Dayna amefunguka jana kupitia The Jump Off ya 100.5 Times Fm na kueleza ukaribu wao na kinachoendelea.
“Jamani Nando ni rafiki yangu, hakuna kitu serious, he’s just a friend tu basi.Sijui nisemeje, ni watu ambao tumefahamiana si kwa muda mrefu sana lakini tumeshibana so imekuwa hivyo tumekuwa karibu mara kadhaa. Haipiti muda mrefu bila kuonana kwa hiyo mara nyingi tunakuwa wote. Ninamkampani kwenye issue zake na yeye ananikampani pia mimi, ni watu ambao tumekuwa karibu sana kwa kweli.” Dayna ameiambia The Jump Off ya Times Fm.
Alipoulizwa kuhusu picha zao zinazoonekana kwenye Instagram ambazo zinaongea zaidi ya urafiki, alifunguka:
“Yeah...sasa mtu na rafiki yake si mnapiga picha mnakuwa free jamani…hivyo (kicheko).”
Hata hivyo, Dayna amesema kuna kitu ambacho wanakifanya pamoja na kitakapokuwa tayari watu watafahamu.
nando nae mwanaume sasa..lulu nae anaona ana mwanaume nando watombe tu
ReplyDeleteHuyu dada kwa matusi hajambo, mdomo mchafu, simpendiii
ReplyDeletehaki ya mungu, mara lulu, mara dyna, watu wenye majina wanajilia kiulaini kisa alaishiriki big brother, inahusu, jitambueni bana wanawake mnadhalilishwa sana na ukimwi hauwezi kwisha ngo labda dawa ipatikane, by the way na ww dyna kujichubua umeona dili, yani uzuri wako wote umekwisha radha.
ReplyDelete