MKURUGENZI wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ Asha Baraka, amesema kamwe hawezi kumsamehe mwanamuziki Ally Choki ambaye ni Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, ambaye ana bifu naye la muda mrefu.
Hivi karibuni habari zilienea kuwa wawili hao wameshapatana baada ya kukutanishwa na chombo kimoja cha habari nchini, jambo ambalo Asha amelikanusha.
“Siwezi kupatana na Choki kwa sababu sioni haja ya kufanya hivyo. Nimesikia kwenye mitandao kuwa eti tumepatanishwa... watu bwana! Labda waliopatana ni wao siyo mimi. Nasisitiza habari hizo ni za uongo na ninaomba Choki akae mbali na mimi,” alisema Asha.
Kwa upande wa Choki, alipoelezwa kuhusiana na majibu ya Asha, alicheka kisha akasema: “Kama yeye amesema hivyo, acha iwe hivyohivyo. Kwanza hayo mapatano yenyewe sijafanya kwa ajili yake maana hakuna kitu ninachotaka kwake. Nina mambo mengi ya kufanya.”
GPL
halafu ndio mnajifanya kwenda ibadani. Ibada gn inayokubaliwa kama una kinyongo na mtu na huna moyo wa kusamehe? vifo vyenyewe siku hz vya ghafla,hebu sameheaneni ili Mungu nae awasamehe ili mfe kifo chema
ReplyDeleteAsha fala kweli. Kwa kosa gani lisilosameheka. Kwani choki alikubaka!
ReplyDeleteWewe umemchunaa na nyimbo zake enzi za pepeta kweli umetajirika. Sasa hicho kigari ndo chakutoa roho? Utakufa na dhambi wewe mtu kama Choki, Banza, Diof, kpaza, Amigo. Katapila hawa wamekufikisha hapo ulipo leo.
Dah! Asha ndoungekuwa wakupatanisha watu sasa ww ndo unaaribu?
ReplyDeletesomeone tell Asha baraka abadilishe upakaji wanja its all i have 2 say
ReplyDeletemwache mwenzako kapaka ile ya ktoto ya kufukuza majini hahhahah
Deletemwenzako kapaka ule wa ktoto wa kufukuza majini hahahha
Deletehuo wanja wa piko, uwiiii me hoi hoi.... Hahahaaaa
ReplyDeletekwani ugomvi wao ni wa nini?kweli walishawahi kuwa wapenzi?
ReplyDeleteUgomvi si walikuwa wapenzi,then asha baraka akamwagwa na choki,sasa ndo biff mpaka leo,acha umalaya we asha baraka yesu alituasa kwamba tusamehe mara 70
ReplyDeleteSasa kama kisa ndo icho hawatosameana
ReplyDeletewe bibi acha mambo ya kisenge kazi kuoa wanaume kuma na safari hii umeoa mjuaji idi baka na ye umuwekee bifu uone.
ReplyDeletehahahaaa sasa idi baka ndo nyoko wa town....lol
ReplyDeletewicked
ReplyDeletebibi weeee uo wanja punguza jaman aiii
ReplyDeletehahaha wanja kama jini makata mweee.
ReplyDeletehuyu bibi bado anampenda choki
ReplyDeleteBibi Bomba Asha Baraka,hahahaaaaa. Ndo maana Mpoki alimnanga cku ya Kili Music Award. Sura mbya,roho mby huna lolote bibi hata usipomsamehe kwani we Mungu kwamba utamnyang'anya pumzi. Kwendraaaaa
ReplyDelete