Alichokiandika Wema Sepetu Kuhusu Ugomvi Uliyokuwepo Kati Yake Na Kajala Masanja

Wemasepetu 
"Good morning instagramers.... Hope you all well... If y'all must know mimi ni mtu ambaye huwa nasomaga sana comments.... Na kama nimekosa kusoma comment yako ujue ni kwamba zinakuwa nyingi mno na nashindwa soma zote.... Ni kwa muda mrefu sana mnaniona nakaa tu kimya na sisemi chochote khs my friendship life... But mimi binafsi na muhusika ndo tunajua... saa nyingine
mnaongea hadi nakereka but nakaa kimya... Nilitaka tu kusema mimi sina kinyongo na mtu... na kama kuisha mbona yalishaisha...Au ndo mlikuwa mnataka kuona bega kwa bega...? In my life siwekagi vinyongo... nyi wenyewe mnajua... So jus so u want to know hayo yalishapita na maisha yanaendelea... ni hayo tu... Have a good day everebadi"

But chakushangaza Mlimbwende huyo wa Tanzania wa mwaka 2006 hakuweza kuweka picha ya shostito wake huyo kwenye hiyo post badala yake akaweka picha ya Shostito wake wa sasa Aunty Ezekiel ndio aliepamba post hiyo. Mmmmh je hapo unalionaje hilo? mdau.

Back to the Topic:: upande wa pili nao ulitoa shwangwe kwa kupost maneno haya:: 
kajalacelebrity2014 Hellow Africa!!!!I officially announce this#Finallyhakuna bifu wala chuki kati ya @new_kajala na @wemasepetu!!!Wameisha reconcile na kusolve differences zao, finally madam@wemasepetu ameweka wazi kwamba hana kinyongo tena shosti akeee Kay na hata Kajala amekubali kwamba hana bifu na madam, hizi ndo habari za ukweli kutoka kwa wahusika!!!!!Namalizia kwa kusema hivi," When destiny forgets to tie some people in blood relation...., it corrects that mistake by making them true friends!!!! @new_kajala @wemasepetu may God be with u!!!!

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kilichokuwa kinawagombanisha ni kweli au uongo.

    ReplyDelete
  2. Aunty ndo muongo hyu namdomo wake kama ndolobo kuinglia urafiki saiz kanajiona kwnywe ndio kema one day nawewe yatakuwa yaleyale.

    ReplyDelete
  3. Mh haya tupooo ushoga wamjini kazii.vioja vya mashoga mabest nivingi.wadada tuwe makini.shoga mama ako mzazi haowengine kuwe na limit.ule ushoga wabibizetu sahiz hamna

    ReplyDelete
  4. Soma hapa unavyoweza tengeneza pesa kupitia computer yako

    ReplyDelete
  5. big up madam.......napenda sana mtu aso na kinyongo km wewe...umenikumbusha kipindi kileeeee ulivyomtunza domo pesa akakataa kupokea lkn mwisho wa yote ulimsamehe na ss maisha yanasonga.........hongera sana kwa moyo huo

    ReplyDelete
  6. Hakuna habari kwenye gazeti hili ila habari ya wema kila kukicha wekeni habari za maana watu wanufaike

    ReplyDelete
  7. Kajala ana roho mbaya ndio maana bado ana kinyongo ,jamani wema ana roho safi ms mungu atambariki ,likajala lingekuwa na roho nzuri lingemkumbuka mumewe kwani good time walikula wote

    ReplyDelete
  8. pigeni kimya kuhusu ilo suala,,wema acha kuvaa sale namachokoraa..mpyuuu unaniudhi sijui ujijui daraja lako.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad