Zitto Kabwe Awajibu Chadema Walio Mtuhumu Kwa Ufisadi Kupitia LekaDutigite

Nasikitika kwamba katika hali niliyonayo ya kumwuguza mama yangu naingizwa kwenye siasa za majitaka. 

Kampuni ya LekaDutigite inamilikiwa na wasanii. Gombe Advisors ni kampuni isiyofanya faida (Company limited by guarantee) na haina maslahi yeyote ya kibiashara.

Wasanii wa Kigoma wamefanya kazi na TANAPA na NSSF, kazi ambazo zinajulikana na zipo.

Leo mpigie simu mfanyakazi yeyote wa NSSF utasikia kazi ya wasanii hao. Kwa namna yeyote ile hii ni ishara ya kukosa ubinaadam maana waliyoyasema wanajua sina faida yeyote ya kifedha Leo wala kesho kwa LekaDutigite na Gombe Advisors. 

Kipindi ambacho mama yangu yupo mahututi, tena mjumbe wa kamati kuu ya chama chao, pole ninayopewa ndio hiyo. 

Hakuna namna ya kukosa ubinaadamu zaidi ya hivi.

By Zitto Kabwe
Tags

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. a chama chao
    akina nani?
    afu kuuumwa kwa mama yako hakuna uusiano na ufisadi wako

    ReplyDelete
  2. Acha kujiosha huna maana na lazima ukubali ukweli,ulifikiri ww hawatakujua maovu yako? Yako wapi leo uliyokuwa unawaafichulia ccm kipindi kile ukijua kwako hayatakuwepo? Baba umeshashuka kiwango muha ww unalo?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jipe moyo kuwa kashuka huoni viongozi Wako wapumbavu WA chadema wanavyohaha

      Delete
  3. Zitto,zitto jibu hoja.Usisingizie ugonjwa wa mama.Nani ambaye hauguliwi na jamaa lakini watu wanawajibika? Huna lako,ccm weshakutosa sasa wanahangaikia UKAWA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli bwana hicho chama chake kipya ACT ni mali ya Wassira,ni cha mfukoni tu,hakina ofisi wala hakina ubavu wa kuitisha mkutano wa hadhara.

      Delete
  4. Waziri aliyelipuliwa bungeni jana na Mh.Halima Mdee yu anumwa sana kuanzia bunge lilipomalizika jioni.Haijulikani wazi kama anaumwa presha,msongo,kiwewewe au nini,kuna mdau anayejua atujuze zaidi?

    ReplyDelete
  5. Mkuu kazi unayo fafanua tukuelewe bado hatuzion juhud zako za zaman

    ReplyDelete
  6. Jibu hoja. Kwan n lazima upewe pole kwa kumuuguza mama?? Huna jipya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anakwenda kupewa pole na kikwete, wao wa chama chake hata mlango wa hospital hawaujui. Du!

      Delete
  7. Bongo Anna Siasa. Bali in siasa za chuki na uongo.

    ReplyDelete
  8. Anahaki ya kupewa pole,na kutakiwa kheri,Watanzania tupendane,tusiige tamadumu ambazo hazita tusaidia,viongozi wajenge taifa letu changa kwa sababu ya kukosa ukweli na kuiga,vyawengine,sio vyote vya kuiga,Mungu tusaidie jinsi ya kulinda nchi yetu dhidi ya walafi,hakuna atakaye kufa na nyumba au kuzikwa na gari,ukiwa na mali nyingi ukifa una acha watu wanatoana roho, kwa kugombania,kwa sababu hawajui uchungu wake.

    ReplyDelete
  9. Zito we ukimaliza kumuuguza mama njoo uwalipue, ukawa wote mafsadi, we ulishaona chama hakina uchaguzi wa mwenyekti angalia kunzia Mapumba,mbata mbolo, wote hawataki kuachia uenyekiti,tumeshawastukia hatuwapi kula tena

    ReplyDelete
  10. Hacheni chuki binafsi ndio maana atuna maendeleo

    ReplyDelete
  11. Hili la Zito linanikumbusha sawala la karibuni la mchezaji wa Manchester City Yaya Toure, anasema anataka kuhama kwa sababu timu yake haikumtakia kila la heri ktk birthday yake!! lakini ukweli ni kwamba anataka mkataba mpya! Yaani kweli mtu unatuhumiwa kwa ufisadi and you play ''sympath card'' alitakiwa ajibu hoja coz kama alivyosema mdau hapo juu kila mtu aidha anauguliwa au ana matatizo ambayo kama kila mtu akiamua kuyataja basi hakuna hoja wala tuhuma itakayojadiliwa. Wanasiasa ni watu wa kipekee sana!!!

    ReplyDelete
  12. Wenyewe kwa wenyewe Haya Sasa kazi Ipo.chama kimoja mwenyekiti miaka 20 Kuna hapo? Ndo ukweli ukishaonja nyama ya Mtu huwez wacha utakula tu

    ReplyDelete
  13. mama anaugua kwa sasa lkn hii tuhuma ni muda siku zilizopita unatakiwa uwajibike kwa hili

    ReplyDelete
  14. awajibike kwa lipi? kwani hukuona jibu alilotoa au ushabiki maandazi??????? acheni kufata mkumbo wa ushabiki maandazi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Zitto hajajibu hoja,analilia tu teh teh uwii eti mama anaumwa,mbona mm mama yangu anaumwa lakini napiga mzigo? Kumbe alipokuwa anawalipua kina Karamagi ilikuwa tu ni uchungu wa kutopewa mgawo?

      Delete
  15. zito ni mwanasiasa anaejtambu, huwezi kumfananisha na mboo,we, na anajua anachokifanya kwajili ya nchi yake. hao wanaomchafua wanajua kabisa kuwa yeye ni tai. hawamfikii ndo mana wanamtaftia skendo. lakinu jibu ni moja hata akitaka uraisi leo hii. tutampa kula. lakini cyo chadema na chama chama chao au kamati yao ya wachaga. uumpe mbowe nchi catauza nchi huyu akakae malekani, mpenda starehe, ucku kucha kwenye club na malaya. halafu unataka uongozi, watafaidi malaya wa ucku. mbowe hufai.

    ReplyDelete
  16. Zito pole ubinadamu kazi"!!!" hukujua kama ulikuwa nacwanafiki miaka yote hiyo!!! Mwenyezi mungu atampa mwepesi mama yako Inshaa Allah. Watu wanatafuta umaarufu wajulikane ila siasa hawajui. Na siyo maslayo ya wanachi kama wanavyodai

    ReplyDelete
  17. Zitto hatakiwi kuonewa huruma kabisaaaaaa,ni msaliti na mtu kigeugeu asiyeeleweka huyo.

    ReplyDelete
  18. huyo Sugu mwenzake ananyolewa ye anachekelea haloooo nae litamfika tu...aaah lkn cdhan mana n km bendera mfata upepo hajiamini

    ReplyDelete
  19. Thibitisha kauli uliyotowa, nani asiyd stahili kusamehewa mbona ulimnyea mama yako alikuuwa, kipi kibaya zaidi ya kunyewa, we bwege.

    ReplyDelete
  20. Thibitisha kauli uliyotowa, nani asiyd stahili kusamehewa mbona ulimnyea mama yako alikuuwa, kipi kibaya zaidi ya kunyewa, we bwege.

    ReplyDelete
  21. willekessy@gmail.com31 May 2014 at 01:50

    pole kwa kumuuguza Mama yetu mzazi Kaka, binadamu ndivyo tulivyo huwa ni watu wa kusahau fadhila kwa mda mchache sana, but don't care let's prayer our lovely Mother aweze kupona mengne yatafuata kaka.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad