Aibu! Mtaa Wafungwa Baada ya Jamaa Kunaswa Akila URODA na Mke wa Rafiki Yake Huko Mabibo

Mume aliyejulikana kwa jina moja la Ngosha, mkazi wa Mabibo jijini Dar, amemfumania rafiki yake aitwaye Jazira akiwa chumbani na mkewe Jack wakiivunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu.Tukio hilo lilitokea Jumanne iliyopita saa 12 alfajiri ambapo ilidaiwa kuwa Jack alikuwa chumbani na mwanaume huyo ambaye ni mpangaji, wenzake wakipeana maraha.

Imedaiwa kuwa, wawili hao walikuwa wakimtegea Ngosha akitoka kwenda katika shughuli zake, Jazira alikuwa akizama katika chumba cha rafiki yake na kufanya mchezo wa kikubwa.

Wapangaji wenziye na Jack wamedai kuwa, mke huyo wa mtu ambaye ana miezi miwili tangu aolewe kutoka mkoani Tabora, amekuwa kero katika nyumba hiyo kwani amekuwa akipiga kelele za kimahaba nyakati za asubuhi ambapo watu wengi wanakuwa wakielekea kazini.
“Hata sisi wanawake tunaoishi nyumba hiyo tuna waume zetu tunawalilia lakini kinachotusikitisha mwenzetu anamlilia Jazira badala ya mumewe ambaye anakuwa amekwenda kazini,” alisema mmoja wa wapangaji wa nyumba hiyo.

Imeelezwa kuwa, siku hiyo mlinzi wa msikiti alikwenda kumwamsha Ngosha kwenda kusogeza gari lake ili watu wapite na alipofika katika chumba chake, alikuta mlango wa sebuleni ukiwa wazi lakini hakukuwa na mtu, ila chumbani kwake kulisikika redio ikizungumza kwa sauti kubwa.

Jirani mmoja aliyedai kuchoshwa na tabia hiyo, alimshauri mlinzi huyo kwenda kusikiliza kwenye dirisha la chumba hicho na waliposikia sauti za kimahaba wakakubaliana wamtonye mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Kanuni, Mabibo aliyetajwa kwa jina la Asha ambaye alifika na kusikia ‘mchezo’ ukiendelea chumbani

Wakati huohuo, Ngosha akapigiwa simu kuja kushuhudia mchezo huo mchafu wa mkewe alioufanyia ndani ya chumba chake.
Mashuhuda wa tukio hilo walisema, alipofika Ngosha nyumbani na kutonywa kilichotokea  alipandwa na hasira na kuangusha varangati kwa rafiki yake lakini baadaye akatulizwa, akamtaka Jazira amlipe shilingi milioni 1.2 ili amuachie mke moja kwa moja.

JAZIRA ANA LAKI 2

Jazira alisema hakuwa na kiasi hicho isipokuwa anaweza kulipa shilingi laki mbili tu, jambo lililomfanya Ngosha kuomba msaada wa askari mgambo na kumpeleka mgoni wake Kituo cha Polisi cha Urafiki kwa ajili ya hatua zaidi za kisheria.

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Majirani wivu noma,kelele za mahaba zimewatia nyege had nmemuharibia mdada kwa mumewe,chezea mahaba wewe,Ngosha kashindwa mambo akachunge ng'ombe.

    ReplyDelete
  2. Wanaume wengi wanafikiri mke hutulizwa na pesa au ugali au magari na starehe bila kujua vitu hivyo sio mwisho. Mwisho wa yote ni sita kwa sita. Uwe na Mundu na ujue kuutumia sio miguvu tu.
    Sasa ngosha miezi 2 tu anasalitiwa halafu eti anazua varangati la nini sasa.
    Ni wazi hawezi mapenzi acha mtu aliwe na wajuzi wewe kalia hio ndoa yako kama jina tu.
    Kama umeoa au kuolewa bila shaka unajua naongelea nini hapa.

    ReplyDelete
  3. Ngosha the swagga don, Ngosha the swagga don

    ReplyDelete
  4. wengine umalaya ni by nature kwan mpaka anaolewaa alikua hajui kaz ya uyo mwanaume sita kwa sitaa mpaka leo aanze kucheat na jiran akeee..ushuuuuuuziii waliostaarabika wanafundishana jinsi ya kutombana kama watahic kuna mmja kat yao hatoshek na anachokipata

    ReplyDelete
  5. Dah!!kazalilisha hili jina Ngosha kwa kuchapiwa mke wake....Ukijiita Ngosha,uwe Ngosha kweli siyo Ngosha kwa swagga!!pole mkuu kwa kuchapiwa wife!!

    ReplyDelete
  6. du ngosha hajui kumkojoza mke! ngoja akojozewe ngosha lake jembe mke hamuweziiiii

    ReplyDelete
  7. Huyo mwanamke ni Malaya tu nasio kwamba Ngosha hamtoshelezi au labda husikute huyo.Jaziri Ana mfira mkundu na ngosha hafanyi hivyo na dawa ya mtu kama huyo ni kumvalisha shanga na kumfira na sio kumpeleka polisi. Au hakulipe gharama zako zote

    ReplyDelete
  8. hajui kutonbahuyo

    ReplyDelete
  9. ndio walivyo wanawake wakinyamwezi hawariziki

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad