wa Zitto.

      Delete
    3. Vibaraka wote mnaofuata mkumbo na kuendekeza kupigwa miti matakoni ndo mnaombeza zitto lkn dogo hana papara fanya kazi watakimbiana tu muda si mrefu machokoraa hao.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad