Zitto Kabwe Mguu Ndani Mguu Njee Chama Kipya ACT

Leo Zitto Kabwe Aliwekwa Kikaangoni na Redio Moja Kubwa Hapa Tanzania kwa Kuulizwa Kuhusu Tetesi kuwa Amejiunga na Chama Kipya cha Siasa ACT ..Zito Amesema Kweli Anahusishwa na chama Hicho ila Kwa sasa hawezi sema Chochote kwani Bado anakesi na Chama chake cha Zamani Chadema so hawezi Sema chochote cha Maana, Akaulizwa Tena Kama anahusika huko akasema Yes No akiwa na Maana yupo mguu nje mguu Ndani ? Tusubiri Tuone
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zitto umekwisha kisiasa ,ccm sasa hawana mpango na wewe tena,wanahangaikia UKAWA inayowanyima usingizi

    ReplyDelete
  2. Zitto 'la kuvunda halina ubani' umejimaliza mwenyew kwa tamaa ya fedha za ulizopewa na ccm kuisaliti Chadema.Nilikuona Mlimani city juzi kati umekonda sana kimebakia kichwa tu,kulikoni?

    ReplyDelete
  3. Hahahaha hao ndo ccm bwana wanakumalza huku unajiona pole sana hyo ndo siasa Watu tushaanza kukusahau

    ReplyDelete
  4. ninyi mnaosema zito kajimaliza hamjielewi, cdm ndo kimejimaliza chenyewe kwa kumfukuza zito ambae ndo alikuwa kichwa cha cdm na jibu mmelipata jibu chalinze,kalenga na uchaguzi wa madiwani

    ReplyDelete
    Replies
    1. We boya kweli subiri 2015....Tukipita 2015....2020 hatupiti. JK

      Delete
    2. Bwege kweli kweli,nani kasema kalenga na chalinze kulikuwa na uchaguzi? Ule ulikuwa ni mchezo wa kuridhishana vyeo ,watoto kwa baba zao.

      Delete
    3. nakushangaa sana kama watoto wamesoma na wananafasi ni kwanini wasigombee wakati na wenyewe ni watanzania na wanahaki ya kufanya chochote, wa tz bwana mnakili mgando sana

      Delete
  5. Mnapiga kelele jimbo letu si ni kabwe bila kuangalia chama gani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad